Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

Hadithi:*POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake)  Sehemu Ya 4
Gonga94 ยท Stories

Hadithi:*POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) Sehemu Ya 4

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Jovin akiwa kajiinamia anamwaga chozi alishituliwa na Maji machafu ambayo alimwagiwa mwilini mwake.

"Pumbavu ondoka haraka hapa Kwangu!! Baba Yasinta ebu muondoe huyu kenge wako kabla sijafanya kitu kibaya!" Baada Ya kumumwagia Maji machafu, Mama Damian aliendelea kufoka!.
Muda huo huo Bwana Damian alifika pale nyumbani, kitu kilicho muuma zaidi Jovin ni Kwamba Damian alikuwa kaambatana na Nuru!.

Yaani Bila aibu walikuwa wameshikana viuno pasina kumhofia Jovin.
Kumbuka kipindi hicho Damian Yeye Bado alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ambayo ilikuwa inasadika kwa kipindi hicho inamilikiwa na Mr Tahir!.

Basi Jovin Roho ikiwa inamuuma aliamua kuondoka na kurudi nyumbani, kama kawaida Siku iliyo fuata aliingia mtaani kupiga madili ya saidia fundi!.
Lakini alipo rudi nyumbani Mida ya Jioni pale nyumbani Jovin alikuta ndani ni kama uwanja Wa mpira, yaani kulikuwa hakuna kitu hata kimoja, mpaka vijiko Nuru alikuwa kabeba!.
Kiukweli Jovin aliumia Muno, Baada ya kupeleleza aligundua kwamba vitu vyote Nuru kaenda kuviuza kwa Madalali na tena alikuwa kaambatana na Damian!.
Jovin hakuwa na la kufanya aliendelea kujifanya mjinga ili kuwajua wanafiki Wote kwenye maisha Yake.

Jovin alijikuta anapoteza marafiki karibia wote kutokana na ile Hali Yake, hakuna hata Mmoja aliye Chagua kumsaidia Jovin pindi alipo omba msaada!.
Kitu kilicho muuma Jovin zaidi ilikuwa ni Mara Baada ya kugundua kwamba Damian anaishi na Nuru kama mume na Mke, yaani Damian alikuwa kamchukua Nuru mazima!.

Kiukweli Jovin uvumilivu ulimshinda, kitu alicho kifanya aliamua kutuma ujumbe kwa meneja Wa Kampuni Zake ambapo meneja Huyo alikuwa anajua ukweli Wote na mpango mzima Wa Jovin.
Ujumbe alio utuma Jovin ilikuwa ni kwamba Damian afukuzwe Kazi, maana Sasa bwana huyo alikuwa kazidi na alikuwa anatamba na Pesa bila kujua Mtu anaye mpa huo mshahara ni Huyo huyo Jovin.

Basi Siku hiyo kama kawaida bwana Damian akiwa kajichomekea na Suti Yake Huku akiwa anatembelea Gari ya kampuni, Baada ya kufika tu ofisini alikutana na Barua mapokezi, ilikuwa ni Barua ya kufukuzwa Kazi!.
Kwanza bwana Damian jicho lilimtoka na mapigo ya Moyo yalianza kwenda kasi!.
Aliuliza Sababu za kufukuzwa Kazi, alicho jibiwa ilikuwa ni kwamba aende akamuulize meneja!.

Ni kweli Bwana Damian alichanganya pariga Zake mpaka kwenye ofisi ya meneja!.

"Wewe kufukuzwa kazi ni agizo kutoka juu, na tabia Zako ndo zimefanya ufukuzwe Kazi, maana unachafua taswira ya kampuni!" Hayo Ndo maelezo ambayo Damian alipewa!.
Kiukweli Siku Hiyo ilikuwa ngumu Muno kwa kijana Damian, maana ile Kazi Ndo ilikuwa kila kitu chake, yaani Ndo ilikuwa inamuweka Mjini na pia alikuwa anawasaidia wazazi Wake kupitia ile Kazi, maana alikuwa anapewa mshahara munono!.

Damian alijikuta amekuwa Sasa Mtu Wa mawazo Huku tulizo lake likiwa ni pombe!.

"Huyu mpuuzi ngoja visenti vyake vya akiba viishe kama ataniona tena, muache abweteke badala ya kutafuta Kazi!" Hayo yalikuwa maneno ya Nuru ambayo alikuwa anajiongelesha mwenyewe Mara Baada ya Damian kurudi amelewa Siku Hiyo!.

Basi miezi kama miwili ilipita maisha Ya Damian yalianza kuwa magumu, pia Huku kwa Mr Jailo nako Hali ilianza kuteteleka, maana Damian Ndo alikuwa Mtu anaye wafanya waende chooni kwa pesa ambazo alikuwa anawapatia!.
Na ni kama mwezi ulikuwa umesalia tu Damian atimuliwe pale kwenye nyumba anazo kaa, maana nyumba zilikuwa za kampuni na alikuwa kapewa miezi kadhaa awe ameondoka.

Kama Bahati tu Siku Hiyo Damian akiwa Hana hili wala lile Huku mfukoni kukiwa kunanuka tu vumbi!, gafla alipokea Namba Mpya kwenye Simu Yake, na zilikuwa taarifa njema kwamba kesho Yake aende kazini!.
Aisee Bwana Damian aliruka kama masai kapandisha mori.
Ni kweli Kesho Yake asubuhi na mapema Damian alifika kazini, bwana Huyo alipewa Gari Ya ofisi, alikabidhiwa funguo ya ofisi maana pale kwenye kampuni alikuwa kwenye kitengo kama afisa masoko!!.
Pia ile notisi ya kuhama kwenye nyumba ya kampuni ambayo alikuwa kapewa iliondolewa, kwa Maana hiyo alirudishwa rasmi kazini!.

Siyo Damian tu ambaye alifurahi, mpaka familia nzima ya Mr Jailo nayo ilifurahi, Nuru naye ilikuwa mwendo Wa kukenua tu Japo alikuwa na mpango Wa kumuacha Damian!.

"Uuuuu aisee ningeumbuka vibaya!! Yaani ilibaki kiduchu nimkache Huyu boya sijui ningeweka wapi Sura Yangu, Bora nilikuwa na kauvumilivu Japo kidogo!"Hayo Ndo Mambo ambayo Nuru alikuwa anajiwazia Baada ya Damian kurudishwa kazini.

Bwana Jovin alipata taarifa kwamba Damian karudishwa kazini!.

"Shiiiitiiii nani Huyo kamrudisha Yule mpuuzi kazini, inamana Mr Antonio Kaanza kunipuuzia Siyo!" Kwa hasira Damian alijiongelesha Baada ya zile taarifa!.
Pale pale Jovin alichukua Simu na kumpigia meneja Wa Kampuni ambaye anaitwa Mr Antonio, lakini Simu ya Meneja Huyo iliita pasina kupokelewa, Mwishowe ilianza kukatwa na hatimaye kuzimwa kabisa!.

Kwa hasira Jovin aliona inatosha kama ni kuwajua wanafiki kashawajua, aliondoka pale kwake mpaka kwenye kampuni!, kwanza kufika getini tu aliambiwa kuna maagizo kwamba hatakiwi kuingia!.
Ilikuwa kitu cha maajabu kwa bwana Jovin kampuni Yake alafu anaambiwa asiingie, Bwana Huyo ilibidi aanze kutumia Nguvu lakini aliishia kupigwa virungu kama Siyo Yeye!.

"Ebu niitieni meneja Wa hii kampuni haraka Sana, lasivyo Wote mtafutwa kazi!" Yalikuwa maneno ya Jovin ambayo yalifanya Wengi walio yasikia wabaki wanacheka!.
Pale kwenye kampuni ni Meneja pekee Yake ambaye alikuwa anajua ukweli Wa mambo!.

Ni kweli walimtendea Haki taarifa zilipelekwa kwa meneja kwamba Jovin anataka kumuona lakini meneja Huyo alisema hana Muda mchafu Wa kuchezea na aliamuru wamtimue tena kwa kipigo!.
Na kweli walinzi walitendea Haki agizo la Boss, Jovin alipigwa kipigo cha mbwa mwizi na kutimuliwa kama mwizi, Muda huo huo Jovin aliliona Gari la kifahari huku ndani ya Gari akiwamo Mr Tamir linaingia pale getini!.
Jovin alijaribu kusimamisha lile Gari na kumuita tajiri yule kwa Majina Yote, lakini tajiri yule Wa kihindi alishusha vioo vya Gari na kuchungulia Mara Moja kisha alivipandisha tena!.

"Heeeee hii imekuwaje tena!? Mbona kama naota!?" Jovin akiwa anaugulia maumivu alijiuliza swali ambalo hata hivyo hakupata majibu ya haraka haraka!.

Je imekuwaje tena? Ndo Mambo yameharibika kweli au kuna Siri ipo nyuma ya pazia!? Kutoka kwenye kuigiza umasikini, Sasa ni kama umasikini kweli unaanza kumnyemelea Bwana Jovin itakuwaje!???

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Hadithi:*POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) Sehemu Ya 4



Jovin akiwa kajiinamia anamwaga chozi alishituliwa na Maji machafu ambayo alimwagiwa mwilini mwake.

"Pumbavu ondoka haraka hapa Kwangu!! Baba Yasinta ebu muondoe huyu kenge wako kabla sijafanya kitu kibaya!" Baada Ya kumumwagia Maji machafu, Mama Damian aliendelea kufoka!.
Muda huo huo Bwana Damian alifika pale nyumbani, kitu kilicho muuma zaidi Jovin ni Kwamba Damian alikuwa kaambatana na Nuru!.

Yaani Bila aibu walikuwa wameshikana viuno pasina kumhofia Jovin.
Kumbuka kipindi hicho Damian Yeye Bado alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ambayo ilikuwa inasadika kwa kipindi hicho inamilikiwa na Mr Tahir!.

Basi Jovin Roho ikiwa inamuuma aliamua kuondoka na kurudi nyumbani, kama kawaida Siku iliyo fuata aliingia mtaani...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/hadithi-poor-richman-alijifanya-amefirisika-na-kuwa-masikini-ili-kuwajua-wanafiki-kwenye-maisha-yake

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi hadithi-poor-richman-alijifanya-amefirisika-na-kuwa-masikini-ili-kuwajua-wanafiki-kwenye-maisha-yake
  Hadithi: *POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) *1-----3*
Hadithi: *POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) *1-----3*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61

1.33K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63

1.05K
SHAMIRA Sehemu ya 60&61

SHAMIRA Sehemu ya 60&61

181
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 9 na 10

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 9 na 10

177
SHAMIRA Sehemu ya58&59

SHAMIRA Sehemu ya58&59

169
SHAMIRA 62 63 na 64

SHAMIRA 62 63 na 64

168
SHAMIRA Sehemu ya 65&66

SHAMIRA Sehemu ya 65&66

159
SHAMIRA Sehemu ya 56&57

SHAMIRA Sehemu ya 56&57

155
JOGOO WA KIENYEJI 1----5

JOGOO WA KIENYEJI 1----5

143
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.

142

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.76K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.47K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.84K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.93K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.89K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.73K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.71K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.66K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI 1----5 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 1----5
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 1 Mwandishi:lissa mwalla Naitwa Talya jones,ni mtoto wa pili katika familia ya watoto wawili,wakwanza kakangu tommy na mie ndio last born sasa,baba yetu alikua mwanajeshi na mama yetu ni nesi.baba...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11. Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Mama alipokea nikamuita atoke nje,vicram alibaki tu akinishangaa, mama alitoka akatukalibisha ndani, niliomba niongee nae pembeni, tulitoka nililia Kwa mama mpaka na mama nae akaanza kulia, badae nikaamua...

SHAMIRA Sehemu ya 65&66 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nilimuangalia sana nikamuuliza unamuongeleaa mtoto gani kwanza .akanambia ahaa si mtoto wangu ambae ulikuwa unakujaga nae nyumbani kuomba msada ama.nikasema sawa kumbe unakumbukumbu. Unahisi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
@majario LIVE

Baada y kumuacha mchumba sasa nikawa hoi yani , sio powa basi zena akanikumbatia akanambia nakupenda san mwanaume wangu, basi apo sasa , nikamwambia zena ,naomba nikuamishe apa mke wangu,...

SHAMIRA 62 63 na 64 Post Mpya
SHAMIRA 62 63 na 64
@majario LIVE

Sehemu ya 62 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana nilikuwa naumia sna moyoni ila nilisema uwenda akasaidiwa uko na akapona kuliko kukaa nae mie. lazima mwanangu ata kufa mana sina...

SHAMIRA Sehemu ya 60&61 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi niliwaza mno ila nikaona acha nipumzishe kichwa mungu atasaidia mbele . Na kweli kesho mimi nilimpeleka mtoto hospitali akapata hudumu.ma dr ...

SHAMIRA Sehemu ya58&59 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya58&59
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikanunua chakura kwanza ndani.kisha kesho yake niliamkia hopitali sasa. Nilishauliwa kwanza nimkatie bima kubwa mtoto ya laki 7. Nilikakata iyo bima .kisha sasa...

SHAMIRA Sehemu ya 56&57 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; 0742443214 Nikapanda kitandanni nikamlaza mwananagu kisha namie nikavuta shuka nikawa nipo busy namnyonyesha.tu. aisha akawa akanasema kwaiyo unaninyanyasa kwa sababu umenipa msingi ama.asee nilisema we kumamako...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 9 na 10 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 9 na 10
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 9. Nilisaidiana na iren kutenga, walikuja kula chakula Kila mtu alikisifia, isipokuwa king,sikujali alimaliza Kila mtu akaingia kulala,nilijikuta nimemkumbuka mama angu, na Kwa muda huo nisingeweza kumpigia akiwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
@majario LIVE

Ibraa akanmbia kwanzaaa , wewe kaa na mkeo kama siku 3 kwa heshima kabisaa, na kubali tu kuwa ni mkeo na kuwa normal kwake, na uzuri mzigo si unakula basi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest