Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 11  ENDELEA.......
Gonga94 Β· Stories

BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 11 ENDELEA.......

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"Halooooo! Ebu nipishe mie nisije nikakutapikia hapa"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ™Œ
Bubu leo kasema na badooo!πŸ‘ŒπŸ˜πŸ˜πŸ˜.

Bhana weeee Manka hakuamini kama nimempa kichambo cha ukweli. Sura hana, shepu hana, nyota hana, Elimu hana, pesa hana alafu ndo ashindane na mie niliyemzidi kila kitu.

"Yaani unanitukana mimi. Ngoja sasa nikuonyeshe. Alinilukia basi na alivyo na limwili kama tembo basi nilikoma mwenzenu πŸ₯Ή.

Watu walikuwa kutuamulia pale mie nilikuwa hoi, Tumbo lilikuwa linaniuma balaa kwasababu alinikalia Juu ya tumbo langu alafu sasa Manka ni bonge nyie.

Damu zilianza kunitoka huku chini kwa bibi, Sony alifika eneo hilo Manka alijidai anaugulia tumbo.

Sony alimkimbilis mama badala yangu mimi ninayechuruzikwa na damu.

"Baby mwanangu jamani. Nice ameniharibia mimba tumbo linauma sana sijui kama mtoto yupo salama. Niwaishe hospitali mtoto atafia tumboni" Manka aliongea hayo huku analia.

Sony aliniangalia mie pia damu xinanitoka na nipo kwenye hali mbaya sana. Anatakiwa achague mmoja.

"Sony naomba mnisaidie nitakufa" niliongea kwa maumivu makali sana.

Manka Nae alizidi kujilegeza, Sophia yeye alikuwa analia tu. Wafanya kazi wengine walikuwa kwenye simanzi yaani ilikuwa kama vile muv aiseeee!

Sony alichagua kuwa upande wa Manka. Walikokotana mpaka nje ya ofisi huko waliingia kwenye gari alimpeleka Manka Hospitali.

Sikuweza kuhimili maumivu niliyokuwa nayasikia Nilizimia sikujua nini kiliendelea. Nilikuja kushtuka nilijikuta nipo hospitali pembeni yangu alikuwepo mama yangu mzazi.

"Umeamka mwanangu?"

"Mamaaa!" Nilimuita na kuangua kilio.

"Basi binti yangu baaasi inatosha sasa. Nyamaza mama yako nipo hapa"

"Mama mwanangu yupo salama"

"Usijali kila kitu kitakuwa sawa kwasasa unatakiwa kuwa mtulivu sawa binti yangu. Ebu kunywa kwanza huu mtori"

Mama alianza kunilisha mtori. Mlango ulifunguliwa nilishangaa baada ya kumuona Iron.

"Iron!" Nilimuita.

"Yes My lady" huyu mwanaume hana hata aibu ananiita mie my Lady wake mbele ya mama yangu mzazi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„. Niliona aibu mwenzenu.

"Unaendeleaje?"

"Naona nipo sawa japo sijui usalama wa mtoto wangu"

"Mama naomba nikusaidie kumlisha"

Mama alimkabidhi Iron bakuri la mtori yeye akatoka nje.

"Sijui umejuaje kama nipo hapa. Kwanini ulinitenga kipindi chote hicho. Nateseka mno Iron"

"Nisamehe, Nilipoona kimya nilijua huukuhitaji kutoka Dinner na mimi. Kesho yake nilisafiri nje ya nchi, Jana tu ndio nimelejea Tanzania na kitu cha kwanza kabisa nilitaka kuonana na wewe ila bahati nzuri au mbaya nilikukuta kwenye hali mbaya sana. Pole sana Nice kila pito lina sababu zake"

"Ni kweli. Asante sana kwa kujali. Tangu siku ya kwanza kukuona mpaka leo hii umekuwa ni sehemu kubwa ya kuyaokoa maisha yangu. Asante Iron sina cha kukulia MUNGU atakubariki zaidi.

"Cha kunilipa unacho mama 😁😁😁" Iron aliongea kwa utani basi tulifurahi kwa pamoja. Aliendelea kininywesha mtori huku akinipigisha Story za hapa na pale.

"Basi tukiwa tunaendelea na yetu Sony aliingia wodini. Alishtuka baada ya kumuona Iron.

"Onhooooo! Bwana mkubwa kumbe upo hapa" Sony alianza kujichekesha.

"Yes nimekuja kumuona mrembo wangu. Karibu sana"

"Asante. Unaendeleaj Nice?" Sony aliniuliza. Sikumjibu niligeuka pembeni, kiukweli tukio la mwisho lilinifanya nimchukia sana Sony. Ni mwanaume niliyempenda sanaaaa ila ndiye mwanaume niliyewai kumchukia kupita kiasi.

Sony alivyoona simjibu alitoka nje huko alikutana na mama.

"Sitegemei kama utakuja kujitokea tena kwenye maisha ya mwanangu. Mahari yako tutailudisha muda wowote kuanzia sasa.

"Sijui kwanini mlinificha ujauzito wa Nice"

"Ni kweli alikuwa mjamzito na siku aliyopanga kukwambia kuwa ana mimba haukumpa nafasi hiyo zaidi ya kumpiga na kumuumiza, na kila alipotaka kukupa taarifa hizo wewe na Manka mliishia kumuumiza. Alichagua kukaa kimya ili muda uongee ila mipango ya MUNGU haina makosa. Manka ameharibu mimba ya mwenzie. Nimesikitika sana na nimeumia mno ila sina la kuwafanya wewe na Manka acha nimuachie MUNGU. Mama aliongea hayo kwa uchungu mpaka alilia😭.........ITAENDELEA..........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 11 ENDELEA.......


"Halooooo! Ebu nipishe mie nisije nikakutapikia hapa"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ™Œ
Bubu leo kasema na badooo!πŸ‘ŒπŸ˜πŸ˜πŸ˜.

Bhana weeee Manka hakuamini kama nimempa kichambo cha ukweli. Sura hana, shepu hana, nyota hana, Elimu hana, pesa hana alafu ndo ashindane na mie niliyemzidi kila kitu.

"Yaani unanitukana mimi. Ngoja sasa nikuonyeshe. Alinilukia basi na alivyo na limwili kama tembo basi nilikoma mwenzenu πŸ₯Ή.

Watu walikuwa kutuamulia pale mie nilikuwa hoi, Tumbo lilikuwa linaniuma balaa kwasababu alinikalia Juu ya tumbo langu alafu sasa Manka ni bonge nyie.

Damu zilianza kunitoka huku chini kwa bibi, Sony alifika eneo hilo Manka alijidai anaugulia tumbo.

Sony alimkimbilis mama badala yangu mimi ninayechuruzikwa na...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/binamu-wewe-ungeweza-sehemu-11-endelea

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi binamu-wewe-ungeweza-sehemu
 BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 15
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 15
BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 13
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 13
BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 09
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 09
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 12  ENDELEA........
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 12 ENDELEA........
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 05
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 05
BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 08
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 08
BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 02  ENDELEA...... "Hajambo kabisa"   "Na mipango mengine si inaenda vizuri?"  "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni"  "Hata mimi naona...
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni" "Hata mimi naona...
BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 03
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 03
BINAMU WEWE UNGEWEZA?    SEHEMU 04
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40

1.18K
AFANDE MILLAN😎 41 to 42

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

757
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18

501
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

297

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.65K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.81K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.29K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.87K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.66K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.62K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.56K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳. Anadhani labda ameenda chuo...

AFANDE MILLAN😎 41 to 42 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Sehemu ya 41 Basi bwana , zena alivyoniona mnazani alisimama,hapana bali ndo kwanza akaongeza speed ya kuelekea kwake ,na mm nikawa namfata kwa haraka ili asije akajifungia, basi zena akaingia...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
@majario LIVE

β€œDad, Ninakupa masaa 24 Uchague. Ukimchagua Noela, huta niona tena. Lakini Ukinichagua mimi, utaachana na Noela then tutaendelea na maisha yetu kama zamani” Baada ya kusema hivyo, Salmon na mama yake...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
@majario LIVE

Basi mimi nikaludi nyumbani nipo stressed kinoma , yani mawazo yamenijaa mnoo, nawaza inakuwaje sasa demu ndo kashanikazia ,ila naumia mnoo kwa ile hali yake na bado anaendelea kufanya biashara...

AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡ Post Mpya
AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡
@majario LIVE

Kila mwanamke ana mzunguko wake lakini hii ndiyo mizunguko ambayo kila mwanamke lazima awe na mzunguko mmoja kati ya hizi:πŸ‘‡ 1. MZUNGUKO WA SIKU 22. Huu ndo mzunguko mfupi kuliko mizunguko yote...

Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC Post Mpya
Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC
@majario LIVE

Baada ya jana klabu ya Simba kutangaza kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja beki wao kitasa Rushine De Reuck, baadhi ya mashabiki wa soka nchini πŸ‡ΏπŸ‡¦Afrika Kusini haswa wa Kaizer...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

ENDELEA....... Madame Yustar alitoa amri mimba itolewe ili kuepusha laana kwenye ukoo wao. "Hapana siwezi kutoa mimba hata iweje" Mellisa alimvimbia mama yake. Saa ngapi asilukiwe akaanza kutembezewa kichapo. Nae hakukubali apigwe kilahisi,...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

ENDELEA......... Mipango yangu iliendelea kwenda vizuri. Nilifanikiwa kufungua duka langu la spea za magari mke wangu alikuwa nsimamizi mzuri. Japo hakuwa na elimu ila alikuwa na akili ya biashara sana na...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Niliwaona mama na baba yangu wakiwa wanamshangaa sana yani walishangaa mpaka wakanisahau mtoto wao kama naumwa πŸ˜‚ Basi mimi niipomuona Anfrey nilinyanyuka na kwenda kumkumbatia " Nasrat wangu, yupo wapi mtoto...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Siku iliyofuata, Noela alipofika chuoni alihisi hali si ya kawaida. Watu walikuwa wanamuangalia kwa macho ya ajabu, wengine wakinong’ona pembeni yake. Alijaribu kupuuza lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipoingia darasani😭. Mwishowe,...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Salmon alisimama pale akimtazama Noela na baba yake kwa macho yaliyojaa hasira na maumivu. Hakutegemea kabisa kumuona Noela akiwa kwenye dinner ya kimapenzi na baba yake mwenyewe. Iris yeye alisimama pembeni,...

Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie) Post Mpya
Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie)
@majario LIVE

lazima baadhi ya mambo tuambiane ukweli mchungu hili uwe tiba kwa vizazi vijavyo pamoja na wasanii chipukizi. Hili swala la Chado Masta kuzaa na Kidemu Jau kuna namna sio salama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
@majario LIVE

Daaah unajua mtoto alibaki kashangaaa ,et akasogea nyuma yangu akajificha, aseeee zena akainuka kwa kwa hasira ,akaja akamvuta mtoto, akamipiga konde moja la mgongo zito kwei kweli ,yani hii siku...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi nikasema ummy upo mama, ummya kanmbia ndio baba nimekumiss, kila siku niktaka kuongea na wewe mama ananikatazia, nikasema ooh sawa mama ndo mana leo nimekuja kukuona mama sawa, basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi zena akanmbia ni sawa pia, nikasema powa ibraa twenzetu, ibra akanmbia mh millan usipanic bwana ,uyu mwanamke alafu sa hizi ana hasira, ebu tulia tuongee vizuri kaka, mbona...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest