Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 03
Gonga94 ยท Stories

BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 03

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

ENDELEA...........
"Nimeanza kuona sasa jinsi gani ulivyo na roho mbaya. Kwa hali hii umeanza kunitisha mapema, kama ndugu yako unaweza kumfanyia roho mbaya kiasi hiki vipi ndugu zangu si unaweza hata kuwatilia sumu wewe?" Sony aliongea hayo.

Ilibidi nijitoe nyuma ya mgongo wake.

"Kuna baya gani nimemfanyia Manka?, mbona nyie watu wa wili mnataka kuniharibia furaha yangu siku ya leo.

"Aya Ulienda wapi au kisa nilighahili kutoka out na wewe kwaajili ya kumpeleka mwenzio hospitali na wewe ukaona upate nafasi ya kwenda kwa wanaume zako"

"Nilienda" kabda sijamaliza kujitetea Sony alininyamazisha.

"Wewe ni mwanamke ambaye haukubaligi makosa sio. Kwaiyo unaona upo sahihi. Vipi ulijua tutakula nini baada ya kuludi hospitali, Naomba unipishe sitihaji kukutamkia maneno makali"

"Lakini Sony kwanini unanihukumu tu pasipo kunisikiliza kwanza"

"Nimekwambia tokaaaa". Sony aliongea kwa hasira sana sijawai kumuona katika hali hiyo.

Sikuwa na namna nilitoka jikoni nikaelekea moja kwa moja chumbani kwangu. Sony baada ya kuivisha supu alimpelekea Manka pale sebleni alianza kunywesha. Natoka chumbani nawakuta wananyweshana Supu.

Manka alikuwa ananiangalia kwa jicho la uchokozi. Ananichekea kinafki. Sony alikuwa busy kumnywesha supu Manka.

Sikujua wawili hawa imekuwaje leo kuwa na ukaribu wa namna hiyo na walikuwa kama chui na paka. Mililudi zangu chumbani nilijua baada ya kumaliza kunyweshana supu Sony atanifuata chumbani kwangu ili nimpe taarifa za ujauzito ila haikuwa hivyo.

Nilipoona kimya kimezidi nilitoka chumbani tena nilienda sebleni. Sebleni hapakuwa na mtu yoyote. Nilitoka nje napo hawakuwepi ndipo nilipata wazo la kwenda chumbani kwa Manka.

"Nilifungua mlango nikaingia chumbani niliwakuta wawili hao wapo kitandani.

Sony alikuwa anambembeleza Manka alale.

" hawa haya mazoea yameanza lini?, ni kwaajili ya Manka kuumwa tu au kuna mengine nyuma ya pazia? Nilijiuliza nwenyewe pasipo kupata majibu.

"Samahani nilikuwa na mazungumzo na wewe"

"Kuhusu nini?" Sony alinijibu jibu ambalo sikulitegemea.

"Ni mambo yetu binafsi"

"Kama ni mambo yetu binafsi tutazungumza hata kesho. Kwa leo nimechoka sana" Nilipaniki vibaya mno.

"Hivi Sony unanichukuliaje eeeeh, umechoka na upo hapa na Manka eti unambembelez alale tangu lini wewe na Manka muwe na ukaribu wa namna hii eeeeh!, Nyie watu naona mnataka kunipanda kichwani"

"Hutaki kuzungumza na mimi kwamba umechoka huku upo na binamu kutwa nzima ya leo. Naomba uondoke kwangu" Nilijikuta navuka mipaka na kumtimua Sony.

"Manka uwe makini, Ukijisikia tofauti usisite kunitafuta nitakuwa hapa hapa ukinihitaji" Sony aliongea hayo nilizidi kushangaa. Aliondoka na wala hakujali chochote kuhusu mimi.

Sikutaka kumvungia Manka nilimuuliza amemfanya nini mchumba angu.

"Kwa akili zako basi unajua nimemloga hiyo bwana ako" Manka alinijibu kwa dharau huku ananipandisha na kunishusha.

" Kuna lengine linaweza kumbadilisha Sony mpaka anidharau mimi kupita kiasi kwaajili yako.

"Vipi una kizazi?" Manka aliniuliza kwa dharau aiseeee sikuamini kama binamu yangu tena niliyemkaribisha nyumbani kwangu anaweza kunipanda kichwani..........ITAENDELEA............

SIMULIZI :
Tangazo - Hostinger
Hostinger
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 03

ENDELEA...........
"Nimeanza kuona sasa jinsi gani ulivyo na roho mbaya. Kwa hali hii umeanza kunitisha mapema, kama ndugu yako unaweza kumfanyia roho mbaya kiasi hiki vipi ndugu zangu si unaweza hata kuwatilia sumu wewe?" Sony aliongea hayo.

Ilibidi nijitoe nyuma ya mgongo wake.

"Kuna baya gani nimemfanyia Manka?, mbona nyie watu wa wili mnataka kuniharibia furaha yangu siku ya leo.

"Aya Ulienda wapi au kisa nilighahili kutoka out na wewe kwaajili ya kumpeleka mwenzio hospitali na wewe ukaona upate nafasi ya kwenda kwa wanaume zako"

"Nilienda" kabda sijamaliza kujitetea Sony alininyamazisha.

"Wewe ni mwanamke ambaye haukubaligi makosa sio. Kwaiyo unaona upo sahihi. Vipi ulijua tutakula nini...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/binamu-wewe-ungeweza-sehemu-03

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi binamu-wewe-ungeweza-sehemu
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 05
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 05
BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 02  ENDELEA...... "Hajambo kabisa"   "Na mipango mengine si inaenda vizuri?"  "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni"  "Hata mimi naona...
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni" "Hata mimi naona...
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 04
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.87K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.23K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.18K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.63K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest