Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 13"
Gonga94 ยท Stories

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 13"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????

SEHEMU YA 13"

Ni kweli unataka kuondoka??...aliuliza..

Ndioo we si umeninunia????????unanileta sehemu ngeni alafu huniongeleshi ndo nini????????

I'm sorry sweetheart wala hata sijakununia naanzaje sasa kukununia Natasha wangu..

David alinishika mkono tukaanza kutembea mdogomdogo kuelekea pale alipoegesha gari..

Unapajua hapa ni wapi??????????aliuliza.

Wala hata sipajui ila ni pazuri sana ndoto yangu ni kuja kuishi kwenye mazingira kama haya????????

Jumba kubwa???????? mazingira matulivu mtaa wa kishua napenda sana sehemu ka hizi????

Kweli??? Aliuliza nikamwambia ndioo kweli..

Wow karibu sana Natasha hapa ni nyumbani kwangu na nikishakuoa tutaishi wote hapa????

Unasema kweli??? Hili jumba ni la kwako David??

Akasema ndioo karibu ndani alibonyeza limot geit likajifungua aliniambia niingie yeye akapanda kwenye gari akaingia nalo ndano...

Aiseeeeee bonge la mjumba pazuri nyieee???????????? nilianza kushangaa huku na kule dah kweli David unaishi??????

Aliishia kutabasamu akaniambia hapa ni kwako Natasha ???????????? tuliingia ndani nikafanyiwa house tua dah nyumba nzuri sana kiukweli..

Tuliingia chumbani David akaniambia naomba tupumzike Natasha nyumbani kwa bibi tutaenda kesho usijali kuhusu kukugombeza mimi nitaongea nae...

nilipanda kitandani nikajifunika duvet likitanda ni likubwa????????????

Alikuja David akankmbtia kwa nguvu????????????

Nilifurahia kuwa kfn kwa devid na nilivyo kuwa chembamba alinifunika vizuri

Basi tulilala hadi palikucha asubuhi aliniamsha na chaasubuhi nilikifurahia sana nikaamka na kwenda bafuni kuoga ????????????

Alikuja devid aknkmbtia kwanyuma nakuanza kuninaliu kwa shngo????????????

Tulimalizana kule kule bfn Alininaniliu hadi raha nili injoisana????????????

Basi bwana tulipomaliza nilimuogesha nayeye aliniogesha kisha tulitoka tulikuwa na furaha sana

Devid akaniambia tuvae kisha twende mgahawani tukapate kifungua kinywa????????????

Nilimwambia hapana kwanini ukale mapishi ya mwanamke mwengine nawakati mimi mwenyewe najua kupika kanifunza bibiangu ????????

Devid alikuja akanibs na kuniambia hakika mke nimepata??????????

Tulishuka chini tukaenda jikoni alinionyesha kilakitu jikoni????????????

Nilifanya maandalizi nikaanza kuandaa kisha nilipika kiamsha kinywa nilitenga mezani nikamuita devid aje tupate breakfast pamoja

Devidi alishangaa kwamala yakwanza panaliwa hapa ndani tena chakula cha mpnz wangu Natasha thanks darling nakpnd????

Alifurahi mnoo alini????????kisha akaonja msosi alinionjesha namimi akaniambia chakula ni kitamu sana kama wewe mwenyew hahahaaa????????

tulikula pamoja baada ya hapo nilimuomba devid anipeleke kwa bibi kwani sitaki kumuuzi kabisaa

Devid alinijibu hapana utaenda jioni sasa hivi nataka twende mahali mimi nawewe????????

Nilimjibu upendavyo kipnz kisha tulicheka????aliniambia haya nenda ndani kajiandae ????????

Nilimjibu sina nguo ya kubadili hapa najianda nanini sasa nimesha vaa wewe ndio nenda ujiandae????????

Devid alijibu basi sawa kisha aliingia ndani na kuvaa alivaa kanzu sikuhiyo na kisha alivaa sendos na kichwani alivaa kibaragashia nakisha alijipulizia manukato hatari ????????????????

alitoka nje na kuniletea baibui na mtandio kisha alinipa na cheni ya gold ????????nikashangaa hivi kavitoa wapi????????

Aliniambia naomba vaa haya mavazi ????????

Nikamuuliza umetoa wapi haya mavazi yakike devid ????????

Alijibu haya nimavazi ya wifi yako mdogo wake wa kike... huwa anafikia hapa akija Tanzania na vitu vyake vingi viko huku..

Unajua mimi hilijina la David nijina langu la biasharatuu ila jina langu wanalolijua ndugu zangu naitwa Twaribu usije ukasikia wananiita Twaribu ukashangaa..

Nilicheka na kumuita Twaribu wangu usijali????????

Nilivaa hilo baibui na nikajitanda mtandio kisha nilijipulizia manukato na baada ya hapo nilimuomba anivalishe cheni shingoni????????

Hakika nilipendeza yeye pia aliniambia umezidi kuwa mrembo Natasha ????????

Tulitoka na kuingia kwenye gari tukaondoka

Alinipitisha mjini kwanza saruni na kuwaambia wanitengeneze vizuri sana alininunulia less wigi na kisha akawaambia wanibondi vizuri sana ????????

Nilipambwa siyo kucha nywele kope yani kila kona nilinolewa vibaya mnoo????????????

Hakika nilipendeza sana nililetewa magauni mazuri ya kiarabu yanavutia nikachagua magauni matatu ????????????

Moja nikalivaa na kiatu kirefu nilipendeza sana mimi mwenyewe nilijiona kuwa nimependeza kweli mwanamke matunzo????????

Nilivaa hereni na bangiri zamkononi nikapuliziwa udi nilishangaa hiki ninini leo mbona nafanyiwa vitu vyagarama hivi????????

Baada ya hapo aliitwa devid aje anichukuwe aliponiona alibaki kasimama ananitizama kwani nilimvutia sana ????????????

Alinisogelea na kuniambia wewe nimrembo mnooo hadi naona wivu sasa????????

Nilicheka ????alibaki akinitizama kwani nilivyocheka nilizidi kuwa mzuri sana akanitizama na kunifunika mtandio akaninogoneza usicheke mbele za watu cheka ukiwa namimi tuu sawa lol????????

Nilimshangaa kwanini ????????aliishia kuni????????????baada ya hapo akanishika mkono tukaelekea nje kwenye gari????????????

Tuliondoka hadi sehemu moja hivi kunanyumba ya gorofa moja David alishuka hapo na kubonyeza kengere ya getini????????

Geit ilifunguliwa hapo mimi bado niko kwenye gari napiga chabo kwa mbaali????????????

Itaendeleaaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100
Tangazo - Bilionea ndani ya hoteli full story mwandishi babie love
Bilionea ndani ya hoteli full story mwandishi babie love
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 13"

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????

SEHEMU YA 13"

Ni kweli unataka kuondoka??...aliuliza..

Ndioo we si umeninunia????????unanileta sehemu ngeni alafu huniongeleshi ndo nini????????

I'm sorry sweetheart wala hata sijakununia naanzaje sasa kukununia Natasha wangu..

David alinishika mkono tukaanza kutembea mdogomdogo kuelekea pale alipoegesha gari..

Unapajua hapa ni wapi??????????aliuliza.

Wala hata sipajui ila ni pazuri sana ndoto yangu ni kuja kuishi kwenye mazingira kama haya????????

Jumba kubwa???????? mazingira matulivu mtaa wa kishua napenda sana sehemu ka hizi????

Kweli??? Aliuliza nikamwambia ndioo kweli..

Wow karibu sana Natasha hapa ni nyumbani kwangu na nikishakuoa tutaishi wote hapa????

Unasema kweli??? Hili jumba ni la kwako David??

Akasema ndioo karibu ndani alibonyeza limot geit likajifungua aliniambia niingie yeye akapanda...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mtamuuuuu-kama-chocolate-sehemu-ya-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtamuuuuu-kama-chocolate-sehemu-ya
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 12"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 12"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE????????  SEHEMU YA 07"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE???????? SEHEMU YA 07"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????   SEHEMU YA 03"& 04"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 03"& 04"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 11"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 11"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 08"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 08"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE????????  SEHEMU YA 9&10"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE???????? SEHEMU YA 9&10"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 02
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 02
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ? ?   SEHEMU YA 05" & 06"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ? ? SEHEMU YA 05" & 06"
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

9.36K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.8K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.31K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.23K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.21K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.98K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

1.8K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.79K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.78K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest