πππDRAMA OF LOVEππ.
part 36.
Although our God is almighty, he doesn't send rain from a clear skyπ. He can't bless an empty handed manπͺ. What do you have? What are your plans π€,, mungu hawezi kukubariki ukiwa mikono tupuπͺ. Push puuush, have something that God can use to bless you β£οΈβ£οΈ. Moses had a rod, think of David and Goliath, daudi hakuwa mikono mitupuπ€...π.
Oh my God π,, kwan naongelea nini tenaπ±. Kochini amekaa Esau,, askari rafiki yangu,, haachi kutabasamu kila anapoangalia matokeo yangu ya shuleπ.
HIM: Wow wow wow,, how did you manage to pick up that easily π€π€. Najuwa huwezi pekee yakoπ. Tell meβ£οΈ
Hapo kwa mara ya kwanza nilimwangalia Brianna kwa macho ya shukran,, kama haingekuwa idea yake, I wouldn't have made it π€.. she smiled back, π.
Esau: ahaa don't even bother to tip me β£οΈ. She's the one behind these results right??
ME: Of course broπ€.. a very dramatic fellow πͺ.
Brianna: Was it a must to say that tooπ.. leave me alone please π.
Esau: Am proud of you sister,, such people should not die early π€π€.. give me a high 5β£οΈ.
BRIANNA: Thank you Sir π.. hata Mwenyewe hajawahi niambia asanteπͺπͺ. What ungrateful and rotten boyπͺ..
ME: Go to your roomπͺ.. Sir she has started π.
Esau: Oh my goodness πππ. Is this how you guys live here?? Sasa between you Sky and her, who's more dramaticπ€π€.
HER: Ni yeye
ME: Ni yeye πͺ
Esau: Oookay, even the Bible says,, popote palipo na utafauti wa mawazoππ. Kura huandaliwaπ€π€.. kwa hivyo,, NJeri, who do you think is more dramatic bwtn these two??
NJERI: Mmmhπ€π€. (She looked at me then at her) fungeni macho waseeπ. Sitaki mtu anione nikimpoint π.
BRIANNA: Et nifunge machoπ€. Mm heri nitafune makaa moto hadi nimeze kuliko kufunga machoπͺ.
NJERI: Yaa that's the answer Sir ππ.. hapa ndani huwa hatupumuiππ.. kama juzi tulimpata akiwa.......
BRIANNA: Enough nowπ..
HIM: WOW π,, natamani sana nikae kae nanyiππ.. et utafune makaa motoππ. Tokeni nje woteπ..
NJERI na Brianna walijipa shughuli tukabaki ndume pekeeπͺ..
HIM: So Sky. am grateful to see you happy again,, hata tupitie makubwa magumu aje ,, life should continue kama kawaidaπ€π€.. it's our future we're chasing not our enemies,,
ME: Very true,, I thank all these ladies so much,, sijui ningekuwa nafanya nini sahi kwa hii hao pekee yanguππ..
HIM: can I ask you a question,,, ?
"Sure Sir,π" I said.
"After thinking for a while π€π€,, okay sasa mnakaa ajeπ€,," he asked. "One man with two girls in the same house and they're not your relatives?" He added.
ME: Just like that Sir,, they're making me busy at least I have no time for stressπ.
HIM: I didn't mean that.. like are you not tempted to .......
ME: Ooh I get you.. angekuwa mmoja ningekuwa tempted sana.. but wakiwa wawili siwezi,, wivu yao haiwaruhusu mmoja akae na mmπ.. kwanza huyu nani.....
Kidogo Brianna akamwangukia Esau kutoka juu ya nyumba,, kumbe alikuwa amepanda juu ya mlango ndo asikize maneno yetuππ.
Esau: Heeeheπ.. ulikuwa unataka kusema huyu ama??
ME: ππ wacha tu broππ..
HIM: Before I take my leaveπ. I have some important news Sky πͺ. Please am not saying this to take you back to bitternessβ£οΈ. Was your mom..... Okay I hope this won't affect your studies broπ€.
ME: My Mom??
HIM: Am sorry for reminding you this bitter story, ama wacha tu basiπ I'll tell you about it laterπ.
NJERI: Sky, what has he done to you nowπ±.. crying again??
Brianna: Sir please,, Sky has not fully recovered from the loss π. Give him time,, or is it urgent??
HIM: I got a dream yesterday.. I saw a woman, she was medium in height,, in a black skirt and white blouse ππ.. she was directing me to where .......
ME: That's my Mom Sir,,, where's sheππ?
NJERI: Sky relaxππ. Okay Sir she was directing you to where??
To be continued..... Part 37 ninaipost kwa my other account sahi... weka like alfu click hapaπ usome next partππππ
Skyboy.