Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Aug 2025
162 views
VYOTE NDANI GONGA94
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA* ____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Niliona ile arama ya siku ile na bakwa, pale pale nilidondosha mfuniko niliokuwa nimeshika, nikawa natetemeka kwa hasira, P akawa ananishangaa nini tatizo, nikawa naangalia tu mkono wake, akafunika harakaharaka apo apo nikagundua ni yeye, nyie usiombe ikukute, nilitaka kudondoka akanidaka,nililia uku sitaki anishike, alinimbembeleza uku anaomba nimsikirize, alinipeleka kitandani akanizimba mdomo, kam a alivyofanya siku ananibaka, alianza kuongea huku analia...
" D ukweli nakupenda mno, nakupenda mno mamy ulivyonikataa niliumia, nilishindwa kuvumilia, nikaamua nitafute njia ya kuwa na wewe milele, nahitaji kuishi nawewe, niliamua kufanya ili kosa, na nilikufungia kule ili usije ukameza dawa za kuzuia mimba nilihitaji hio mimba, kwasababu ya kutuunganisha, nahitaji uwe wa kwangu, nilikufanyia vipimo diku ile ili kuona kama tunaendana, na naweza kukupa mimba na ndio maana niliulizia mzunguko wako, nilijua kabisa hio siku ni lazima ubebe mimba...
Kwa sababu ulikuwa siku za hatari, na najua shift ya mchana wodin, bila mimi ni ngumu, lazima umechoka nikaomba uwekwe wodini, ili uvheke iwe rahisi mimi kukamirisha hili zoezi, sikufanya kukukomoa D ni mapenzi tu,nakupenda mno, sikotayari kukupoteza kwa njia yoyote ili, aliongea skapiga magoti chini, " naomba unipe nafasi nakuahidi sitokuja kukufanya ulie kamwe, hutokuja kulia kwa ajili yangu, nitakutunza nitaku linda...
" Nakupenda jaribu kunierewa, nipe nafasi ata kidogo tu uone jinsi ninavyokupenda,nitahakikisha kila kitu kiko sawa,alivyomaliza kuongea ndio akanitolea alichoniziba nacho mdomoni, sikuwa hata na nguvu ya kuongea nilizimia tu, nimekuja kupata fahamu nakuta kuna watu wawili,P na mkaka mwingine...
P alikuwa analia, anamuuliza mwenzake nifanyeje sasa,mbona haamki asipoamka sitokaaa nijisamee ni bora nife tu,aliongea uku anajipiga kifua, Tito alimsanua kuwa nimeamka, akafuta machozi haraka akaanza kuniuliza vipi kuna tatizo wapi, sikujibu chochote nilikuwa nahisi njaa na kusema sitaki...
Alijiongeza akaenda kupika na mwenzake mimi kimya, alipika akaleta nilikila adi nikahisi tumbo litapasuka,nikaaacha kula ila sahani jupe peeee, alifurahi akaanza kujitambulisha apo mimi , nawatizama tu uku ninahasira na P vibaya mno, nasubili tu mgeni wake aondoke, na mgeni hakukaa sana akato na kutuaga, nikabaki na hasimu wangu sasa...
Full 1000
Whatsp 0784468229
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AFANDE MILLANπ Sehemu ya 59
Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo,...
πππππππππππππ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtot...
*AFANDE MILLANπ* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafut...
48 MWISHOOO πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake ...
46 MPAKA 47 πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Yani niliba...
πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa n...
41 MPAKA 42 πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa k...
DOCTOR BOSS ANATAKA TENA* ____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
Niliona ile arama ya siku ile na bakwa, pale pale nilidondosha mfuniko niliokuwa nimeshika, nikawa natetemeka kwa hasira, P akawa ananishangaa nini tatizo, nikawa naangalia tu mkono wake, akafunika harakaharaka apo apo nikagundua ni yeye, nyie usiombe ikukute, nilitaka kudondoka akanidaka,nililia uku sitaki anishike, alinimbembeleza uku anaomba nimsikirize, alinipeleka kitandani akanizimba mdomo, kam a alivyofanya siku ananibaka, alianza kuongea huku analia...
" D ukweli nakupenda mno, nakupenda mno mamy ulivyonikataa niliumia, nilishindwa kuvumilia, nikaamua nitafute njia ya kuwa na wewe milele, nahitaji kuishi nawewe, niliamua kufanya ili kosa, na nilikufungia kule ili usije ukameza dawa za kuzuia mimba nilihitaji hio mimba,...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/doctor-boss-anataka-tena-____________________________________-sehemu-ya-kumi-na-moja
Maoni