Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  SEHEMU YA 19 - 20
Gonga94 · Stories

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 19 - 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nikamuonesha mume wangu ile sms akaanza kucheka, kisha akasema “Huyu itakuwa anaota, embu twende akatupeleke kwa huyo mzee…
“Na vipi kuhusu mtoto, maana simuamin sana shangazi yangu, nataman asijue kama nimejifungua…
Mama yangu atakuja kukaa nae, na hapo mtoto alikuwa ana miezi kama nane, kweli mama yake akaja kukaa na mtoto wangu tukaenda mpaka nyumban kwa shangazi, tukamkuta amedhohofika sana, mpaka alikuwa anatia huruma…

“Shangazi tumekuja kukusalimia na utupe habari za Yule mzee anataka arudishiwe mahari shilling ngapi, na gharama zake? Nikauliza…

Namna shangazi yangu alivyomuigizaji akaanza kulia kisha akasema “Sikutegemea kama mngekuja, mzee ame kuja kunisumbua sana, si unaona hata tv sina, nimeuza ilinikulipie deni mwanangu, kama una hela hata kidogo nipe nimrudishie mzee wa watu, maana alikugharamia sana, alafu mwanaume anakuja kukuchukua bila kukutolea hata mia…

Nikatabasamu kisha nikamuambia “Unaweza ukanipeleka kwa huyo mzee, nikaongee nae, na kama anakudai nikamlipe ili asikusumbue tena…
“Haumjui Yule mzee mwanangu ni mtu katili sana, sitaman uende ukaonane nae, asije kukufanyia kitu kibaya…

Nikashangaa ni kuanzia lini shangazi yangu ameanza kunionea huruma, maana hanaga hio kawaida ya kuona huruma hata kwa bahati mbaya…

Wakati wote mume wangu alikuwa kimya anachezea chezea simu tu bila kusema neno lolote lile, baada ya kama dakika kumi na tano, mlango ukagongwa nikatoka mimi kwenda kufungua, nikashanga nakutana na wajeda wawili pamoja na kijana mmoja akiwa ameshikiliwa…
“Embu sema ukweli, tv ya huyu mama imeenda wapi..

“Huyu mama alienda kuchukua mkopo kwenye tawi langu, na kikawaida huwa tunakukopesha alafu rejesho ni kila wiki, ila hakuwahi hata mara moja kuleta rejesho, ndio tukaja kuchukua tv, akasema yule kijana, shangazi akataka kuanza kujitetea, mume wangu alimkata jicho kisha akamuambia
“Najua haunijui mimi ni nani, ila mtu yoyote yule anamkwaza mke wangu ananikwaza na mimi pia…

Kisha akaamuru Yule kijana aondoke, kumbe wakati anachezea simu, alishaamrisha watu wake waanza kiufuatili hiyo taarifa na majibu ndio yalikuwa hayo…
Basi wale wajeda wakaondoka zao, mume wangu akampa simu, sikuwa najua kuwa alikuwa anampa simu kwa nini, kumbe alikuwa anamuonesha picha za kwake yeye na baba yake, shangazi likamshuka shuu, kisha mume wangu akasema “Ulikuwa unamuongelea baba yangu kama katili, sitokusamehe kwa mara nyingine ukitamka ujinga kama huo, na kingine usije ukathubutu kupiga simu ya mke wangu, maana nikiona namba yako, nakuahidi nitapambana na wewe ipasavyo, kisha akanishika mkono tukaondoka zetu…

Basi maisha yetu yakawa yanaendelea kama kawaida, na tukaja kusikia shangazi amefariki, ila mume wangu hakutaka mimi niende akaenda yeye kuniwakilisha, baada ya hapo maisha yetu yakawa yanaendelea kama kawaida…

SIKU ZOTE KWENYE MAISHA
Hakuna linalodumu, hata kama ukiwa umepitia mema na mabaya kiasi gani, jipe moyo na kujiambia kuwa na hili litapita na siku zote ukiona kunazidi kuwa kweusi jua kunaelekea kukucha…


MWISHO…

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 19 - 20


Nikamuonesha mume wangu ile sms akaanza kucheka, kisha akasema “Huyu itakuwa anaota, embu twende akatupeleke kwa huyo mzee…
“Na vipi kuhusu mtoto, maana simuamin sana shangazi yangu, nataman asijue kama nimejifungua…
Mama yangu atakuja kukaa nae, na hapo mtoto alikuwa ana miezi kama nane, kweli mama yake akaja kukaa na mtoto wangu tukaenda mpaka nyumban kwa shangazi, tukamkuta amedhohofika sana, mpaka alikuwa anatia huruma…

“Shangazi tumekuja kukusalimia na utupe habari za Yule mzee anataka arudishiwe mahari shilling ngapi, na gharama zake? Nikauliza…

Namna shangazi yangu alivyomuigizaji akaanza kulia kisha akasema “Sikutegemea kama mngekuja, mzee ame kuja kunisumbua sana, si unaona hata tv sina, nimeuza...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya-19-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

429
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

38

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.7K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20
@majario LIVE

19 Aliingia kaka yake na Glad Mimi ndio nilikuwa namalizia kupika jikoni, G nimekuletea ice-cream 🍨🍦 unayopenda nilinyamaza kimya hadi alipokuja jikoni. Glad ametoka mara moja nipo mimi peke yangu nilikuwa namalizia...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest