Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov -0001
70 views
VYOTE NDANI GONGA94
""NAPANUA" UMRIπΉ ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMUπΉ05 ππππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Juma.....ndio ila ngoja kidogo kwani nilisikia kinaoda
π¦π¦π¦π¦Nikaenda kumwamsha mama kibibi na nilitumia kama dakika 4 hivi mpaka aliposhituka ila alikuwa amechemka balaa na jasho kama lote nikaona hii sio kweli nikatoka nje fasta na kusimamisha Bajaj na tukasaidiana na majirani zake pale safari hospital ya kanisa iliokuwa jirani pale,alipokekewa na Kwa haraka akapewa kitanda
Nesi....ni nani muhusika wa mgonjwa?
Juma...ni mm nesi
Nesi....haya kalipie dirishani aweze kupata huduma na atakupana na risiti
Juma....sawa....habari
Dirishani.....salama tu pole Kwa mgonjwa haya nipe hiyo form na mgonjwa anaitwa nani
Juma.... Duuuh eeeeh daaaaah
Dirishani.....vp kwani humjui?
Juma...ni kweli ila anajulikana Kwa jina la mama kibibi
Dirishani....sawa......haya peleka akapate huduma
ππππNilirudisha form na akapewa huduma,nikiwa pale ndio nakumbuka nimefunga sehemu yake ya chakula,nikachukua Boda nikauze tu kwani mpaka aje tayari chakula kinaweza kuharibika,nafika nakutaka na wateja wawili mlangoni wakiongea na nikafungua
Jamaa1...vp mama k wapi?
Juma.... anaumwa
Jamaa2....na ww ni nani?
Juma ....mtoto wake
Jamaa2 ....sawa vp chakula Leo ndio hamna?
Juma....kipo karibuni
ππππJamaa waliingia na Kwa bahati nzuri kulikuwa na Menu ambayo ilionyesha bei ya Kila chakula ila shida ikaja upimaji anapimaje ila nikapima nijuavyo huku nikiwachanganyia Kila aina ya mboga na baada ya kijiko Cha pili huku Nikirudishia vyakula jikoni vipate moto na harufu nzuri ikiendelea kunukia
Jamaa2....hii balaa yaaani nikitamu sana
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AFANDE MILLANπ Sehemu ya 59
Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo,...
πππππππππππππ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtot...
*AFANDE MILLANπ* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafut...
48 MWISHOOO πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake ...
46 MPAKA 47 πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Yani niliba...
πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa n...
41 MPAKA 42 πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa k...
""NAPANUA" UMRIπΉ ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMUπΉ05 ππππ
Juma.....ndio ila ngoja kidogo kwani nilisikia kinaoda
π¦π¦π¦π¦Nikaenda kumwamsha mama kibibi na nilitumia kama dakika 4 hivi mpaka aliposhituka ila alikuwa amechemka balaa na jasho kama lote nikaona hii sio kweli nikatoka nje fasta na kusimamisha Bajaj na tukasaidiana na majirani zake pale safari hospital ya kanisa iliokuwa jirani pale,alipokekewa na Kwa haraka akapewa kitanda
Nesi....ni nani muhusika wa mgonjwa?
Juma...ni mm nesi
Nesi....haya kalipie dirishani aweze kupata huduma na atakupana na risiti
Juma....sawa....habari
Dirishani.....salama tu pole Kwa mgonjwa haya nipe hiyo form na mgonjwa anaitwa nani
Juma.... Duuuh eeeeh daaaaah
Dirishani.....vp kwani humjui?
Juma...ni kweli ila anajulikana Kwa jina la mama kibibi
Dirishani....sawa......haya peleka akapate huduma
ππππNilirudisha form na...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/napanua-umri-zaidi-ya-miaka-18-sehemu-05
Maoni