Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________*   *SEHEMU YA 01*  "Kikosi namba saba, wote mnatakiwa  pared,  leo jioni kutakuwa na ugeni,   hivyo mjiandae"
Gonga94 · Stories

*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________* *SEHEMU YA 01* "Kikosi namba saba, wote mnatakiwa  pared,  leo jioni kutakuwa na ugeni,   hivyo mjiandae"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Tulitoka mbio na kuelekea pared,  mara tuu baada ya kamanda kumaliza kuongea hivyo,   tulikuwa kwenye mazoezi,  vikosi vyote tulikutana hapo, na baada ya hapo tulifanya pared  yanguvu kidogo,   na kisha alisimama kiongozi wa vikosi vyote,  tulimpa heshma kwa kutoa sarut,  aliitikia nae kisha alisema:

"Vikosi vyote makamanda,  tunapaswa kufanya maandalizi,  kwani kesho kutakuwa na ugeni,  General  Ethane  atakuwa hapa,  nadhani mnamjuwa,  huwa  hapendi makosa, hivyo tukitoka hapa wakuu wa vikosi wote tukutane  ukumbi wa mkutano sawa"?

Wakuu wa vikosi vyoote,   waliitikia na kutii amli ya kiongozi,  kisha  tulipomaliza mazoezi ya pared,  tuliruhusiwa tukaenda   mabwenini, kwani muda wamazoezi pia ulikuwa umeisha,  tukiwa bwenini dada Catrine  alikuwa akiongea na wenzie, nilimsikia:

"General Ethane  ni  handsome jamani, hata kama ninamchumba,  na akatokea General Ethane akanipenda,  simkatai ninampenda sana"

Na wenzie wote walisapoti hayo maneno,  nilibaki nikiwaona kama wemevurugwa,  kwa maneno yale nilikuwa naona niujinga,  kwanza katika maisha yangu kabisa siamini kitu mapenzi,  na sipo tayari kuyapa nafasi kabisa,   kwa hapa kambini,   mimi nimgeni sinamuda sana tangu nimejiunga na jeshi,   hivyo viongozi wetu wakubwa  nawasikia tuu majina,   wengi siwajui hata kwa sura,  ninao wajua ni hawa wa kambini tu,  ndio maana niliona wanaongea upuuzi tuu,  muda kidogo,  kamanda wa kikosi chetu,  alikuja na kusema:

"Laura,  kesho asubuhi unione,   kunakazi  nataka nikupe"

"Sawa mkuu"

Nilijibu kwa heshma,   na kisha baada ya kuondoka,  wakina Catrine waliendelea kupiga stori zao,   ambazo mimi sikuwa muumini wa hizo stori,   nilichukua kitabu changu kinachohusu historia ya nchi  na kuanza kujisomea,  huku nikiwa nimejiegesha kwenye kitanda changu,   napenda sana kusoma  historia ya nchi yangu, baada ya muda tulienda kula chakula cha usiku,  tulipotoka  kantini tuliludi bwenini,  nilipofikatu nilipanda kitandani,    na kuendelea kujisomea hapo, hadi nilipitiwa usingizi,  kulipokucha kama kawaida,   alfajiri  namapema tunaamka na tizi la kufa mtu,  kisha kukipambazuka tunakutana pared,  na baada ya hapo ukaguzi unafanyika,  kisha tunatuhusiwa kwenda kupata kifungua kinywa,  ni dakika tuu kisha tunaenda mazoezini kwa vikosi,  nilipotoka kupata breakfast nilimfuata kiongozi wa kikosi chetu,  na kumuitikia wito,   aliniambia jana usiku kuwa asubuhi nimuone,   anakazi anataka kunipa,

"Mkuu nimeitika wito,   ulioniambia jana nikuone asubuhi,  kunakazi unataka unipe"

"Ok,  ninakumbuka, nione  mida ya saa sita mchana,   baada ya kutoka kupata ranch, sawa"

"Sawa mkuu"

Kisha baada ya hapo tuliendelea na mazoezi kama kawaida,   tulifanya mazoezi mbali mbali,   mengine magumu acha tuu,   tulikuwa mchanganyiko wanaume kwa wanawake,   lakini nilikuwa nijitahidi sana sio wakulalamika lalamika,  kwani mazoezi yalikuwa yapamoja hakuna kubagua,  lilifika lile zoezi la kutambaa kwenye matope, nilifanya bila kuogopa kitu,   na hivi nilivyo mwembamba  na kisura changu chaupole,  hadi kiongozi wetu huwa ananikubali sana,  napenda kujitahidi kuhakikisha sishindwi kitu,  hiyo ndio staili yangu mimi yamaisha,   sinaga marafiki, pia  sina boyfriend,  sijaona haja ya kuwa naye kwa sasahivi,  huwa nipo kivyangu tuu  mkimya sana,  tulifanya mazoezi ya kila aina hadi yakutembea kwenye kamba,  muda ulienda hatimae saa sita ilifika, tulienda  kupata chakula chamchana kantini, tukiwa huko tunakula nawenzangu alikuja mkuu wa kikosi chetu,  kikosi  namba saba alikuja moja kwa moja nilipokuwa mimi nakula,  na kuniambia:

"Laura!  ukimaliza kula njoo ofisini kwa mkuu wa vikosi vyote,   utanikuta huko sawa?

"Sawa mkuu"

Kisha mkuu wa kikosi chetu aliondoka,  wakina Catrine na marafiki zake wote walikuwa wakinitizama,   na kisha walianza kunong'ona nog'ona,   sikuwafuatilia,   nilijisemea kimoyo moyo ni kawaida palipo na wasichana zaidi ya mmoja,   huwa hapakosi maneno maneno,   hivyo niliwapuuza  mambo ambayo hayanichumbui ngozi,  niliendelea kula  mala tu  filimbi ilipo lia,   kila aliekuwa ana kula aliachia  chakula,  na kuludi  kwenye maziezi,  nami nilienda ofisini kwa mkuu wa vikosi vyote, na kumkuta mkuu wa kikosi changu pamoja na mkuu wa vikosi vyote hapo,  walipo niona walinikaribisha:

"Karibu"

"Asante"

Aliongea mkuu wa kikosi namba saba mkuu wangu:

"Anaitwa Laura Lewis,  ni kruta wakikosi namba saba,  kati ya wale ulioniambia nitafute,  kwaajili ya usafi na kusimamia mambo ya chakula cha General Ethane,  huyu ni mmoja wapo"

"Ok,  sawa  haya unaweza kumpeleka eneo la tukio,   atamkuta mwenzie huko, naomba Laura mfanye vizuri,  na haraka kwani muda pia umeenda,  sio muda mrefu atakuwa hapa,  nimkali sana  sawa"?

Niliitikia na kusimama haraka,   tayari kwa kwenda kufanya kazi niliyopewa,  mkuu wa kikosi namba saba,  aliniongoza  hadi kwenye chumba cha muheshimiwa General Ethane,  tulipo fika tulimkuta kruta mwingine ,  alipiga sarut kutoa heshima kwa mkuu wangu wakikosi kisha alijitambulisha:

"Naitwa Nancy mkuu natoka kikosi namba tisa namba yangu ni namba tano,  nipo hapa kwaajili ya kufanya usafi, nimaelekezo kutoka kwa mkuu wangu wa kikosi"

"Ok  sawa Nancy,  kutana na Laura nikikosi namba saba,   namba yake ni saba,  nae yupo hapa kusaidiana na wewe"

Kisha Nancy alinipigia sarut,  nami nilimjibu kwa sarut,   ndio salamu zetu masoja,   baada ya hapo kiongozi wangu muheshimiwa Jeff,  alituelekeza kilakitu chakufanya,  kisha akatuacha wenyewe,  na kwenda kwenye mazoezi kusimamia,  tulianza kufanya kilicho tupeleka hapo,  tukiwa tunashugulika Nancy aliniuliza:

"Laura,  unamjua General Ethane?

"Hapana simjui"

"Wewe unamuda gani kambini,  hadi usimjue General Ethane"

"Ninakaribia mwezi sasa,  nafikili ni wiki ya tatu"

"Ndio maana,   alikuwa kasafiri alienda nje ya nchi,  ni mkali sana,  lakini nimzuri sana yaani handsome,   na anamoyo mzuri mno"

"Ok,  kwanini kila mtu anamsifia hivyo kuwa ni hb,  inawezekana ni hb,   kweli haya  tunamuona akija"

Tulifanya kazi kwa kushilikiana,   kilakitu tuliweka sawa,  na tulifanikiwa kumaliza,  na  tulimuita kiongozi wa kikosi namba saba,   kuja kukagua,  alifurahishwa na kazi yetu tuliyoifanya, na kutupongeza kisha tulienda kwenye mazoezi yetu na yavikosi,  baada ya muda mchache viongozi walikusanyika,  na kutuambia tufanye mazoezi  bila kusimamiwe kwa muda,  na kisha  walienda  kumpokea  General Ethane,  alikuwa tayari kaingia,   walimkaribisa na kisha aliingia moja kwa moja kwenye ukaguzi wa mazoezi,  alizungukia vikosi vyote,  alipofika kikosi namba saba,  tulisimama na kumpa sarut kama saram ya heshima kwa mkuu wetu,  na kisha alitupa inshara tuendelee na mazoezi,  tuliendelea kufanya mazoezi,  wakati huo alikuwa bado anatutizama,  nilikuwa nafanya zoezi la kuparamia ukuta,  kwabahati mbaya nikaanguka,  nilikuwa nimepanda vibaya,  alikasirika sana  General na kunifokea kwa nguvu kisha  hapo hapo akanipa adhabu"

Je unatamani kujua nilipewa adhabu gani endelea kufuatilia.......

Namba ya malipo 0742133100
Tangazo - Kazi ya jela ilinifanya niwe malaya full story ni Tamu balaaah
Kazi ya jela ilinifanya niwe malaya full story ni Tamu balaaah
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________* *SEHEMU YA 01* "Kikosi namba saba, wote mnatakiwa  pared,  leo jioni kutakuwa na ugeni,   hivyo mjiandae"

Tulitoka mbio na kuelekea pared,  mara tuu baada ya kamanda kumaliza kuongea hivyo,   tulikuwa kwenye mazoezi,  vikosi vyote tulikutana hapo, na baada ya hapo tulifanya pared  yanguvu kidogo,   na kisha alisimama kiongozi wa vikosi vyote,  tulimpa heshma kwa kutoa sarut,  aliitikia nae kisha alisema:

"Vikosi vyote makamanda,  tunapaswa kufanya maandalizi,  kwani kesho kutakuwa na ugeni,  General  Ethane  atakuwa hapa,  nadhani mnamjuwa,  huwa  hapendi makosa, hivyo tukitoka hapa wakuu wa vikosi wote tukutane  ukumbi wa mkutano sawa"?

Wakuu wa vikosi vyoote,   waliitikia na kutii amli ya kiongozi,  kisha  tulipomaliza mazoezi ya pared,  tuliruhusiwa tukaenda   mabwenini, kwani muda wamazoezi pia ulikuwa umeisha,  tukiwa bwenini...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-01-05-__________________________________-sehemu-ya-01-kikosi-namba-saba

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO*  *11--15* *__________________________________*  *SEHEMU YA 11*  Nilishtuka sana mjomba alipo niona ndio mkono wa General Ethane upo mdomoni kwangu
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *11--15* *__________________________________* *SEHEMU YA 11* Nilishtuka sana mjomba alipo niona ndio mkono wa General Ethane upo mdomoni kwangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *16--20* *
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *16--20* *
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.48K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

2.57K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.12K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.11K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.04K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest