Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
16 Oct 2025
61 views
VYOTE NDANI GONGA94
FATE TO LOVE YOU π 11 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
taratibu akarudi chumbani kwake , alijikaza kitandani .
" Sasa kwanini afanye hivi? Kama kulikuwa hakuna kazi si angeniambia haiwezekani nijue moja ?
Lina aliwaza sana mpaka mwisho akafikiria kurudi kwa Mishely ili ampe michingo ya kazi zake.
Siku hiyo jioni Jerry alikuwa amekaa bustani huku akinywa kinywaji , Lina alimfuata.
" Habari yako boss
Jerry alimuangalia kisha akatoa tabasamu dogo.
" Salama Lina, karibu ukae.
Lina alikaa kwenye kiti cha pembeni yake .
" Samahani naweza kuongea na wewe?
" Bila shaka unaweza.
" Siku ile tukiongeza kuhusu kazi lakini hukuniambia mshahara wangu utakuwa kiasi gani?
Jerry alimuangalia kisha akasema.
" Vipi laki tano itakutosha?
Lina alishangaa na kuacha mdomo wazi.
" Laki tano? Ya laki laki zinakuwa 5?
Jerry alitingisha kichwa kumaanisha ndio.
Lina alitulia kidogo akimuangalia bila kujua aongee nini.
" Lakini mbona sipo hapa kama mfanyakazi, nipo hapa kama mgeni rasmi wa kuhudumiwa kwa kila kitu.
Jerry alinyanyua grass ya kinywaji akanywa kidogo kisha akarudisha grass mezani.
" Lina sitaki kukuona ukisumbuka wala kuhangaika acha wafanyakazi wafanye kazi , wewe ni muhimu sana kwangu.
Jerry aliongea huku akiwa anamuangalia usoni bila kupepesa macho. Lina aliona aibu na kuinamisha na chini. "Lakini boss nipo hapa kufanya kazi na sio kuheshimiwa hivi.
" Labda kazi yako kubwa zaidi ni kuwa karibu na mimi kama hivi. Nilikaa sehemu na wewe ipo pembeni yangu, nikitaka kupiga story basi nipige na wewe, nikitaka ushauri basi unipe wewe.
Maneno ya Jerry yalifanya moyo wa Lina ulipuke. Taratibu lina alinyanyuka na kuondoka kabisa ile sehemu.
Siku moja Osca alikutana na marafiki zake kwaajili ya kufurahi , pia Stephen alikuwepo .
" Stephen hivi yule mpenzi wako ulikuja nae kwenye sherehe ya siku yangu ya kuzaliwa bado upo nae?
" Unajua huwa siwezi kukaa na mwanamke kwa muda mrefu , hata hivyo niliacha na nae siku ileile .
" Ila wewe ni noma . Kuna sehemu nimemuona ila ni pisi kali.
Stephen alishituka kusikia hivyo.
" Umemuona wapi?
" Yupo nyumbani kwa Jerry. Baba yangu mdogo.
" Anafanya nini nyumbani kwa Jerry?
" Sijui ila nilikuwa huko.
" Daaaaa, nilikuwa natafuta sana , sasa utanisaidiaje niweze kumuona?
" Ni wewe na muda wako tu , hata ukisema leo jioni sawa.
" Pia nataka unipeleke leo jioni.
Walikaa pale huku wakiendelea kunywa na kuongea lakini Stephen hakuonekana kuwa sawa.
Jioni Lina na Jerry walikuwa wamekaa sebleni wakiongea.
" Lina unaweza kuniambia ndoto ya maisha yako ni ipi?
" Nilikuwa na ndoto ya kuwa daktari wa mambo ya uzazi lakini ndoto yangu ilizima baada ya wazazi wangu kufariki. Shangazi alijitahidi sana kunisomesha lakini hakuwa na uwezo wa kunisomesha mpaka pale nilipotaka ni kufika nikaishia kuwa msichana wa kazi.
" Vipi ndoto zako ndio zimetuma kabisa, yani umeshakata tamaa ?
" Nimekata tamaa sababu najua siwezi kufika huko.
β vipi kama nikitaka kukupa sapoti ukatumia hiyo ndoto yako ?
Lina alimuangalia Jerry kwa makini , yani kama vile alikuwa anatamani kusikia tena ile kauli .
" Una maanisha unachokiongea boss?
" Ndio Lina nataka nikubadikishe uwe mtu mwingine kabisa.
Lina alifurahi mpaka machozi yakimtoka , alishindwa kujizuia alinyanyuka na kwenda kumkumbatia .
" Asante boss.
Jerry aliachia tabasamu kisha akanyanyua mikono yake na kumkumbatia .
" Usijali nipo pamoja na wewe.
Wakiwa bado wamekumbatiana mara Stephen na Osca na kuwakuta wakiwa wamekumbatiana.
Stephen walisimama akiwa anawaangalia huku akiwa amekunja sura.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Hapo ni Golden Harvest Studios mwaka 1972 pale ambapo kijana mdogo Jackie Chan alijihisi anauwezo sawa na mpiganaji bora wa dunia wa muda wote Bruce Lee,Na
kutaka kumpandishia Bruce Lee ila watu wakaingilia na Jackie Chan mwenyewe anasema alishukuru watu waliingilia na pia b...
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________* *SEHEMU YA 01* "Kikosi namba saba, wote mnatakiwaΒ pared,Β leo jioni kutakuwa na ugeni,Β Β hivyo mjiandae"
Tulitoka mbio na kuelekea pared,Β mara tuu baada ya kamanda kumaliza kuongea hivyo,Β Β tulikuwa kwenye mazoezi,Β vikosi ...
πππ’ π‘π π π₯ππ ππ’ πͺπ π§πππ§π’π SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini β" Zara aliongea.
"Hujanijibu swali langu, Bryant Kobe ameniachia kiti kwa hiari yake au umemuomba?" "Bila kumuomba unadhani angeachia na...
FATE TO LOVE YOU π 11 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
taratibu akarudi chumbani kwake , alijikaza kitandani .
" Sasa kwanini afanye hivi? Kama kulikuwa hakuna kazi si angeniambia haiwezekani nijue moja ?
Lina aliwaza sana mpaka mwisho akafikiria kurudi kwa Mishely ili ampe michingo ya kazi zake.
Siku hiyo jioni Jerry alikuwa amekaa bustani huku akinywa kinywaji , Lina alimfuata.
" Habari yako boss
Jerry alimuangalia kisha akatoa tabasamu dogo.
" Salama Lina, karibu ukae.
Lina alikaa kwenye kiti cha pembeni yake .
" Samahani naweza kuongea na wewe?
" Bila shaka unaweza.
" Siku ile tukiongeza kuhusu kazi lakini hukuniambia mshahara wangu utakuwa kiasi gani?
Jerry alimuangalia kisha akasema.
" Vipi laki tano itakutosha?
Lina alishangaa na kuacha mdomo wazi.
"...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/fate-to-love-you-11-mtunzi-uhuru-media-lina-alishangaa-inakuwaje-iwe-hivyo-wakati-aliongea-na-jerry-
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi fate-to-love-you
FATE TO LOVE YOU π 17 MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
FATE TO LOVE YOU π 10 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
FATE TO LOVE YOU π 7--8 7 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alitoka nje akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU π 15 MTUNZI: UHURU MEDIA Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
FATE TO LOVE YOU π 16 MTUNZI UHURU MEDIA Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU π 9 MTUNZI UHURU MEDIA Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p
FATE TO LOVE YOU π 14 MTUNZI UHURU MEDIA Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani
FATE TO LOVE YOU π 12 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen alisimama huku akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina kwa chuki.
FATE TO LOVE YOU π 6 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishuka kwenye gari na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
FATE TO LOVE YOU π1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
FATE TO LOVE YOU π 13 MTUNZI UHURU MEDIA Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU π 5 MTUNZI UHURU MEDIA Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?