Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
Gonga94 · Stories

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SONGA NAYO.............

Nilipokuwa naingia kwenye Gari alikuja wifi yangu na kuniomba tuongee nikamuomba kaka anisubili kwa muda.

"Najua nakupotezea muda wifi yangu lakini nihurumie mwenzio hapa narudi kijijini kwa Bibi yangu Sina wazazi Mimi mwenzio Kaka ako ndio alikuwa kila kitu kwangu, sijui kama precious ataweza maisha ya uko nisaidie nistili mwanamke mwenzio "

"Naelewa Hali unayopitia lakini kwanini urudi kwa Bibi yako wakati mume wako na mama yako mkwe wapo na mnapesa nyingi kumbuka Kaka yangu alikuwa anakupa laki 4 kila wiki kwaajili ya matibabu ya huyu mama na alikuwa aumwi Nina imani pesa unazo na zimekuwa nyingi zitawasaidia Sana "

"Wewe umewaona hata hapa mahakamani ? Wamenitoloka Jana wametoa pesa zote kwenye account hapa Nina elfu 12 tu nisaidie niombee msamaha nimejifunza Mimi nimeona Ni watu gani ambao walikua wananitumia na kina Nani wananipenda niombee msamaha"

"Natamani Sana lakini naomba uende tutawasiliana nakutumia nauli ya kwenda kwa Bibi na pesa ambayo itakusaidia ukiishiwa utaniambia, unajua Nini Mimi Ni mkosefu mno 😭 lakini nilichukua sekunde tu kujua makosa yangu baada ya kumuona mama yangu Yuko kwenye jeneza, lakini imenichukua miaka mitatu familia yangu kuelewa kuwa nimebadilika hivyo Basi kuwa mvumilivu sishindwi kukuombea msamaha lakini Julius ana............",

Kabla sijamaliza kuongea nilivutwa Kama mzigo vile na alikuwa kaka Julius Moja kwa moja mpaka kwenye gari hakuongea kitu akawasha gari tukaondoka, lakini nilipata nafasi pia ya kumtumia pesa wifi yangu, kusema ukweli nilikuwa nimejifunza mengi Sana katika niliyopitia na Benny ndio alikuwa chachu kubwa ya Mimi kubadilika na kuwa hivi nilivyo, nilikuwa nayaelewa maumivu ya watu wengine niliyabeba Kama maumivu yangu.

Mwanzo mwisho sikuongea kitu kwenye gari maana mmmh Julius alikuwa kafula kwa hasira nikasema hapa nikijiongelesha anaweza kujiingiza hata kwenye magari tukafa bure, tulifika nyumbani akashuka na kusema

" Niko juu tusisumbuane "

"Lakini ka..........."

"Tusisumbuane"

Mmmmh nikakaa kimya huyo mpaka chumbani kwangu lakini nilimsisitiza Sana wifi yangu arudi kijijini kwao kwani hapa jijini angeteseka bure na mtoto lakini nahisi kule angeenda kujifunza Zaidi na kubadilika kila kitu sio kubadilika maneno tu.

Baada ya wiki Moja tulijiandaa na kwenda makaburini tulitembelea kaburi la mama, lakini pia tulienda katika nyumba yetu iliyoungua kwaajili ya kumtembelea kamili maana kamili hata mwili wake haukupatikana alikuwa ameungua mpaka kuwa majivu.

Tuliangalia nyumba yetu kaka Julius akasema

" Unajua hi nyumba ina kumbukumbu kubwa Sana kwetu kesho tutaanza kujenga tutajenga Kama ile ambayo alikuwa akiishi mama ili tuweze kupata kumbukumbu kuhusu yeye unaonaje ??"

" Ni sawa kabisa "

Basi kiukweli tulikuwa na furaha Sana Kaka angu mawazo yaliisha kabisa na kila kitu kilikuwa sawa, tulianza kujenga, nakumbuka siku hiyo nilikuwa nawasimamia mafundi kwani tulitaka nyumba iwe Kama mwanzo, hivyo nilikuwa makini sana, nikiwa Nimekaa nje, nachezea simu nilisikia mtu aliniita

"Saada......."

Niligeuka na alikuwa ni rafiki yangu neema

"Eeeeh neema jamani we msichana upo jamani "

"Nipo shoga angu ukatususa mazima, mwenyewe, lakini umependeza yaani unazidi kuwa mzuri "

" Asante naona unaenda kupika??"

"Mwenzangu we tupike watoto wale "

" Una mtoto ??"

" Sio mtoto watoto shoga angu watatu "

"Wewe usinambie "

"Ndo hivyo, Tena afadhali nimekuona, umbea sio kazi kazi kusutwa, shoga angu kamili yupo ujue au ndio bado umtaki.......??"

Nilistuka sikuamini kabisa ikanidi nimuulize kwa Mara ya pili

"Kamili, unamaanisha mdogo wangu Mimi au kamili gani, kamili SI aliungua jamani "

Nikakaa na chini maana nguvu ziliniisha kabisa kabisa

"Usinitaje lakini kamili yupo kwa huyu mama mindoli, anasema yeye wakati wa moto alimulimuona kamili akitoka kabla ya mama ako akamchukua na kumpeleka nyumbani kwake Sasa alitaka mama ako amlipe kwa kutaka kuonekana kuwa alimuokoa kwenye Moto kamili,"

"Subili kwanza yaani kamili alitoka kabla ya mama hiyo inamaanisha alitoka akiwa ajaungua hata kidogo ??"

"Ndio, Sasa taarifa zilivyozagaa kuwa kamili kafa akamfungia ndani , alipokuja kumtoa tukaambiwa kuwa mama ako amefariki serikali ikampaka ruhusa ya kumlea kamili , lakini anachomfanyia mmmh anamtumia kuomba omba barabarani, Sasa hivi anapigwa najua naona baadae anarudi na nahisi watu hawajui Kama ninyi ndo mnajenga hapa maana wanasema kuwa pamenunuliwa"

"Nipe namba yako tutaongea "

Tukabadilishana namba pale akaondoka fasta nikapigia simu kaka Julius aje nilipo, kwakuwa hakuwa amebanwa na kazi haraka alifika nilipo, nilikuwa nimechanganyikiwa yaani nilikuwa naona kama nachelewa kumuona kamili wangu

"Umenistua Sana ujue Kuna Nini ??"

"Subili kwanza Kaka shusha presha maana hizi taarifa za kustua lakini za kufurahisha pia yaaani daaah siamini "

"Baada ya kunishusha presha unaniongezeaa we darasa la pili D ebu ongea 😂"

Hapo nilicheka Sana yaani Kaka Julius alishanibadilisha na jina akawa ananiita darasa la pili D subili kwanza niwaambie ilikuwaje, Kuna siku aliniambia kuwa anataka kunifanya secretary wake katika ofisi yake nikamjibu na hili hili darasa la pili D au 😁

Ndo jina likakua. Tuendelee Basi nikatuliza wenge na kumwambia

" Kaka kamili anaishi....."

Aka............

ITAENDELEA..........




FORGIVE ME, MOM 😭😭
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22



SONGA NAYO.............

Nilipokuwa naingia kwenye Gari alikuja wifi yangu na kuniomba tuongee nikamuomba kaka anisubili kwa muda.

"Najua nakupotezea muda wifi yangu lakini nihurumie mwenzio hapa narudi kijijini kwa Bibi yangu Sina wazazi Mimi mwenzio Kaka ako ndio alikuwa kila kitu kwangu, sijui kama precious ataweza maisha ya uko nisaidie nistili mwanamke mwenzio "

"Naelewa Hali unayopitia lakini kwanini urudi kwa Bibi yako wakati mume wako na mama yako mkwe wapo na mnapesa nyingi kumbuka Kaka yangu alikuwa anakupa laki 4 kila wiki kwaajili ya matibabu ya huyu mama na alikuwa aumwi Nina imani pesa unazo na zimekuwa nyingi zitawasaidia Sana "

"Wewe umewaona...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nisamehe-mama-sehemu-ya-22

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
NISAMEHE MAMA 😭  SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 04
NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

601
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

565
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

530
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

392
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

335
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

235
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

149
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

40

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.28K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest