Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
09 Nov 2025
948 views
VYOTE NDANI GONGA94
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18 Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
na pale nyumbani wakwe zangu waliondoka ila Stephan hakuondokaa alisema anabaki kunilindaa nilikubali na ni mcheshi piaa, ila mimi nilikuwa nafanya mambo yangu maan sasa hivi nililiwa CEO wa ile hotel aliyonipa mume wangu na nilikuwa nimependeza pendeza jamani mhh animezidi kuwa mremboo ila nilikuwa siende endi kazini mimi si boss na nilikuwa nina gubuu mhhh hadi mama Salma alikuwa hanielewi jamni mimi mwemyew nilikuwa sielewi limetokeaa wapi jamin, yaani mtu anawez kupikaa mimi nikasema sitaki kukila hicho chakula, uvivu sasa ukawa umenizidi, ila mama Salma alikuwa ndio pekee alienivumilia vitimbi vyangu na sio mwingine maan hadi wale wadada wawili waliondokaa sasaa
Hii sikuu nilikuwa nimeekaa zangu sina hili wala lile nikaona sms WhatsApp namba iliyotuma ni Aika jamni mhh na nilikuwa sijaongeeaa nae muda mrefu sana, nikaonaa katuma video na sms yaani video inaonyesha yupo na mume wangu jamani mhhh nilichoka mimi, yaani wapo kitandani utupu na kenyew kamemuegamiaa kifuani nilikasirikaaa jamni nikapiga kelele chini nyingi sana mwisho nikaanguka nikazimiaaa sasa.
Mh nilikuja kuzindukana nipo chumbani pembeni yupo mama Salma na upandee huu yupo mama na pembeni kwenye kiti yupo Stephan nilivyowaonaa tuu nilijihisi mapigoo yangu ya moyo yanaenda mbilo nikakumbuka ile video nikajikuta naliaa mimi nililia sana "wewe Rechoo ujuee unavyolia unaumizaa afya ya mtoto ujuee wewe mjingaa?, kwanza unalia. Nini?" Niliwatizamaa mama na mama Salma nikaulizaa nina mimba wakanijibu ndioo unayoo ndioo, nilionesha kufurahi japo nilifurahi ndioo ila nilikuwa tayari nina tatizo kwenye moyo kuhusu mume wangu na Aika jamani maaan ilifanya nikakumbuka ile kauli yake ya mara ya mwisho siku yangu ya harusi nililia kwa sautii kali, nililia jamani, nilipoulizwa nikasema ni machozi ya furaha
Basi mama yangu alikaa siku mbili tatu kuangaliaa afya yangu na alimuachia mam Salma na Stephan uangalizi juu yangu mimi na mwanangu Incase kam kuna kitu kitatokeaa wamjulishe, na mam Salma alikuwa muangalizi mzuri kwangu na alivumilia kisirani changu kwakwell jamani, na ninahisi hata yeye alinivumilia toka mwanzo kwasababu alihisi nitakuwa ni mjamzitoo na kweli ilikuwa mimi ni mjamzitoo wa miezi mitatau muda huoo tayarii, siku zilipitaa nyingii na nikawa na mimba yangu Ikawa tayari na miezi saba, muda huo mume wangu hajarudi hata yaani na bado Aika alikuwa ananitumiaa zile video basi mimi navumilia moyoni na simwambii mtu, maan nikimwambia mam atasema nirudi nyumbani na mimi sitaki na hawa ndugu wa mume mhh siwaamini unaweza ukawaamini kumbe wanajuaa mumeo anachofanya nikawa nimekufa nalo moyoni japo nilikonda sana kutokana na mawazo
Hii siku nimekaaa zangu ndani nashaangaa mtu anapitiliza bila hodi kuinuaa macho ni mume wangu na magwanda ya jeshi na hivi nilikuwa nina tumbo kubwa basi hata kuinuka nimzabe kofii nguvu hizo sina nikajikuta tu namsubiri afike, na kweli etty akaingiaa kwanza bafuni na hivi alinisalimiaa sikuitika, akatoka akanifuata sasa mke wangu ujue nina furaha na nimekuleteaa zawadi ya gari una mtoto wangu ujuee aliniambiaa Stephan toka nipo jeshini, kwanini wewe hukunambiaa?, au ulitaka unifanyiee suprise eeh?" Si ndioo akanisogeleaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Wanangu hakuna jambo la muhimu kwenye malezi ya mtoto kama uwepo na sauti ya Baba
. Tofauti ni kubwa kati ya mtoto anayekuzwa na wazazi wote na yule anayelelewa na Mama pekee. Sauti ya Baba hujenga nidh...
Bila ya msimamo ule leo watu wangeshasahau kama Afcon ilichezwa Morocco, bila ya huyu Mwanaume muda huu Morocco wangekuwa wanashangilia Kombe la dhulma.
Bila ya jamaa kutoa vijana wake leo Mutsepe angekiri kuwa Senegal walionewa lakini isingesaidia kitu tayari Morocco Bin...
Hapo ni Golden Harvest Studios mwaka 1972 pale ambapo kijana mdogo Jackie Chan alijihisi anauwezo sawa na mpiganaji bora wa dunia wa muda wote Bruce Lee,Na
kutaka kumpandishia Bruce Lee ila watu wakaingilia na Jackie Chan mwenyewe anasema alishukuru watu waliingilia na pia b...
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni" "Hata mimi naona Japo unanificha mama yako kwa jambo kubwa kama hili labda unasubili mpaka tum
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, teg...
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 18 Ulipita muda kama miezi 3 na mawasiliano yalikuwa shida sana na mimi hata sikujali
na pale nyumbani wakwe zangu waliondoka ila Stephan hakuondokaa alisema anabaki kunilindaa nilikubali na ni mcheshi piaa, ila mimi nilikuwa nafanya mambo yangu maan sasa hivi nililiwa CEO wa ile hotel aliyonipa mume wangu na nilikuwa nimependeza pendeza jamani mhh animezidi kuwa mremboo ila nilikuwa siende endi kazini mimi si boss na nilikuwa nina gubuu mhhh hadi mama Salma alikuwa hanielewi jamni mimi mwemyew nilikuwa sielewi limetokeaa wapi jamin, yaani mtu anawez kupikaa mimi nikasema sitaki kukila hicho chakula, uvivu sasa ukawa umenizidi, ila mama Salma alikuwa ndio pekee alienivumilia vitimbi vyangu na sio mwingine maan hadi wale wadada...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeda-inauma-siwezi-vumilia-chapter-18-ulipita-muda-kama-miezi-3-na-mawasiliano-yalikuwa-shida-sana-