Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
30 views
VYOTE NDANI GONGA94
Chini ya Rais Barack Obama Mnamo mwaka wa 2010, Marekani ilizindua uchunguzi maalumu uliohusisha uchambuzi wa taarifa za siri na ushahidi uliotolewa na mahabusu waliohusika na Al-Qaeda
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Chini ya Rais Barack Obama Mnamo mwaka wa 2010, Marekani ilizindua uchunguzi maalumu uliohusisha uchambuzi wa taarifa za siri na ushahidi uliotolewa na mahabusu waliohusika na Al-Qaeda.
Hii ilisababisha kugundulika kwa nyumba ya Osama bin Laden huko Abbottabad, Pakistan.
Serikali ya Marekani ilianza kuwa na uhakika kuwa bin Laden alikuwa akishi hapo, lakini walikuwa na wasiwasi juu ya usalama na matokeo ya operesheni ya kumkamata.
Operesheni ya “Neptune Spear”
Baada ya miaka kadhaa ya kuandaa taarifa, Serikali ya Marekani ilifanya maamuzi ya kuanzisha operesheni ya kumkamata Osama bin Laden kwa jina la “Neptune Spear”.
Operesheni hii ilifanyika kwa siri kabisa, na ilikuwa na lengo la kumkamata au kumuuwa Osama bin Laden.
? Shuka na Uzi ?
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
🚨 𝐓𝐑𝐀𝐆𝐈𝐂 𝐍𝐄𝐖𝐒: Mashabiki saba wa PAOK wamefariki kwa huzuni katika ajali ya barabarani nchini Romania. 💔
Walikuwa wakielekea Ufaransa kutazama mechi ya Alhamisi dhidi ya Lyon katika Ligi ya Europa walipogongana na lori. Mawa...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..2 Dar es salaam SEHEMU YA PILI ENDELEA,. Baada ya kumaliza kuvua nguo za juu ashura ndipo aliangusha sketi yake chini kisha aka malizia kuvua taiti aliyo iunganisha na chupi hapo alibaki uchi wa mnyama
akiwa anapiga chabo mlangoni anko mudy jicho lili mtoka baada ya kuliona umbo murua la mpwa wake hali ya mashine yake n...
Chini ya Rais Barack Obama Mnamo mwaka wa 2010, Marekani ilizindua uchunguzi maalumu uliohusisha uchambuzi wa taarifa za siri na ushahidi uliotolewa na mahabusu waliohusika na Al-Qaeda
Chini ya Rais Barack Obama Mnamo mwaka wa 2010, Marekani ilizindua uchunguzi maalumu uliohusisha uchambuzi wa taarifa za siri na ushahidi uliotolewa na mahabusu waliohusika na Al-Qaeda.
Hii ilisababisha kugundulika kwa nyumba ya Osama bin Laden huko Abbottabad, Pakistan.
Serikali ya Marekani ilianza kuwa na uhakika kuwa bin Laden alikuwa akishi hapo, lakini walikuwa na wasiwasi juu ya usalama na matokeo ya operesheni ya kumkamata.
Operesheni ya “Neptune Spear”
Baada ya miaka kadhaa ya kuandaa taarifa, Serikali ya Marekani ilifanya maamuzi ya kuanzisha operesheni ya kumkamata Osama bin Laden kwa jina la “Neptune Spear”.
Operesheni hii ilifanyika kwa siri kabisa, na ilikuwa...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chini-ya-rais-barack-obama-mnamo-mwaka-wa-2010-marekani-ilizindua-uchunguzi-maalumu-uliohusisha-ucha