Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 08
Gonga94 · Stories

BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 08

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


ENDELEA.......
Nilimueleza mama kila kitu wala sikumficha.

"Wewe huyu mpaka Sony anakupiga kwaajili ya Manka. Aiseee sikuwai kujua kama unaishi na nyoka ndani mwako. Pole binti yangu" mama aliongea kwa masikitiko.

Hakutaka mambo yaishe juu juu alihitisha kikao, wazazi wa Sony waliitwa na mtoto wapo, Manka pia alitlitwa. Taarifa zilimfikia baba nje ya nchi chapu. Alimpigia simu dada yake kumshtakia aliyofanya mwanae ila mama Manka ndo kwanza alifurahi na kusema kwamba mimi kuwa na Sony huenda haikupangwa aliyepangiwa ni Manka.

Saa mbili usiku wote walikuwa wamefika.

Mama aliwaeleza yanayoendelea kati yangu na Sony na chanzo ni Manka.

"Sony ni kweli?" Mama yake alimuuliza.

Sony bila kupepesa macho alikubali kuwa ni kweli.

"Kwanini sasa umefanya hivi, huoni kuwa ni mambo ya aibu na yanaweza kujiludia katika kizazi chako?.

" halikuwa jambo nililolikusudia naombeni mniradhi wazazi wangu".

"Kwaiyo una mpango gani na Nice mpaka sasa"

"Nice nilishaongea nae kwaiyo hakuna kilichobadilika"

"Mbwa wewe. Unataka kuendesha mambo ki lahisi tu ilhali umefanya kosa kubwa, mtoto mshe....nzi sana wewe , ningejua kama nazaa mtoto mji.....nga kama wewe ningekubana kichwa hicho siku na kuzaa ili uzaliwe na kichwa kirefu kama treni" Mama Sony alichafukwa kweli kweli. Maneno aliyokuwa anaongea yalichekesha sema hakuna aliyecheka kutokana na jambo hili kuwa serious sana.

"Achana na huyu binti haraka iwezekanavyo sio ombi ni lazima" baba wa Sony aliongea hayo akimtaaka mwanae aachane na Manka.

"Tena mama Nice huyu mwehu aludishwe kijijini kwao hata kesho mapema tu"

"Mbona mnakosa utu na ikiwa mimi huyu naenda kuwapa furaha mtoto wenu kwa kuitwa baba. Nyinyi hamtaki mjukuu?, yaani kwaajili ya huyu mgumba mnataka kunifanyia roho mbaya mimi niliyebeba kiumbe chenu tumboni kwangu"

Baada ya manka kuniita mimi mgumba mimi na mama tulitazamana alafu.

"Sony achana na huyu mpuuzi haraka iwezekananyo na tambua kuwa hatumtambui yeye wala huyo mtoto" mama yake aliongea kwa hasira.

"Muacheni achakue mwenyewe anataka kubaki na nani kwanini mnataka kuingilia maamuzi yake. Sony chagua ni kati yangu na Nice unabaki na nani na kama utamchagua Nice silazi damu naenda kutoa hii mimba" Manka aliongea hayo.

"Chagua sasa mbona unakaa kimya" Mama Sony alimwambia mwanae.

"Sony chagua mmoja kama unataka kubaki na Nice sema nikatoe mimba mimi" Manka aliongea kwa makasiriko.

Baada ya ukimya wa muda mrefu Sony alichagua.

"Nitabaki na Manka" nyie moyo wangu ulipasuka pasuka. Mwili uliishiwa nguvu kabisa.

"Huyu ndo mwanamke unayempenda?" Baba yake alimuuliza.

"Ndiyo kwa sasa nampenda Manka na sio Nice, huyu ndo mama watoto wangu" Sony alimmwagia sifa Manka. Manka mwenyewe sasa anachekelea meno 32 nje.

Mie nilikuwa natabasamu tu huku nasilitika

"Nice haina haja ya kuzungumza chochote kwakuwa kamchagua Manka acha awe nae lakini siku zote MUNGU ni wa mwenye haki. Haki yako ipo binti yangu"

"Jamani sina la kusema zaidi ya kusema Asante. Mnaweza mkaondoka sasa" Mama aliongea hayo kwa unyonge. Wazazi wa Sony hawakuwa na namna walimuomba mama msamaha na baada ya hapo waliondoka.

"Nisamehe Nice siwezi kuiacha damu yangu iteketee" Sony aliongea hayo kabda ya kuondoka.

"Washenzi nyie. Nafumba na kufumbua nisawaone hapa, na wewe Manka kamwe usije ukajitokeza tena kwenye familia yangu kwa hili ulilomfanyia Nice utalilipa tu kwa namna yoyote ile.

Mwanangu alikutoa kijijini ameishi na wewe kwa upendo wote mpaka umeng'aa leo hii unajiona mjanja. Umesahau kama hii ni dunia eeeeeh!.

"Kila mtu ashinde mechi yake. Kabda ya kunilahumu mimi muulize kwanza mwanao kizazi kakipeleka wapi mpaka leo hii ashindwa kumzalia Sony au anadunga misindano ya uzazi wa mpanga?" Manka aliongea hayo kwa dharau.........ITAENDELEA..........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 08



ENDELEA.......
Nilimueleza mama kila kitu wala sikumficha.

"Wewe huyu mpaka Sony anakupiga kwaajili ya Manka. Aiseee sikuwai kujua kama unaishi na nyoka ndani mwako. Pole binti yangu" mama aliongea kwa masikitiko.

Hakutaka mambo yaishe juu juu alihitisha kikao, wazazi wa Sony waliitwa na mtoto wapo, Manka pia alitlitwa. Taarifa zilimfikia baba nje ya nchi chapu. Alimpigia simu dada yake kumshtakia aliyofanya mwanae ila mama Manka ndo kwanza alifurahi na kusema kwamba mimi kuwa na Sony huenda haikupangwa aliyepangiwa ni Manka.

Saa mbili usiku wote walikuwa wamefika.

Mama aliwaeleza yanayoendelea kati yangu na Sony na chanzo ni Manka.

"Sony ni kweli?" Mama yake alimuuliza.

Sony bila...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/binamu-wewe-ungeweza-sehemu-08

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi binamu-wewe-ungeweza-sehemu
 BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 15
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 15
BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 13
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 13
BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 11  ENDELEA.......
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 11 ENDELEA.......
BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 09
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 09
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 12  ENDELEA........
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 12 ENDELEA........
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 05
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 05
BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 02  ENDELEA...... "Hajambo kabisa"   "Na mipango mengine si inaenda vizuri?"  "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni"  "Hata mimi naona...
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni" "Hata mimi naona...
BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 03
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 03
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 04
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

955
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

217
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

199
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

199
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

192
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

189
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

151
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

142
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

122
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

92

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest