Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 17
Gonga94 · Stories

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 17

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nikasimama na kumsalimia kwa heshima, na mume wangu aliuona wasiwasi wangu, akaniangalia kisha akatabasamu na kusema, “Najua hamjawah kukutana na mke wangu kipenzi, Happiness hii ndio familia yangu, na wazaz wangu walipata bahati ya kuwa na watoto wawili tu wa kiume mimi Erick na mdogo wangu Fredrick , na huyu hapa mbele yako ndio Fredrick na hawa ndio wazaz wangu…

Tusamehe kama familia, maana ni aibu kusimulia mambo mengine ila nakupenda sana mke wangu, na familia yangu yote inajua, mpaka mzee wangu kuamua kuchukua jukum la kwenda kuposa na kuoa kwa niaba yangu haikuwah kuwa kazi rahisi, kabisa, nashindwa kukusimulia ilikuwaje mpaka baba yangu akakubali kuja kuoa kwa niaba yangu, ila elewa ni baada ya kuona mapenzi makubwa ambayo nilikuwa nayo juu yako, ni baada ya kuona kuwa nilikuwa nakupenda kuliko kitu chochote kile kwenye maisha yangu….

Nikatabasamu kwa heshima, maana ndio nimeletwa mara ya kwanza ukweni, sitakiwi kuwa na kidomo domo, kisha nikasema “Nafurah sana kuwafahamu…

Wote wakatabasamu na kuanza kupiga story nyingine, ambaz kwa akili zangu ndogo nikawa najua ni story za kifamilia tu, huenda hata mimi mwenye hata hazinihusu…

Basi imefika usiku mama yake akatuandalia chumba ila mdogo mtu akataka kuanza kupiga story na mimi, nikaona ni sawa tu, kwa sababu kwanza ni shemeji yangu, nikaona kama hana shida hata kidogo…

Basi bana mume wangu akawa ametoka na baba yake, sijui hata walikuwa wameenda wapi wakati huo..
“Hivi umempa nini mshkaji maana anaonekana kama amepagawa sana na wewe, hapa juzi kati alikuwa anafanya vituko, mpaka tukawa tunashangaa general mzima kweli anapagawa kiasi hichi, embu tuambie umempa libwata gani, ili na mimi nikitaka kuoa nije nimtume mke wangu kwako, aje kupata recepi ya mahaba…

Nikajikuta naanza kucheka maana alikuwa mcheshi sana, na kusema kwa sauti ya aibu
“Ni yeye mwenyewe tu, maana hakuna kitu chochote kile cha maana ambacho huwa nampa…
“Itabidi nikutafute unambie bana, haiwezekani, kwa sababu bro alikuwa mtu flan kauzu, yaan hanaga mbili kwenye moja, ila akaanza kulia hapa kama kuku bwege akisema
“Namtaka Happiness, namptaka Happiness mpaka familia nzima tukawa tunataka kujua huyo Happiness ni nani, ila tuache utani shemu wewe ni chombo, bro ana haki kabisa yakupagawa kabisa…

“ Acha utani wako bana, mimi sina cha ajabu, ila embu nambie alifanya nini?..

“Siku hIo ilikuwa kama saa kumi na moja, tunashangaa bro ameingia ndani, akaanza kuimba na kusema
“Am in love, mama am in love…

Mimi na mama tukashangaa huyu mwamba vipi, kwanza tunajuaga hanaga muda kabisa na mademu, sasa anakuja kutuimbia sisi maswala ya am in love, hata kama ni wewe utaacha kushangaa kweli, akaendelea kusema shemu wangu wa ukwee…

Basi mama akamuuliza “Huyo mwanamke ni nani na anaishi wapi, sasa kabla hajamjibu mzee akatoka na kusema “Wewe Erick umechanganyikiwa au, haujui kwamba kuna muda watu wanalala, embu tuambie huyo binti ni nani? Maana swala la kuoa wewe hatujawah kulisikia, na tulikuwa tunataman sana uwe na mke maana umri wako unaenda, ndio akasema kuwa kuna mwanamke ana mpenda ila hajui kama huyo mwanamke anampenda pia au laa…

ITAENDELEA ….

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 17


Nikasimama na kumsalimia kwa heshima, na mume wangu aliuona wasiwasi wangu, akaniangalia kisha akatabasamu na kusema, “Najua hamjawah kukutana na mke wangu kipenzi, Happiness hii ndio familia yangu, na wazaz wangu walipata bahati ya kuwa na watoto wawili tu wa kiume mimi Erick na mdogo wangu Fredrick , na huyu hapa mbele yako ndio Fredrick na hawa ndio wazaz wangu…

Tusamehe kama familia, maana ni aibu kusimulia mambo mengine ila nakupenda sana mke wangu, na familia yangu yote inajua, mpaka mzee wangu kuamua kuchukua jukum la kwenda kuposa na kuoa kwa niaba yangu haikuwah kuwa kazi rahisi, kabisa, nashindwa kukusimulia ilikuwaje...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya-17

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya
 MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 10
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 10
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 18
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 18
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 14
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 14
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 13
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 13
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  SEHEMU YA 16
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 16
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 11
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 11
 MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE  SEHEMU YA 19 - 20
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 19 - 20
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 12
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 12
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 15
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 15
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE    SEHEMU YA 9
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 9
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 8
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 8
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 7
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 7
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 6
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

429
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

38

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.7K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20
@majario LIVE

19 Aliingia kaka yake na Glad Mimi ndio nilikuwa namalizia kupika jikoni, G nimekuletea ice-cream 🍨🍦 unayopenda nilinyamaza kimya hadi alipokuja jikoni. Glad ametoka mara moja nipo mimi peke yangu nilikuwa namalizia...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest