Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya KWANZA.  “Aziza tutaenda wote kuifanya hiyo kazi” nilisema huku nikijribu kuinuka
Gonga94 · Stories

CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya KWANZA. “Aziza tutaenda wote kuifanya hiyo kazi” nilisema huku nikijribu kuinuka

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

“Abdam…..abdam!”
“Tulia kwanza unaitwa” mzee aliniambia
“Nani anayeniita?” Nilimuuliza
“Muangalie vizuri anayekuita!”
“Mimi mbona naona?”

“Wewe hauoni, bado kipofu, angalia vizuri utamuona!”
“Abdam..abdam!” Yule mtu aliendelea kuita. Nilipojaribu kuangalia vizuri na taratibu sura ya yule aliyekuwa ananiita ilianza kuonekana vizuri, alikuwa shangazi.
“Vipi, umeamkaje?” Shangazi aliniuliza lakini sikumjibu kitu. Niliangalia kila upande na kujiona kuwa nipo kitandani, hapo ndipo nilipogundua kuwa ile ilikuwa ni ndoto. Nilijaribu kuitafakari sana ile ndoto lakini sikupata maana yake kabisa.

” umenikasirikia kwa sababu nimekutoa kwa aziza?” Shangazi aliniuliza huku akitabasamu
“Hamna shangazi, ni ndoto tu”
“Hahahah bakora yako ni hatari, inachapa hadi katika ndoto, una hatari sana wewe”
” aaah kawaida tu, si unajua nimeshakuwa mtu mzima, kwa hiyo siku moja moja kumwaga maji kitandani sio mbaya!”

“Mmh haya, mimi utanikuta nje!” Alisema shangazi na kutoka nje ya chumba changu.
Niliendelea kuitafakari tena ile ndoto lakini bado nilikosa majibu yake, niliamua kuachana nayo.

Ilikuwa ni siku ya jumatatu iliyo tulivu. Kwa wale waliobahatika kuajiliwa, walikuwa wakielekea katika sehemu zao ili kuwajibika na ujenzi wa taifa. Wakati wengi wao wakienda kazini, hali ilikuwa ni tofauti kwa baadhi ya vijana kwani ndio kwanza walikuwa wakiwaza kwenda kukaa katika vijiwe. Wengi wao wakiwa wanapanga jinsi ya kuongeza mbinu na ujuzi wa kuwaibia wananchi.

Nilitandika kitanda changu vizuri na kufanya usafi katika sakafu kisha nikaanza kupanga panga vitu vizuri viwe katika mpangilio mwengine. Nilipomaliza nilichukua mswaki kisha kuingia bafuni kwa niaba ya kuusafisha mwili wangu kutokana na shombo la samaki aina ya mkunga.

“Aaah mjomba, umeshaamka?” Alikuwa ni mjomba baada ya kukutana nae ukumbini mara baada ya kutoka bafuni, nae alikuwa akielekea bafuni kwa ajili ya kuusafisha mwili na kujiandaa kwenda kazini.

“Ndio, nimeamka muda mrefu tu!”
“Vipi maendeleo ya homa?”
“Kwa kweli, namshukuru mungu, naweza kusema nimepona kabisa!”
“Sawa, naenda bafuni, nikirudi, tutaongea!”
“Sawa mjomba!”
Mjomba aliingia bafuni kwa ajili ya kuoga.
“Habari za asubuhi?” Shangazi alinisalimia.
“Mh shangazi, si ulikuja chumbani kwangu, haujanisalimia?”
“Mimi nilikuja kumuangalia huyo akiwa hajaamka anakuaje nimemmiss sana eti!”
“Hebu tuachane na hayo, unajua wewe ni msomi sana eti?”
“Enhe, kwa nini unaniuliza hivyo?”
“Nataka kujua kwani asubuhi zipo ngapi?”
“Asubuhi zipi sasa?” Aliuliza shangazi kwa mshangao. Ulikuwa ni mwendo wa swali kwa swali badala ya swali kwa jibu.
“Aah umeniuliza habari za asubuhi ndio maana!”
“Oooh umeanza utani wako, haya habari ya asubuhi?” Alisema shangazi huku akitabasamu
“Nzuri tu, umeamka salama wewe?”
“Mimi sijambo hofu kwako tu?”
“Mimi nipo vizuri!”
“Naona………!”

“Kumbe shangazi ukitoka kuamka ndo unakuwa mrembo hivyo?” Nilimtania huku nikimpiga shangazi katika makalio yake makubwa yaliyozuiliwa na khanga moja tu.
“Umeshaanza hivyo, ndio maana mjomba wako huwa hapendi atukute tumekaa pamoja kama hivi!” Alisema shangazi ambaye kiumri alikuwa amenipita miaka mitatu.
“Hapa upo na mimi, yeye anahusika kwa namna gani?” Nilisema huku nikimuangalia shangazi ambaye kutokana na umbo lake lililozuiliwa na khanga moja lilimfanya aonekane ni mrembo zaidi. Kwa sababu alikuwa anafanya usafi, udenda ulikuwa unanitoka kutokana na vile alivyokuwa anainama kwa ajili ya kudeki sakafu. Mambo yalikuwa yanaanza kuharibika. Tayari nguo yangu ya ndani ilikuwa inapambana ili isitobolewe na mkuki wa mmasai aliyekuwa na hasira za kupitiliza.

Nini kitatokea…….

Itaendelea……..Like ziwe nyingi tu

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya KWANZA. “Aziza tutaenda wote kuifanya hiyo kazi” nilisema huku nikijribu kuinuka


“Abdam…..abdam!”
“Tulia kwanza unaitwa” mzee aliniambia
“Nani anayeniita?” Nilimuuliza
“Muangalie vizuri anayekuita!”
“Mimi mbona naona?”

“Wewe hauoni, bado kipofu, angalia vizuri utamuona!”
“Abdam..abdam!” Yule mtu aliendelea kuita. Nilipojaribu kuangalia vizuri na taratibu sura ya yule aliyekuwa ananiita ilianza kuonekana vizuri, alikuwa shangazi.
“Vipi, umeamkaje?” Shangazi aliniuliza lakini sikumjibu kitu. Niliangalia kila upande na kujiona kuwa nipo kitandani, hapo ndipo nilipogundua kuwa ile ilikuwa ni ndoto. Nilijaribu kuitafakari sana ile ndoto lakini sikupata maana yake kabisa.

” umenikasirikia kwa sababu nimekutoa kwa aziza?” Shangazi aliniuliza huku akitabasamu
“Hamna shangazi, ni ndoto tu”
“Hahahah bakora yako ni hatari, inachapa hadi katika ndoto, una hatari sana wewe”
” aaah kawaida tu, si unajua nimeshakuwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chombezo-shangazi-sehemu-ya-kwanza-aziza-tutaenda-wote-kuifanya-hiyo-kazi-nilisema-huku-nikijribu-ku

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chombezo-shangazi-sehemu-ya-kwanza-aziza-tutaenda-wote-kuifanya-hiyo-kazi-nilisema-huku-nikijribu-ku
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

875
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

732
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

538
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

210
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

183
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

108
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

78
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

45
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest