Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 15  MTUNZI: UHURU MEDIA  Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
Gonga94 Β· Stories

FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 15 MTUNZI: UHURU MEDIA Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
alimgeukia Lina, akampa mkono wake kwa heshima zote.
β€œNaomba tucheze.
Lina alicheka kidogo kwa aibu.
β€œMimi sijui kucheza.
β€œUsijali, nitakuongoza.
Lina alijifikiria kidogo kisha akaweka mkono wake kwenye kiganja cha Jerry , akasimama na kwenda kwenye uwanja wa kucheza, walisimama huku wakiwa wanaangaliana Jerry alizungusha mkono wake kiunoni kwa Lina, Lina alishituka kidogo.
" Usiogope kuwa huru.
Taratibu Lina akaweka mikono yake juu ya mabega ya Jerry na kuanza kucheza taratibu.
Haikuwa kweli kwamba Lina alikuwa hajui kucheza alikuwa anacheza vizuri sana .
" Ulisema hujui kumbe wewe ni zaidi yangu. Aliongea Jerry kwa sauti ndogo.
Lina aliishia kutabasamu.
Watu wengine walikuwa wakivutiwa na namna walivyokuwa wanapendeza, kana kwamba walizaliwa kwa ajili ya kuwa pamoja.
" Jamani wanapendezana, ona wanavyocheza vizuri.

Jerry aliushika mkono wake na kumzungusha taratibu huku macho yake yakimwangalia kwa mapenzi ya dhati.
β€œJerry... Lina alitamka kwa aibu, macho yake yakiangalia chini.
β€œNiambie Lina. Jerryson aliongea kwa upole
β€œKwa nini unaniangalia hivyo?
β€œKwa sababu siamini kama nipo karibu na binti mzuri mrembo.Jerry alijibu huku akicheka kidogo, akimvuta karibu zaidi. moyo wa Lina ukawa unadunda kwa kasi.
" Iwapo na mimi kuwa na amani . Niachie na ufanye unacho kusikia kufanya.

pembeni Stephen alikuwa amekaa akiwaangalia kwa hasira. Moyo wake ulijawa na wivu hakuamini Lina wake ndiye yupo na mwanaume mwingine tena akionekana kuwa na furaha ambayo Stephen hakuwahi kuiona pindi walipokuwa pamoja.
β€œJerry ana bahati sana. Kijana mmoja alimnong’oneza Stephen bila kujua ule ukweli ulikuwa ukimuumiza .
" Unaongea ujinga gani wewe?
β€œ Sio mjinga , angalia mpenzi wake ni mzuri kupita maelezo.
Stephen akijua yule jamaa ana mdhihaki, alitoa tabasamu bandia kisha akasema
β€œMmh, kweli ana bahati sana.
" Lakini nakumbuka kuwa alikuwa mtu wako.
Stephen alimgeukia akamuangalia kwa jicho kali.
" Kuna kitu gani unataka kutoka kwangu?
" Nilikuwa nataka kukumbusha kuwa katika wanawake wote uliowahi kuwa nao huyu ndio mwanamke , angalia mwanaume anayejua kujali amemfanya kuwa wa thamani , anang'aa na kuvutia kwa kila mwanaume anaemuangalia.....
Stephen aliona kama yule jamaa anataka kumsababishia matatizo alinyanyuka taratibu na kwenda kukaa walipo wazazi wake.
Mama yake Stephen alimwangalia mwanawe. β€œ Unaonekana Kama bado unampenda yule binti.
" Mama naomba tuachane kabisa kuzungumzia Lina tupo hapa kwaajili ya sherehe.
Aliongea Stephen kisha akachukua grass ya mvinyo na kunywa kwa mara moja kisha akaweka grass mezani . Stephen walianza kunywa kwa pupa.
" Stephen acha kunywa kama kichaa.
" Mama niache huo ni starehe yangu.
Stephen alimjibu mama yake kisha akanyanyuka na kuondoka.

Sherehe ilipofika mwisho, Jerry na Lina walionekana kama wapenzi wa muda mrefu Waliondoka huku wakiwa wameshikana mikono yao huku Macho ya watu wengi yakiwatazama.
Walienda kupanda kwenye gari na kuelekea nyumbani. Wakiwa ndani ya gari kila mmoja alikuwa kimnya lakini kichwani na moyoni mwake alikuwa akizungumza mengi kuhusu mwenzie.

Walipofika nyumbani, Jerry alimfungulia mlango akashuka kisha Lina akafuata. Lina alimgeukia kumshukuru, Jerry alisimama karibu naye wakawa wanaangaliana , waliangaliana kwa sekunde chache Lina akataka kuondoka , Jerry alimshika mkono na kuita jina lake.
β€œLina.
" Abeeeee... Lina aliitikia kwa sauti ya chini
β€œkuna kitu kimoja nataka kukuambia.
Lina alinyamaza, akamuangalia usoni kusikiliza hicho kitu anachotaka kuambiwa.
β€œNakupenda.
Kauli ile ilimfanya Lina kutulia kama sanamu. Jerry alinyanyua mkono wake na kuushika mkono wa Lina taratibu.
β€œNajua huenda ni mapema, lakini moyo wangu hauwezi tena kuficha hisia hizi.
Lina akavuta pumzi ndefu alafu akasema
β€œJerry, mimi sijui niseme nini.
β€œUsiseme kitu, Nataka ujue niko tayari kukulinda, kukuheshimu na kukupenda iwe kwa siri au hadharani.
Lina machozi yakaanza kumtoka taratibu bila mwenyewe kujitambua β€œJerry, maisha yangu hayajawahi kuwa rahisi. Kuna mengi hujui kunihusu.
β€œNiko tayari kuyajua yote Na hata kama yatakuwa na uchungu kiasi gani nipo tayari kuyavumilia.

Kimya kikatawala. Ule ukimya ilibeba hisia nzito zilizobeba maneno mengi ambayo mioyo yao pekee ndiyo ilizungumza.
Jerry alimuangalia Lina kwa kwa macho ya upendo mkubwa.
Jerry alinyanyua mkono na kufuta machozi kwenye mashavu ya Lina.
" Usilie tena, kuanzia leo nataka kuona tabasamu kwenye uso wako.
Lina aliachia tabasamu na kuita .
" Jerry ...
" Niambie mrembo wangu.
" Kuna wakati mwingine nilikuwa naona kama dunia yote ikiniinamia na hakuna wa kunipa msaada lakini tangia nilipokutana na wewe moyo wangu una huwa huru sana najihisi salama kuwa karibu yako .
Jerry alimshika mashavu kisha akaongea kwa sauti ya upole.
" Basi nitakuwa dunia yako mpya, nitahakikisha maisha yako yanakuwa na furaha .
" Nakupenda. Lina aliongea kwa sauti ya chini , Jerry akimvuta kifuani kwake na kumkumbatia

Full 1000
Whatsp 0784468229
Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 15 MTUNZI: UHURU MEDIA Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry

alimgeukia Lina, akampa mkono wake kwa heshima zote.
β€œNaomba tucheze.
Lina alicheka kidogo kwa aibu.
β€œMimi sijui kucheza.
β€œUsijali, nitakuongoza.
Lina alijifikiria kidogo kisha akaweka mkono wake kwenye kiganja cha Jerry , akasimama na kwenda kwenye uwanja wa kucheza, walisimama huku wakiwa wanaangaliana Jerry alizungusha mkono wake kiunoni kwa Lina, Lina alishituka kidogo.
" Usiogope kuwa huru.
Taratibu Lina akaweka mikono yake juu ya mabega ya Jerry na kuanza kucheza taratibu.
Haikuwa kweli kwamba Lina alikuwa hajui kucheza alikuwa anacheza vizuri sana .
" Ulisema hujui kumbe wewe ni zaidi yangu. Aliongea Jerry kwa sauti ndogo.
Lina aliishia kutabasamu.
Watu wengine walikuwa wakivutiwa na namna...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/fate-to-love-you-15-mtunzi-uhuru-media-baada-ya-saa-chache-za-sherehe-kuendelea-muziki-wa-taratibu-u

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi fate-to-love-you
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 17  MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 17 MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 10  MTUNZI UHURU MEDIA    Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 10 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
 FATE TO LOVE YOU πŸ’“  7--8  7  MTUNZI UHURU MEDIA   Lina  alitoka nje  akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 7--8 7 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alitoka nje akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 16  MTUNZI UHURU MEDIA   Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 16 MTUNZI UHURU MEDIA Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 9  MTUNZI UHURU MEDIA   Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 9 MTUNZI UHURU MEDIA Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 14  MTUNZI UHURU MEDIA   Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 14 MTUNZI UHURU MEDIA Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 12  MTUNZI UHURU MEDIA   Stephen alisimama huku  akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina  kwa chuki.
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 12 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen alisimama huku akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina kwa chuki.
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 6  MTUNZI UHURU MEDIA    Lina alishuka kwenye gari  na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 6 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishuka kwenye gari na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
 FATE TO LOVE YOU πŸ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 11  MTUNZI UHURU MEDIA   Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 11 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 13  MTUNZI UHURU MEDIA   Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi  Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 13 MTUNZI UHURU MEDIA Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 5  MTUNZI UHURU MEDIA   Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 5 MTUNZI UHURU MEDIA Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

565
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

559
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

442
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

400
MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72

MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72

380
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

347
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

202
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

157
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

106
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

101

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.02K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.26K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1) Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 24 Basi bwana nakumbuka nilikaaa uku nyumbani week.2 . Nipo na babu tu. Sikuwahi kumpigia kabisa princess na wala yeye hakunipigia .na nilishamtia marufuku. So hakunipigia kabisa ataaa....

MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72
@majario LIVE

Mama akaningalia akanmbia ni mlige uyo ndo anakuliza.nikasema mama nampenda sana niombee msamaha kwake. Mama mi naumia naumia sana . Hataki kuwa na mm. Na hana mda na mimi. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest