Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 33๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Gonga94 ยท Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 33๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya kumkuta hakim akiwa na boxa peke yake nilitoa macho๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† hee ana limutango yule jamaaa nilichokifanya nilijidondosha chini nikajidai nimezimia๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nilimuomba mungu kimoyomoyo anisaidie niweze kubana pumzi kwa muda mrefu๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น baada ya kudondoka hakim alikimbia kuja kuniokota pale chini alifika akanibeba akaniinua pale chini akanilaza kitandani alikuwa ananiita na kuniomba msamaha alinitikisa tikisa sana lakini sikuamka๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nyie ila kubana pumzi ni kazi๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† nilikuwa nategeshea muda anaonitikisa tikisa ndo na mimi navuta pumzi chapu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† alivyoona siamki alichukua simu akaanza kutafuta usafiri zile tax za online nahisi alikosa tax akaamua kuvaa nguo akafungua mlango akatoka vile ametoka tu mimi nilichukua nguo haraka nikavaa vitu vyangu vingine niliviacha kule chumbani sikukumbuka kubeba kitu zaidi ya kujiokoa tu kutoka mikononi mwa hakim! Nilifungua mlango taratibu nikatoka kule chumbani nilianza kushuka chini lakini nilihofia kukutana na hakim make alishuka chini kutafuta usafiri! Nikiwa nimeganda pale nawaza pa kuelekea nilimsikia hakim kwa mbali akiwa anaongea na cm ni kama vile anikuwa anaongea na dreva tax akawa anamwelekeza pale hotelini......

Niliwaza pa kwenda ni wapi nikiangalia vyumba vyote pale vimefungwa na ni usiku sana nilichokifanya nilirudi chumbani haraka nikapanga mito pale kitandani then nikaifunika blanket baada ya hapo nilijificha kule nyuma ya mlango ili hakim akija akifungua mlango akipiga jicho kitandani akiiona ile mito atajua ni mimi hivyo ataelekea kitandani mojo kwa moja na mimi nitapata muda wa kukimbia hakim alifika pale mlangoni akafungua mlango haraka akakimbilia pale kitandani vile ameingia mimi tayari nilikuwa nimeshauchomoa ufunguo niko nao mkononi nilitoka haraka nikamfungia hakim kule chumbani funguo nikakimbia nazo ili asijefunguliwa kabla cjafika mbali nilifanikiwa kutoka nje ya ile hotel.....

Nilikimbia umbali mrefu kutokea kule hotelini tulipokuwepo nilifika katika mtaa fulani hivi kulikuwepo na jengo moja la ghorofa ambalo lilikuwa halijaisha nilikaa pale usiku mzima baridi ilikuwa ni kali sana nilikaa hadi pakakucha sikuwa na pesa zozote zile nilichokifanya baada ya kupambazuka nilienda katika nyumba moja nikagonga getini alikuja kunifungulia kaka aliyejitambulisha kwa jina hemed alinikaribisha ndani kisha akaniuliza vipi una shida gani nikusaidie nini vipi tunafahamiana?! Nilimwambia mimi naitwa Recho ni mwenyeji wa jijini dar nilikuja huku kwa ajiri ya kutafuta kazi nakuomba kama hautojali uweze kunipatia kazi yoyote..... kazi gani unataka?! Yoyote tu kaka yangu....na mbona hauna mzigo wowote hata bag la nguo?! Niliibiwa vitu vyote et๐Ÿฅน๐ŸฅนJana nilopofika zanzibar sikuwa na sehemu ya kufikia usiku ulipoingia nilijilaza nje katika jengo moja ambako nilivamiwa na vibaka wakanitoa kila kitu๐Ÿฅน๐Ÿฅน nilidanganya hadi nikalia vyote nilifanya ili kujitilisha huruma kwa hemed ili anipatie msaada alinikaribisha ndani kwake nikaket sebleni yeye alikuwa yuko nje anaimwagilia maji bustani yake ya maua alimaliza kumwagilia akarudi ndani alinihoji vimaswali pale nikawa namdanganya lakini alinihurumia akaniruhusu nikae naye pale nyumbani kwake hemed alidai ya kwamba yeye zanzibar huwa anakujaga tu vocation akiwa yuko likizo kazi zake huwa anafanyia usa....tulifahamiana kijuujuu japo mimi kila kitu nilimdanganya sikumwambia ukweli juu ya kile kilichonikuta kwa kuwa bado ilikuwa ni asubuhi sana hemed alinionyesha chumba cha wageni akaniambia niende nikaoge kisha nipumzike.... nilimwambia asante niliingia kule chumba ni chumba kikubwa kizuri sana niliingia washing room nikaoga baada ya hapo nilingia kulala..... nililala hadi mida ya saa tano asubuhi nikagongewa mlango nikaamka kwenda kufungua alikuwa ni hemed aliniuliza vipi unajisikiaje bado una usingizi?! Hapana kaka niko sawa usingizi umeisha..... niite hemed karibu tunywe chai utalala badae tena.... niliongozana naye kwenda mezani tuliletewa chai tukanywa aliyeleta chai ni mkaka hivi nazani ni house boy kule ndani baada ya chai hemed aliniomba nimwandikie mahitaji ya vitu ninavyovihitaji ili akitoka mjini anichukulie au kama vipi tunaweza kutoka wote alinimbia.... hapana hemed kwa leo siwezi kutoka lbda siku nyingine.... nilimwandikia kila kitu nikampatia kile kikaratasi akaondoka nilitoa vyombo mezani nikapeleka jikoni nikajipa majuku ya kuviosha kwa muda huo Idris alikuwa kaenda kumfungulia hemed geit! Hehehe jamani weye ni mgeni et ungeviacha tu mimi ningeosha... aliniambia idris baada ya kunikuta nikiwa naosha vile vyombo.... ucjali idris hata mimi naweza wacha nikusaidie......

Nilimaliza kuosha vyombo huku nikiwa napiga story mbili tatu na idris kule jikoni nilimuomba anisaidie dawa za maumivu make mwili wote ulikuwa unauma..... aliniletea dawa nikanywa baada ya hapo nilienda sitting room kuangalia movie.... ile nyumba ni jumba kubwa sana la kifahari na kule ndani alikuwa anakaa idris tu make hemed huwa anakuja likizo tu na kuondoka likizo ikishaisha..... tuliendelea kuwatch movie huku tukiwa tunapiga story na idris ni mcheshi sana alinipigisha story mbalimbali akanisimulia kuhusu boss wake hemed jinsi alivyo mtu mwema namna alivyomsaidia vitu vingi kimaisha mida ya saa nane tulipika zetu wali wa nazi na maharage mboga za majani na samaki tukala tukarudi zetu kwenye movie jioni mida ya saa 12 boss hemed alirudi nyumbani idris alikuwa yuko bafuni ilibidi mimi ndo niende kumfungulia geit..... nilifungua geit akaingia alinijulia hali baada ya hapo alipeleka gari parking akatelemka alifungua but na kuanza kushusha mizigo nilikwenda mpokea alinipatia vitu alivyonunua kwa ajiri yangu vingine aliniambia niachane navyo idris atakuja kupeleka ndani..... hemed ni mkaka fulani hivi siyo mkubwa kwa haraka haraka ana miaka kama 28 au 30...ni shombeshombe yupo kama mwarabu hivi ni mpole siyo mtu wa mambo mengi nilipokea vile vitu nikaanza kuondoka kuelekea ndani kabla cjapiga hatua nyingi hemed aliniita.....
""Recho""
""Abee niliitika then nikarudi kumsikiliza...""
""Be free ukiwa na shida yoyote usisite kuniambia nitakutafutia kazi huku zanzibar ikikosekana nitakuangalizia hata huko marekani kwani umesomea nini?! Nilimwambia kitengo nilichosomea akanipromise kunitafutia kazi!....""

Nilienda ndani nikafungua vile vitu alivyoniletea hemed๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ hadi chupi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ alf kama vile alinipima jomon๐Ÿ˜๐Ÿ˜ chupi zilinifit ile mbaya.... alininunulia product za ngozi nguo viatu pamoja na cm.... nilivipanga vile vitu kabatini baada ya hapo nilienda kutoa asante kwa hemed aliniambia ni sawa recho be free kwangu niambie chochote..... nilimuiza kama atakula chochote aliniomba juice nilienda nikamchukulia juice nikamletea then mimi nilirudi chumbani kwangu..... ilifika mida ya saa moja moja hemed akaingia jimu ila lizuri๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ ana jimu ndogo pale nyumbani kwake alipiga mazoezi mie nikawa namchabo dirishani๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Uuuwww ni gentlemen na nusu๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น hemed alimaliza kufanya mazoezi nikakimbilia zangu jikoni niliingia jikoni nikapasha pasha msosi hemed alipotoka kwenye mazoezi alielekea bafuni alipotoka bafuni alikuja jikoni kwa muda huo idris alikuwa katoka...
""Wow vinanukia sana..... alinimbia hemed""
""Nilismile then nikamwambia kidogo tu et siyo sana๐Ÿ˜๐Ÿ˜""
""Hahahaa haya bn unapika nini?!""
""Nilipika mchana wali samaki, maharage na mboga za majani๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ""
'""Wow ๐Ÿซฐkitakuwa kitamu sana eh๐Ÿซฐ""
""Hahahaaa cha kawaida et""
""Hii hapa line utaweka kwenye simu yako....""
""Thank you๐Ÿ™๐Ÿ™""
"" ni sawa usiwe na shaka kuna chochote kingine unahitaji?! Usiogope niambie tu....""
""Hakuna kitu hemed basi nikihitaji chochote nitakwambia...""
""Sawa recho basi mie niko zangu sitting hapo nataka nicheki game mara moja kama hautojali unaweza kuja tukaangalie wote... sawa basi wacha nimalizie kupakua chakula kwenye hotpot then nitakujoin..... we shabiki wa team gan rechoi?! Hahahaa mimi ni simba et๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ wow kesho nitakununulia jez umenifurahisha sana kuwa mwanasimba hemed aliniambia hivyo then akanigei๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š baada ya hapo alitoka kwenda sebleni kuangalia mpira mimi nikabakia jikoni napakua chakula.... basi nilijikuta nasmile et๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nikasahau na kipigo cha jana usiku kutoka kwa hakim! Nilimaliza kupakua chakula nikapeleka dinning hemed aliniomba tu nipakue chakula chetu mimi na yeye nipeleke pale sebleni tule huku tukiwa tunaendelea kuangalia mpira idris alikwenda kucheki mpira bandani yeye alidai nyumbani hakuna vibe tulikula mimi na hemed taratibu huku tukiwa tunaendelea kuangalia mpira..... mazungumzo ya hapa na pale yaliendelea kati yangu mimi na hemed line alinipatia ya kwake nilikuta kaniungia bando la mwezi na namba yake kanisevia tayari๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ

Usiku nilimuaga nikaelekea chumbani kwangu kwenda kulala amani ya moyo ilirudi niliona ni kama tayari nimeshapata sehemu ya kujificha ili hakim asinipate..... niliendelea kukaa pale nyumbani kwa hemed walikuwa wakarimu sana kwangu kila asubuhi hemed alikuwa akiwahi kuamka na kwenda kuimwagilizia maji bustani yake ya maua kila aliponikuta nafanya kazi yoyote alinisaidia.....siku moja aliniuliza kama ninaweza pata vyeti vyangu vya form four pamoja na vya chuoni ili anitumie maombi ya kazi tuone kama nitafanikiwa kupata kazi zanzibar au usa..... alikuwa kabakiwa na siku chache tu za kukaa visiwani zanzibar...... nilimwambia vyeti vipo nitafanya mpango nikavifuate huko dar! Niliwaza nitafanyaje ili niweze kuvipata vyeti vyangu bila kuonana na wazazi wangu kwa kile walichonifanyia sikutamani hata kuwatia machoni kwangu niliwaogopa sana niliwaona kama maadui zangu wa kwanza katika dunia hii.... nilikaa pale nyumbani kwa hemed kwa takribani mwezi mzima.... siku moja usiku nikiwa chumbani kwangu najiandaa kulala nilipanga safari ya kurudi jijini dar kesho asubuhi na mapema kwa ajiri ya kwenda kuvichukua vyeti vyangu kule nyumbani kwetu nilipanga pia kwenda kuchungulia kule nyumbani kwa paschal kama yupo au laa! Nilikuwa na wasiwasi sana juu ya hiyo safari yangu lakini sikuwa na budi ilikuwa ni lazima niende....

Itaendeleaaaaaaa
Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 33๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜


Baada ya kumkuta hakim akiwa na boxa peke yake nilitoa macho๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† hee ana limutango yule jamaaa nilichokifanya nilijidondosha chini nikajidai nimezimia๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nilimuomba mungu kimoyomoyo anisaidie niweze kubana pumzi kwa muda mrefu๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น baada ya kudondoka hakim alikimbia kuja kuniokota pale chini alifika akanibeba akaniinua pale chini akanilaza kitandani alikuwa ananiita na kuniomba msamaha alinitikisa tikisa sana lakini sikuamka๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nyie ila kubana pumzi ni kazi๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† nilikuwa nategeshea muda anaonitikisa tikisa ndo na mimi navuta pumzi chapu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† alivyoona siamki alichukua simu akaanza kutafuta usafiri zile tax za online nahisi alikosa tax akaamua kuvaa nguo akafungua mlango akatoka vile ametoka tu mimi...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-n0-33

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-n0
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 36๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 36๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 34๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 34๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 37...38๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 37...38๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 35๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 35๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 39...40๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 39...40๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 78

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 78

601
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 79 na 80

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 79 na 80

562
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 51...52๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 51...52๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

538
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 81

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 81

524
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 82 na 83

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 82 na 83

376
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32

329
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33

226
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

91
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

37

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.67K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.45K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.28K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.28K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 51...52๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 51...52๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana ๐Ÿ˜Š Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 50๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 50๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""๐ŸŽถ๐ŸŽถfrom the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life๐ŸŽถ๐ŸŽถ"" ""๐ŸŽถ๐ŸŽถfrom the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest