Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 09
Gonga94 ยท Stories

BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 09

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

ENDELEA........
Nimepindua meza sasa na hakuna kitu mtaweza kunifanya" Baada ya kusema hayo wawili hao waliondoka.

Mama na mdogo wangu walinifariji. Sikuwaelewa kwakweli kwa jinsi ninavyompenda Sony tena ndiye mwanaume wangu wa kwanza niliumia mno.

Siku hiyo nililala nyumbani. Majira ya asubuhi niliamka nikajianda kwenda kazini kama kawaida.

Nilifika kazini boss alipofika tu aliniita ofisini kwake.

"Nice nisamehe najua nimekuumiza" Alianza kujiongelesha.

"Hapa sio mahala pake boss"

"Yaani unataka kunipangia cha kufanya au cha kuongea umesahau mimi ni nani kwako?" Sony aliongea kwa ukali

"Lakini Sony kwanini unapenda kuniumiza eeeeeh! Kosa langu mimi ni nini mpaka umekuwa mwiba moyoni mwangu?"

"Najua nimekukosea ila Manka ni mjamzito siwezi kuiacha damu yangu iteketee"

"Vipi kama na mimi ni mjamzito utamuacha Manka?"

"Una mimba?, Sony aliniuliza.

"Nimekuuliza tu kwa wema"

"Manka siwezi kumuacha kwa sasa nipo nae karibu kwaajili ya mimba tu ila akijifungua nitamchukua mtoto wangu na kuachana nae kabisa"

"Hivi Sony nguvu za kulala na Manka ulizitoa wapi na unajua kabisa yule ni ndugu yangu. Umenikosea sana"

"Ndo maana naomba msamaha siwezi kuelezea ilikuaje"

Niliona ananivulugha tu. Nilitoka ofisini kwake nikaenda eneo langu la kazi.

Majira ya saa kumi jioni kabda ya kutoka kaxini nilishangaa Baada ya kumuona Iron.

"Huamini kama nipo hapa kwaajili yako?"

"Wewe huyo upo hapa kwaajili yangu?"

"Yes my Lady"

"Heeeee! Makubwa haya"

"Tena madogo yana afadhali" alivyonijibu hivyo niliangua kicheko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Basi mie nacheka yeye ananiangalia kwa tabasamu.

"Una lips nzuri sana, tabasamu lako pia ni bomba sana Nice. Naomba kama hutojali leo usiku tutoke dinner"

Muda Iron ananiambia kutoka Dinner Sony alikuwa anatoka ofisini kwake kwaiyo alisikia. Kwa kumkomoa Sony nilikubali kutoka Dinner na Iron.

Iron mwenyewe hata hakumuona Sony alifurahi mwenyewe kwa kukubali ombi lake aliniachia kadi ya namba yake na yenye wadhifa wake huyo akaondoka.

Baada ya Iron kutokomea Sony alinifuata kwa hasira.

"Umeanza uma....laya?"

"Unaongea kuhusu nini?"

"Nipe hiyo code aliyokupa" Nilitaka kumgomea ila kwa namna alivyokuwa anaongea kwa makasiriko nilikubali kumpatia, baada ya kumpa alichukua mkasi alianza kuikata kata.........ITAENDELEA.........
Tangazo - General kumbe ulinipenda kweli eee
General kumbe ulinipenda kweli eee
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 09

ENDELEA........
Nimepindua meza sasa na hakuna kitu mtaweza kunifanya" Baada ya kusema hayo wawili hao waliondoka.

Mama na mdogo wangu walinifariji. Sikuwaelewa kwakweli kwa jinsi ninavyompenda Sony tena ndiye mwanaume wangu wa kwanza niliumia mno.

Siku hiyo nililala nyumbani. Majira ya asubuhi niliamka nikajianda kwenda kazini kama kawaida.

Nilifika kazini boss alipofika tu aliniita ofisini kwake.

"Nice nisamehe najua nimekuumiza" Alianza kujiongelesha.

"Hapa sio mahala pake boss"

"Yaani unataka kunipangia cha kufanya au cha kuongea umesahau mimi ni nani kwako?" Sony aliongea kwa ukali

"Lakini Sony kwanini unapenda kuniumiza eeeeeh! Kosa langu mimi ni nini mpaka umekuwa mwiba moyoni mwangu?"

"Najua nimekukosea ila Manka ni mjamzito siwezi kuiacha...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/binamu-wewe-ungeweza-sehemu-09

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi binamu-wewe-ungeweza-sehemu
BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 11  ENDELEA.......
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 11 ENDELEA.......
BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 13
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 13
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 12  ENDELEA........
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 12 ENDELEA........
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 05
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 05
BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 02  ENDELEA...... "Hajambo kabisa"   "Na mipango mengine si inaenda vizuri?"  "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni"  "Hata mimi naona...
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni" "Hata mimi naona...
BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 08
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 08
BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 03
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 03
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 04
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

9.58K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.95K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.37K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.36K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.23K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.02K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.92K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

1.91K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.85K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.83K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest