Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Chapter 18 BETWEEN SISTER AND SECRET  "Tumeshaongea kuhusu Mira, nitaachana nae,  Copy Listen Translate Search  Translate  pollyoteremka kwenye meshas
Gonga94 · Stories

Chapter 18 BETWEEN SISTER AND SECRET "Tumeshaongea kuhusu Mira, nitaachana nae, Copy Listen Translate Search Translate pollyoteremka kwenye meshas

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"Muongo na vipi kuhusu MiraiChapter 18

Gavin na Gian walichungulia mlangoni, Gael aliwapa ishara waondoke.

Hatutakiwi tena hapa tuondoke kazi yetu imeisha." alisema Gavin.

Siamini amempata Mia kirahisi hivyo namuonea wivu." Gian alijiongelea mwenyewe.

Gavin na Gian walipanda kwenye gari wakaondoka. Gael na Mia waliongea sana na

kucheka

Twende tukalale kunaelekea kukucha kesho utasinzia kazini. Gael aliongea huku anachezea nywele za Mia.

Sawa uwe na usiku mwema. Mia aliingia chumba cha wageni.

Natamani kuwa nae karibu. Gael alijikuta anakosa usingizi; kila alipofumba macho aliiona sura ya Mia. Aliona aende kwenye chumba alicholala Mia, alipanda kitandani.

Analala vizuri kama mtoto." Gael alimkagua Mia kuanzia macho, pua, mdomo, shingo, aliendelea kushuka mpaka kifuani.

"Nafanya ujinga gani?" Gael aliangalia pembeni

lakini uzalendo ulimshinda. Alimsogelea Mia akaanza kumkiss kwenye shavu, akahama kwenye shingo.

Mia alihisi ni mdudu alijipangusa na kugeuka upande wa pili. Gael alitabasamu akaendelea kumkiss safari hii alimkiss kwenye lips na mkono wake mmoja ulikuwa unaminya minya kiuno cha Mia.

Mia alikurupuka kutoka usingizi. "Gael unafanya nini hapa?" Mia alivuta shuka akajifunika.

Nimeshindwa kulala Mia nakuhitaji... nataka kuwa karibu yako." Gael alimsogelea Mia alivuta akaanza kumpapasa na kumkiss. Mia alijaribu kukataa lakini alishindwa.

Mida ya saa 11 asubuhi Mia alishtuka akiwa amekumbatiwa na Gael, Alitoa mikono ya Gael taratibu akaingia bafuni alijiangalia kwenye kioo. "Mia hauna akili, umekuwaje siku hizi? Kwanini nilishindwa kumzuia Gael? Nitamuangalia vipi Mira na Gael mwenyewe sitaki kuingia kwenye matatizo na Mira kabisa nimechoka. Mia alianza kulia; kilio chake kilimshtua Gael kutoka usingizi, alisogea karibu ya mlango wa bafuni. "Mia upo sawa?" aliuliza Gael.

Gael naomba uniache mwenyewe." Mia aliongea kwa sauti ya kilio..

"Nawezaje kufanya hivyo na unaonekana haupo sawa, fungua mlango. Gael alijaribu kwa mara nyingine kufungua mlango ila bado ulikuwa umefungwa.

Gael ondoka nataka kuwa mwenyewe tafadhali. Mia alizidisha kulia. Kwanini analia hivyo ananiogopesha sana."

Gael alienda kutafuta funguo, alifungua mlango alimkuta Mia amekaa kwenye sinki likiwa. limejaa maji mpaka juu.

"Umekuja kufanya nini, toka sitaki kukuona." Mia alimuuliza Gael.

"Siwezi kuondoka nikakuacha kwenye hali kama hil, niambie ni kwanini unalia? Gael alimkumbatia Mia.

Unauliza ni kwanini nalia, kwani hujui kama wewe ndo sababu." Mia aliongea huku anampiga piga Gael kifuani.

"Kama mimi ndo sababu ya wewe kulia hivi basi naomba unisamehe Mia nakupenda sana." Sikupendi nakuchukia Gael sitaki tena kuwa karibu na wewe. Mia alimsukuma Gael bila mafanikio.

Gael alimuacha alie mpaka alizike. Mia alilia sana, mwisho alinyamaza akiwa bado amelaza kichwa chake kwenye kifua cha Gael. Gael hakuongea chochote alimsaidia Mia kuvua taulo akaanza kumuogesha; walioga pamoja. Gael alimbeba Mia hadi chumbani akamvisha shati lake kisha alipiga magoti mbele ya Mia.

Mia nisamehe kwa kilichotokea hata mimi najilaani ni kwanini nilishindwa kusubiri mpaka utakapo kuwa tayari kuwa na mimi. Gael aliongea huku ameshika mikono ya Mia. Mia hakuweza kumuangalia Gael usoni aliona

aibu.

Sitaki kusikia chochote Gael nataka tu kuondoka." Mia alitoa mikono yake kwenye mikono ya Gael.

Gael aliendelea kupiga magoti, alimuangalia Mia kwa huzuni.

Mia... sijawahi kujiona dhaifu hivi maishani

mwangu. Nimekosea, na ninajua hilo. Lakini tafadhall usinifanyle hivi naomba unisamehe,

siwezi kuishi bila wewe." Mia alishusha pumzi ndefu, machozi

yakimtiririka taratibu.

Lakini Gael... maisha yangu yalikuwa tulivu kabla ya kukutana na wewe. Sasa kila kitu kimevurugika, mpenzi wako Mira

atanichukuliaje?"

Gael alichukua mkono wa Mia akaweka kifuani kwake.

"Moyo wangu... unapiga kwa ajili yako tu Mia, simtaki tena Mira, simtaki yeyote... nataka kuwa

na wewe tu." Mia alitingisha kichwa.

Hapana... hapana, usiniweke kwenye wakati mgumu Gael. Sikutaka haya yote yatokee, sitaki kuwa mtu anayeiba furaha ya mtu mwingine."

"Lakini si umeona... hata nikijizuia, nikijifanya naweza kuishi bila wewe, naishia kukutafuta. Usiniache Mia. Tafadhali, nipe nafasi moja tu kuthibitisha mapenzi yangu kwako."

Mia alifumba macho, alikaa kimya kwa muda. Gael... sitaki kujua kama unanipenda au laa. Ninachojua, moyo wangu umeshachoka,

nimechoka kuishi hivi kila siku nitaonekana mimi ndo chanzo cha matatizo."

Gael alinyanyuka taratibu akaushika uso wa Mia. "Hutakuwa msaliti kwa kunipenda Mia. Wewe ni zawadi ambayo nimechelewa sana kuipata. Nitapigana kwa ajili yako, hata kama utanikataa

mara elfu moja."

Mia alimuangalia Gael, alisogea karibu akajilaza kwenye kifua cha Gael. Gael alitabasamu akamkumbatia Mia kwa nguvu; walijikuta wamelala huku wamekumbatiana

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in

Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Chapter 18 BETWEEN SISTER AND SECRET "Tumeshaongea kuhusu Mira, nitaachana nae, Copy Listen Translate Search Translate pollyoteremka kwenye meshas

"Muongo na vipi kuhusu MiraiChapter 18

Gavin na Gian walichungulia mlangoni, Gael aliwapa ishara waondoke.

Hatutakiwi tena hapa tuondoke kazi yetu imeisha." alisema Gavin.

Siamini amempata Mia kirahisi hivyo namuonea wivu." Gian alijiongelea mwenyewe.

Gavin na Gian walipanda kwenye gari wakaondoka. Gael na Mia waliongea sana na

kucheka

Twende tukalale kunaelekea kukucha kesho utasinzia kazini. Gael aliongea huku anachezea nywele za Mia.

Sawa uwe na usiku mwema. Mia aliingia chumba cha wageni.

Natamani kuwa nae karibu. Gael alijikuta anakosa usingizi; kila alipofumba macho aliiona sura ya Mia. Aliona aende kwenye chumba alicholala Mia, alipanda kitandani.

Analala vizuri kama mtoto." Gael alimkagua Mia kuanzia macho, pua, mdomo, shingo, aliendelea kushuka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chapter-18-between-sister-and-secret-tumeshaongea-kuhusu-mira-nitaachana-nae-copy-listen-translate-s

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chapter
 *MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*      *Chapter 14&15*  Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 14&15* Asubuhi palikucha ili mambo mengine nayo yaendelee sasa maan hili hapana sio sawa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *     Chapter 17   "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 17 "Careen kuna kitu cha muhumu sana nataka nikwambie" nilimtizama
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 12  Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 12 Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*    Chapter 10  Alicheka kweli yaan ndio kabisa nikajua ananipanga hapo hhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 10 Alicheka kweli yaan ndio kabisa nikajua ananipanga hapo hhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA*    *Chapter 19&20*  Aliendeleea na kazi yake na nimi nikawa nampa ushirikiano ipasavyoo
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *Chapter 19&20* Aliendeleea na kazi yake na nimi nikawa nampa ushirikiano ipasavyoo
 *BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *   Chapter 19&20  Tulivyokuwa wenyew nilimfuata mume wangu na kumkumbatia nikamuuliza mume
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 19&20 Tulivyokuwa wenyew nilimfuata mume wangu na kumkumbatia nikamuuliza mume
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *16-20*    Chapter 17  Nakumbuka Aika alikuna sikioni akaniambiaa kituu" mhh subiri uonee ya kwangu"
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *16-20* Chapter 17 Nakumbuka Aika alikuna sikioni akaniambiaa kituu" mhh subiri uonee ya kwangu"
 *MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18  Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18 Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18  Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * .Chapter 18 Nulirudi Tanzania kwetu Salama salimini nilimpigia dada nilipokuwa air port, alikuja kunipokea na gari mhh
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 9  Hhhhh nilicheka maan alikuwa kanichekesha sasa jamani mhhh
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 9 Hhhhh nilicheka maan alikuwa kanichekesha sasa jamani mhhh
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 15
MASTER MISTAKENLY SLEEPS WITH HIS HOUSEMAID CHAPTER 15
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *      Chapter 10  "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 10 "Hhh hamna nimechanganyikiwa tu kwani huyu shida nini etty Catherine?" Aliniuliza mimi nilikuwa
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12  "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12 "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 13  "Mama nae jamani ni vile tu hujui, ngoja nikwambie kila kitu sasa mama yangu ujue
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 13 "Mama nae jamani ni vile tu hujui, ngoja nikwambie kila kitu sasa mama yangu ujue
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 9  Asubuhi ilifika ila chaa ajabu najiona naamka nipo hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 9 Asubuhi ilifika ila chaa ajabu najiona naamka nipo hospitali
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13  Search  "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13 Search "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7  "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7 "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* 17 -- 18 Chapter 17  Mapenzi yangu na Elton yalikuwa mazuri kupita maelezo. Nilifurahia kila dakika niliyoitumia naye. Kila kukicha tulikuwa tunazidi kuwa karibu zaidi
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* 17 -- 18 Chapter 17 Mapenzi yangu na Elton yalikuwa mazuri kupita maelezo. Nilifurahia kila dakika niliyoitumia naye. Kila kukicha tulikuwa tunazidi kuwa karibu zaidi
*MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA*  Chapter 7  "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 7 "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
 *NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   *Chapter 14&15*  "Mbona unanitizama kama hivyoo nimekukoseaa sana madam?, kuna kitu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *Chapter 14&15* "Mbona unanitizama kama hivyoo nimekukoseaa sana madam?, kuna kitu
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12  Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 12 Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8  "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13  Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 13 Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
 *MJEDA INAUMA  SIWEZI VUMILIA* Chapter 8  Nililala mpaka asubuhi naamka hivi nipo peke yangu, kwanza kwasababu ya mawenge
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 8 Nililala mpaka asubuhi naamka hivi nipo peke yangu, kwanza kwasababu ya mawenge
*NIMEKOMA MIMI 🙌* *Chapter 16&17*  Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI 🙌* *Chapter 16&17* Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12  "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12 "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17  Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17 Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa
*NIMEKOMA MIMI 🙌* Chapter 15  Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI 🙌* Chapter 15 Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*  Chapter 9  Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* Chapter 9 Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*    Chapter 18  Aliendeleea kunipa juice jamani aliweza huyu mkaka kwa juice
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18 Aliendeleea kunipa juice jamani aliweza huyu mkaka kwa juice
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

915
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

717
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

691
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

503
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

389
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

247
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

175
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

104
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

71
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

69

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.56K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.51K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest