VYOTE NDANI GONGA94
MAMBO MRAMA Mke wangu aliniambia kuwa atasafiri, nami nikaamini. Usiku
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
huo baada ya kuondoka, nikamleta Mchepuko wangu nyumbani.
Alipokuwa jikoni akipika, ghafla mke wangu alirudi bila taarifa wakaanza kugombana na akamwambia atoke jikoni kwake.
Mimi nilitoka chumbani mbio nikiwa nimevaa taulo tu baada ya kusikia zogo kubwa sana .
Nilipoingia jikoni, nilimkuta mchepuko wangu akitaka kummwagia mke wangu maji, lakini mke wangu akakwepa na maji yakanimwagikia mimi.
Yalikuwa ni maji ya moto, yakanimwagika mwili mzima hadi kwenye maeneo yangu ya kiume
Majirani walinikimbiza hospitali, mchepuko wangu akatoroka, na mke wangu amekataa kuniona wala kunijulia hali hadi leo.
Mke wangu ni mkali sana, na sasa anapiga simu za vitisho akisema anataka talaka yake
Nifanye nini?
Tafadhali, naombenj msaada wenu wa mawazo
Mke wangu bado ninampenda sana
NB: (Picha haihusiani na post)
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
βDad, Ninakupa masaa 24 Uchague. Ukimchagua Noela, huta niona tena. Lakini Ukinichagua mimi, utaachana na Noela then tu...
AFANDE MILLANπ Sehemu ya 40
Basi mimi nikaludi nyumbani nipo stressed kinoma , yani mawazo yamenijaa mnoo, nawaza inakuwaje sasa demu ndo kashanika...
AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.π
Kila mwanamke ana mzunguko wake lakini hii ndiyo mizunguko ambayo kila mwanamke lazima awe na mzunguko mmoja kati ya hi...
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 19 - 20
ENDELEA....... Madame Yustar alitoa amri mimba itolewe ili kuepusha laana kwenye ukoo wao. "Hapana siwezi kutoa mimba h...
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18
ENDELEA......... Mipango yangu iliendelea kwenda vizuri. Nilifanikiwa kufungua duka langu la spea za magari mke wangu a...
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14
SONGA NAYO.... Niliwaona mama na baba yangu wakiwa wanamshangaa sana yani walishangaa mpaka wakanisahau mtoto wao kama ...
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Siku iliyofuata, Noela alipofika chuoni alihisi hali si ya kawaida. Watu walikuwa wanamuangalia kwa ...
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Salmon alisimama pale akimtazama Noela na baba yake kwa macho yaliyojaa hasira na maumivu. Hakutegem...
AFANDE MILLANπ Sehemu ya 39
Daaah unajua mtoto alibaki kashangaaa ,et akasogea nyuma yangu akajificha, aseeee zena akainuka kwa kwa hasira ,akaja a...
Tangazo - boss Enzo fully stories
Skip Ad
boss Enzo fully stories
share
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
MAMBO MRAMA Mke wangu aliniambia kuwa atasafiri, nami nikaamini. Usiku
huo baada ya kuondoka, nikamleta Mchepuko wangu nyumbani.
Alipokuwa jikoni akipika, ghafla mke wangu alirudi bila taarifa wakaanza kugombana na akamwambia atoke jikoni kwake.
Mimi nilitoka chumbani mbio nikiwa nimevaa taulo tu baada ya kusikia zogo kubwa sana .
Nilipoingia jikoni, nilimkuta mchepuko wangu akitaka kummwagia mke wangu maji, lakini mke wangu akakwepa na maji yakanimwagikia mimi.
Yalikuwa ni maji ya moto, yakanimwagika mwili mzima hadi kwenye maeneo yangu ya kiume
Majirani walinikimbiza hospitali, mchepuko wangu akatoroka, na mke wangu amekataa kuniona wala kunijulia hali hadi leo.
Mke wangu ni mkali sana, na sasa anapiga simu...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mambo-mrama-mke-wangu-aliniambia-kuwa-atasafiri-nami-nikaamini-usiku
#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle
Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn Share on Pinterest
 
Show Text
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mambo-mrama-mke-wangu-aliniambia-kuwa-atasafiri-nami-nikaamini-usiku
Maoni