VYOTE NDANI GONGA94
NDEFU ILA INANIKUNA SEHEMU 04 ENDELEA......
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"Wananitaka ila.mie siwataki...siku nikianza kuwataka wao mie hawanitaki....si wengine ni hao wenye vibamia...mbaya zaidi nikiwataka wenyemizigo wananikubali halafu wananikataaa.....nuru mie nuru mpenda mizigo"nilijikuta nikiimba nikiwa narudi om na wadau wangu...
"Domo zegeee eeeeh!!!"nikaita.
"Eeeeeh nuru"akaitika.
"Nimelewa chakari bin vuup hakika..nahitaji unibebe jembe langu"niliongea.
"Jitwike mgongoni ..
Malkia wangu ombi lako kwangu ni amri..."alizungumza wote tukajikuta tukicheka kwa pamoja......nikiwa napanda domo zege aliachia ushuzi...
"Aaaaah!!!!tayari hana linda huyo"suma alisikika akizungumza.....
"Linda unalijua wewe au unataka nikuoneshe ulipo ...hapo wakaanza kusogeleana....sijui ni pombe ama laaah wakajikuta wakipigana....."kwa namna nilivikuwa ninechoka sikuona sababu ya kubishana nao ......nilikuwa na bia mkononi nikawamwagia wote vichwani.....
"Ni wazi watu hawa hawana vichwa vilivyokaza vizuri......waliacha kupigana na kusikilizia ladha ya bia ile...nilipolitanbua hilo nikabaki nikitabasamu"
"Mna mawili...tuondoke ama laah niwaache mfila*ne hapahala nikishuhudia mwanzo wake"niliongea.
"Aaaaah!!acha zako nuru wewe...upoje wewe embu tuondoke huko...halafu pa da nikubebe malkia wangu"alizungumza domo zege.
"Ni heri nimoande mbwa...kuliko wewe"nikazungumza.
"Kumaanisha"domo zege akauliza.
"Hauna tofauti na mbwa"
Kauli yangu ikawafanya wote wakenue meno yao....ilikuwa ni furaha kwangu....ikiwa ni majira ya saa sita usiku...tukaanza kuimba tena.......mziki ulipininogea ikanilazimu...kujata miuno mbele ya wana wangu...kwa kuwa tulikuwa karibu na mtaaa...wafanya biashara wa usiku hawakuwa nyuma nyjma wote walisogea pale tulipo na kuanza kushangilia.
"Nuru !!!!nuru!!!!!nuru!!"sauti hizo hazikukauka midomoni mwao kwa kunishangilia...nami sikushangaa sana ..kwa udogo wa kiuno changu na ukubwa wa makalio yangu..ni wazi walivutiwa sana na uchezaji wangu.......
Nakuja
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ndefu-ila-inanikuna-sehemu