Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov -0001
70 views
VYOTE NDANI GONGA94
""NAPANUA" UMRIπΉ ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMUπΉ01
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
πππAliongea mke wa boss wangu akiwa na mdogo wake na wote wakiwa wamepiga magoti huku wakilia Ili niwasikilize shida Yao ila wapi mkazo ulizidi kuwa sihitaji kuishi hapo na waarabu hawa walikuwa wekundu Kwa kulia
Zaujat....Juma Embu sema nn haswa kinakufanya utake kuondoka hapa nyumbani? Na kuhusu mtoto unataka afe Kwa kilio?
Taujat....Dada mm mimemwambia Niko tayari kufanya chochote Ili asiondoke ila hataki mm nifanyeje jamani eeeeeh baba sema nn wataka?
πππNiliwaza niwatamkie kweli ama Bado nikaze Ili aingie mtegoni na nikija ongea shida yangu asinikatalie
Juma....ukweli naitaji kwenda kwetu kijijini na nitakuwa huko mwezi mmoja tu hivyo kama mnaniitaji nikirudi sawa mnipe kazi
Taujat.....Sasa mwanangu nitaishinae vipi Juma na ningeweza kwenda kwenu huo mwezi mmoja ila kazini pia itakuwaje ,sawa basi nakuongezea laki 2 na nusu kwenye huo mshahara wako WA laki nne hapo vp?
Juma....tajiri hapa shida sio Hela shida ni kwenda nyumbani tu basi nimemaliza?
ππππHapo nikageuka na kuwapa mgongo kimoyo moyo nacheka Kwani hakuna Cha safari Wala nn, Zaujat alikuja na kunilalia mgongoni huku akiendelea kulia
Zaujat....Juma nakuomba msaidie mdogo wangu usiondoke tunakuombaaa
Juma .....boss naenda nyumbani fullstop
πΉπΉπΉ Zaujat aliniachia na kukaa chini huku akishika kichwa ishara ya kuwa amechoshwa na majibu yangu na nikafungua mlango na kutoka nje nafika getini Kwa mlinzi nasikia sauti ya kilio na kilio kile kilinishitua sana na kiliniumiza ila nilijikaza Kwani naitaji jambo langu liwe jepesi wakati WA kushughulikiwa
Mlinzi.....Jumaaa,Jumaaa Leo kunann mbona Kwa Hali hiyo na unamsikia anaelia lakini?
Juma....ndio naisikia ila achana nayo nifungulie mm natoka kidogo
Mlinzi..... Duuuh Leo wamekuvuruga kweli kweli mpaka kuwa hivyo hayaaaa
ππππNafika mtaa WA kwanza kwenda kushika Barabara kuu mara gari inafunga breki miguuni na akashuka Taujat Kwa haraka na kufunga
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AFANDE MILLANπ Sehemu ya 59
Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo,...
πππππππππππππ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtot...
*AFANDE MILLANπ* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafut...
48 MWISHOOO πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake ...
46 MPAKA 47 πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Yani niliba...
πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa n...
41 MPAKA 42 πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa k...
""NAPANUA" UMRIπΉ ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMUπΉ01
πππAliongea mke wa boss wangu akiwa na mdogo wake na wote wakiwa wamepiga magoti huku wakilia Ili niwasikilize shida Yao ila wapi mkazo ulizidi kuwa sihitaji kuishi hapo na waarabu hawa walikuwa wekundu Kwa kulia
Zaujat....Juma Embu sema nn haswa kinakufanya utake kuondoka hapa nyumbani? Na kuhusu mtoto unataka afe Kwa kilio?
Taujat....Dada mm mimemwambia Niko tayari kufanya chochote Ili asiondoke ila hataki mm nifanyeje jamani eeeeeh baba sema nn wataka?
πππNiliwaza niwatamkie kweli ama Bado nikaze Ili aingie mtegoni na nikija ongea shida yangu asinikatalie
Juma....ukweli naitaji kwenda kwetu kijijini na nitakuwa huko mwezi mmoja tu hivyo kama mnaniitaji nikirudi sawa...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/napanua-umri-zaidi-ya-miaka-18-sehemu-01
Maoni