VYOTE NDANI GONGA94
DOCTOR SEBASTIAN kapewa jukumu zito la kijeshi la kutengeneza binadamu asieweza kuonekana
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
๐ Anaaamini atapata usingizi mzuri siku ambayo project yake itakamilika, DOCTOR SEBASTIAN kapewa jukumu zito la kijeshi la kutengeneza binadamu asieweza kuonekana
Lengo wanadamu hao watumike katika shughuli za kijeshi.. DOCTOR SEBASTIAN akafanikiwa kufika nusu ya malengo baada ya majaribio kadhaa waliyoyafanya kwa Wanyama kama mbwa na Sokwe kufaulu ๐ค
Kazi iliyobaki ikawa ni kuhakiki jaribio hilo kwa mwanadamu, anahitajika mwanadamu mmoja wa kujitolea kufanyiwa jaribio hilo la kidungwa sindano itakayomfanya kuwa invisible ๐
DOCTOR SEBASTIAN akajitolea yeye kudungwa sindano hiyo... mission ikafaulu taratibu akaacha kuonekana baadae akapotea kabisa lakini akizungumza anasikika pia akikugusa lazima uhisi mguso wa kitu ๐ซฃ
Sasa shida iliyoibuka ni kwamba walipojaribu kumdunga sindano ya kumrejeshea muonekano wake wa awali aonekane kama binadamu wengine mambo yakaenda vibaya na kushindwa kurejea ๐ฅบ
Kizaazaa kikaibuka kutafuta dawa gani inayoweza kumrejesha katika hali yake ya kawaida ikabidi aamriwe asitoke maabara hapo mpaka pale tiba itakapopatikana ๐
Baada ya kukaa siku kadhaa bila ufumbuzi kupatikana aliona atoroke hapo maabara, Sasa huyo DOCTOR bhana alikuwa na tabia zake za hovyo kigezo cha kutoweza kuonekana alianza tabia za hovyo uzalilishaji wa wanawake na ubakaji ๐
Wanawake aliokuwa akiwatamani na waliomkataa kuanzia madoctor wenzie na wanawake wa kitaani cha moto walikiona Kiza kilipoingia wakiwa wamelala aliwafanya alichoona kinafaa daaah! ๐คฆ
Baada ya tabia zake chafu kushamiri na muhusika kugundulika ni yeye shughuli ikawa ni namna gani ya kumdhibiti maana vihelehele waliokuwa mstari wa mbele kuripoti tabia zake mbovu jeshini waliuwawa kikatili ani ๐
Bonge moja la horror movie moja kati ya kazi ambazo hutakiwi kuzikosa maana hii kazi imekamilika kila idara, pia hizi single movie zipo 2 kila 1 utaipata kwa 1,000 ๐ค
Ukiihitaji full nicheki whatsapp : 0762873735 ๐ค
#DJ_MARK_MOVIES

SHUKRANI โ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi doctor-sebastian-kapewa-jukumu-zito-la-kijeshi-la-kutengeneza-binadamu-asieweza-kuonekana