Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  "Lia kwa nguvu hadi hasira zako zotee ziishe, afuu uutoe uamuzi wakoo"
Gonga94 ยท Stories

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Lia kwa nguvu hadi hasira zako zotee ziishe, afuu uutoe uamuzi wakoo"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
alisema Khalid huku ananigusa gusa mgongoni taratibu aseee yale maneno yalinifanya nilie kwa sauti ya juu kubwaa nilipiga kelele mno kuna muda hadi nikawa nampiga piga kifuani, kwa sababu nilikuwa nalia kwa uchungu hata kam napenda kuliaa hii siku nililia sana, nilikuwa mwekundu kutokana na rangi ya ngozi yangu na sio kingine kabisa nililia mno jamani hiil siku nilijuaaa nitaumwa baada yapo nililia hadi mwisho sauti ikakauka nikaanza kutoka machozi tu bila sauti ya kilio hii ilimaanisha na mud wote huooo sauti ambayo nilikuwa naisikia pembeni yangu ni ya Lecturer akinitaka nilie mpaka machungu yaishe yotee nililia mpaka nikapitiwa na usingizi, nashtuka nipo kwenye kitandaa kuangalia mbele namuona Khalid,

"Hapa nipo wapi?" Niliuliza kwa mshangaoo maana sikutarajiaa kujikuta kwenye chumba wakati Mara ya mwisho nilikuwa garden nikaona niulizee maana huyu atanizoea usijali tupo chuo bado na hii ni office yangu mimi sisheil office na mtu yoyoyte hapa kuwa huru, najua umeamka na maamuzi sahihi na fasaha yasio na maumivu kwasababu naamini machungu na hasira vishaisha naelewa haya kunywa maji ule uniambie sasa binti wa kiarabu nilimtizama tu lecturer nikanywa maji ila sikula nilikuwa sijisikii kula kabisaa nikanywa tu maji nikasema. inatosha " sawa unaweza kusema uamuzi wako kwa sasa nipo tayri kukusikiliza na kam nina weza nitakusapoti" alisema Khalid akinambiaa mimi

"Nataka kuacha chuo, nikafanye kazi huo ndio uamuzi wa mwisho sina mwingine kuhusu mimi binafsi na familia yangu, natakiwa kufanya kazi pia ili kukidhi mahitaji yangu na familia yangu" niliongeaa ila kwa utaratibu kwasababu mimi sio muongeaji kihivyoo alinitizama kwa muda "kazi gani?" Aliuliza khalid nilimtizama yoyote mimi nafanya ila iwe ni kazi tu mimi nafanha nilimjibu akanitizama akatabasam

"Shika hii kadi jumatatu ijayo ufike kwenye hii hospitali unaeza ukaenda kufanya kazi kama pre worker ambae unafanya kazi na kujifunza hapo hapo utatumiaa hyo elimu yako ya mwaka wa pili upo tayari kwa hilo? Na utakuwa unalipwa mshahara pia Aliuliza khalid yaani nilitamani nimkumbatie kwa jinsi nilivyokuwa na furaha jamani nilijihisii wa kipekee sasa yaani me nikajua zile scandal za malecturer kwamba huwa wanawatumiaa wanachuoo tu afu hawawasaidii chochote zaidi ya kuwafaulisha kwenye mtihani kwenye hili jamani alinisaidia sana na nilimuona ni mtu wa maana sana kwenye maisha yang maana huu msaada alionipatia ni mkubwa,akanambiaa atafatiliaa kila kitu hapa chuo yeye ataweka sawa, moyoni mwangu nilifurahi mnoo yaani, nilijiona mwenye bahati sasa na sio mwenye mikosi kam watu walivyosema sikuwahi kuwa na furaha kiasi hiki kwakweli jamani nilimtizamaa kwa furaha kubwa nilimjibu tu asante huku natabasam alinambiaa naweza kumpa kampani mpaka muda wake wa kazi utakapoisha anipeleke nyumbani, hii siku ndio siku ambayo nilipiga nae story nae nyingi sana nikagunduaa mimi ni mchngamfu nikiwa na furaha maan hii siku nilijichetua sana haijawahi kutokea mimi kujichetua kiasi hiki kwakweli, ila kwenye yote hayo sikuumuliza chochote kuhusu maisha yake binafsi siunajua tena maisha ya sisi wadada wa chuo always tupo kimaslahi ila tulibadilishana namba za simu tuu, ila alinitumiaa pia kam 500k kwenye simu afu akanambia ni ya matumizi yangu madogo madogo nilibaki namshangaa Jamni yaani 500k ya matumizi yangu madogo madogo hapana hii kiboko,

Muda ulifika akanipeleka nyumbani, kwa gari. lake, mdogo wangu saa ngapi hajamuona akaja akaanza kujichekesha chekesha kama vile kachizi mpaka nikawa namshangaa maan mhhh alichangamkiwa pia akapewa pesa tena 80k wakat juzi tu katoka kupewa 100k jamni huyu hapana sa tuliagana na yeye akaondoka zake

Iteendelea.....
Tangazo - ila baba mkwe full Epsode
ila baba mkwe full Epsode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Lia kwa nguvu hadi hasira zako zotee ziishe, afuu uutoe uamuzi wakoo"

alisema Khalid huku ananigusa gusa mgongoni taratibu aseee yale maneno yalinifanya nilie kwa sauti ya juu kubwaa nilipiga kelele mno kuna muda hadi nikawa nampiga piga kifuani, kwa sababu nilikuwa nalia kwa uchungu hata kam napenda kuliaa hii siku nililia sana, nilikuwa mwekundu kutokana na rangi ya ngozi yangu na sio kingine kabisa nililia mno jamani hiil siku nilijuaaa nitaumwa baada yapo nililia hadi mwisho sauti ikakauka nikaanza kutoka machozi tu bila sauti ya kilio hii ilimaanisha na mud wote huooo sauti ambayo nilikuwa naisikia pembeni yangu ni ya Lecturer akinitaka nilie mpaka machungu yaishe yotee nililia mpaka nikapitiwa na...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lecturer-nikikupa-hutoninanii-sehemu-ya-kumi-na-moja-lia-kwa-nguvu-hadi-hasira-zako-zotee-ziishe-afu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lecturer-nikikupa-hutoninanii-sehemu-ya-kumi-na-moja-lia-kwa-nguvu-hadi-hasira-zako-zotee-ziishe-afu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.03K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest