VYOTE NDANI GONGA94
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 15
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Naenda bafuni nasikia sauti ya miguno ya kiume, kwa akili zangu nikajua kuwa kaingiza mwanamke, nikajikuta nimesukuma mlango, maana nilikuwa nasikia wivu mpaka nahisi kupasuka, nikamkuta mwamba anajichukulia sheria mkononi akiwa ameshika picha yangu….
Nikajikuta namuonea huruma, akaniangalia kwa aibu kisha akatoka zake chooni, nikaingia chooni kisha nikatoka, nikamkuta amejifunika na shuka gubi gubi, nikajua ameona aibu baada ya mimi kumkuta anajichukulia sheria mkononi akiwa na picha yangu…
Sikutaka hata kumsumbua na mimi nikachukua shuka lingine na kulala pemben yake, sijui saa ngapi nikajikuta nimekumbatiwa kwa nguvu, nikasema hapa sijilegezi maana bado sikuwa sawa na hakutaka pia kunisumbua…
Maisha yetu yakawa yanaendelea na nilikuwa namuona namna mume wangu anavyonipenda na namna ambavyo yupo tayar kufanya jambo lolote lile kwa ajili yangu…
Shoo zilikuwepo na alikuwa ananguvu nyingi sana, ila alikuwa hataki kuniumiza, yaan maisha ambayo nilikuwa naishi na mume wangu, nahisi ndio maisha ambayo wanawake wengi wanataman sana kuja kuishi na waume zao siku moja…
Basi bana siku moja mume wangu akaniambia
“Mbona haubebi mimba wewe mwanamke au sikukuni vizuri?
“Mashine yako ilivyokubwa huoni kama inauwa watoto, nikasema kama utani na mume wangu akacheka nikajua yameisha kumbe hilo neno limemuuma sana mimi sijui…
Amekuja usiku akiwa amelewa njwi, kwanz ameletwa na wenzake akiwa hata hajitambui, na nikampeleka kulala, siku hio niliamka mapema sana, nikaandaa supu ya kumpunguzia hangover na baada ya hapo nikampelekea chumban nikakuta ameshaamka, nikaanza kumnywisha maana ni kawaida yetu kulishana, ila hakutaka, akachukua bakuli na kuanza kunywa mwenyewe…
Nilishangaa sana, maana nilitaman kujua mume wangu ana shida gani jamani maana sio kawaida yake kuwa katika hali kama ile, alipomaliza kunywa supu ikabidi sasa nimuulize shida ni nini?...
Akanianga, kisha akatabasamu na kusema “Sikuwa najua kuwa wanawake hamjui mnachokitaka hata siku moja …
“Una maanisha nini Erick wangu, nikaanza kusema..
Akaniangalia akiwa ana tabasamu kabisa kisha akanambia
“Nasikiaga kuwa wanawake huwa hawapendi wanaume wenye vibamia si ndio?..
“Ni kweli hata mimi sipendi, nikajibu maana sikuwa najua ana maanisha nini..
“Lakin nimekuja kugundua pia hata wanaume ambao wamejaaliwa pia wanawake huwa hawawapendi hivyo embu wewe kama mwanamke nambie huwa mnataka nini?...
Nilishasahau kabisa kama nilishamtania, nikamuangalia kisha nikatabasamu na kwa sauti ya kujiamin nikasema “Mimi nakutaka wewe mume wangu, kwa namna ulivyo nakupenda wewe, sasa siwez kuongelea wanawake wengine maana kila mwanamke ana mwanaume wake anaemtaka, nikajiona kama nimejibu kisomi, akaniangalia kisha akatabasamu na kusema…
“Kwa namna unavyoongea kistaarabu, na upo romantic ningekuwa sikujui ningekuamin maana una maneno matamu, ambayo mwanaume yoyote Yule akisema ayasikilize basi anaweza akakupenda mpaka akachanganyikiwa, ila ubaya ni kuwa haujawah kumaanisha kabisa unachokisema hata mara moja…
“Mbona sikuelewi mume wangu? Ikabidi niulize maana sikuwa naelewa kweli alikuwa anasema nini..
“Nadhan sasa hivi tunatakuwa kutafuta mwanaume ambae atakuwa na mashine ndogo akubebeshe mimba, usijali mimi nitalea maana ya kwangu huwa ina uwa watoto…
Sasa hapo ndio nikakumbuka utani wangu, nilijua nimeongea tu, na ubaya akacheka kabisa kumbe alikuwa anaumia sana, nikaanza kuchekecha ubongo namuweka vipi sawa, ila nashindwaje na mimi ni mtoto wa kike, yaan ndege wangu mwenyewe manati ya nini?...
ITAENDELEA …..
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya