Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
Gonga94 ยท Stories

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
(Mwisho)

Nilimgeukia yule Bibi nilitamani kumrukia yaani nilitamani nimshike nimpige mpaka akili zimkae sawa lakini muda huo huo akaanza kuongea

"Kamili Hawa ndugu zako awakupendi walikutelekeza Mimi ndio nikikuchukua nikakulea "

"Lakini unakumbuka siku ambayo nilitoka kwenye ajali ya moto, nilitaka kumuita mama ukaniziba mdomo,. mpaka leo sikujua maana yako Ni nini sawa wanaweza wakawa awanipendi lakini sio Mr Julius hapa alinipenda sana alimsaidia mama angu kila hatua, nikishukuru kwa kunilea lakini pia niseme sikuwa nikipenda ulivyokuwa ukinitendea"

Maneno ya kamili yaliniumiza Sana nikakaa chini kwanza maana hasira na maumivu vilikuwa vikiumiza moyo wangu, kamili akamgeukia Julius

"Tafadhali naomba unichukue Nina imani wewe Ni mtu mzuri uniifadhi kwako hata mwezi mmoja Kisha nitatafuta siku ya kukaa naomba Sana "

Julius akujibu kitu zaidi alimkumbatia Sana kamili huku wote wakilia, kamili hakuwa akijua kabisa kama Julius ni Kaka yake kabisa yaani baba mmoja mama mmoja.

Tukafuata taratibu zote mwisho tulikabidhiwa kamili wetu ilikuwa kama majila ya saa 12 jioni ndo tulikuwa tumefika nyumbani kwetu masaki tukiwa na kamili wetu, kwa Mara ya kwanza Bella aliogopa kuona mtu ambaye Hana miguu nilijisikia vibaya lakini nikasema kuwa Bella ni mtoto tu.

Niliandaa chakula na kuweka mezani kamili alikuwa akiniangakia muda wote huo maana alionakama namchanganya tu nimebadilika yaani nimekuwa tofauti namwanzo, niliwakaribisha mezani, baada ya kupata chakula tulikaa sebleni kwaajili ya mazungumzo.

"Ningependa tuwe na maongezi mafupi kabisa maana nimechoka mno nilikuwa na siku ndefu sana naimani kila mtu anaitaji kupumzika, kamili KARIBU Sana Sana sana, nikuambie tu hi ni familia yako kabisa yaani haujasingiziwa, namaanisha hivi Mimi ni kaka yako kabisa Ni wa kwanza kuzaliwa wa pili saada watatu Ni wewe "

Basi Julius akaelezea kila kitu siku hiyo akuficha hata kitu hapo ndipo Toby akajua maisha YANGU na ukweli wangu alinipa pole na hongera ya kubadilika na kuwa Kama nilivyo.

Basi Kama familia tukaanza maisha mapya.

Asubuhi na mapema Kaka Julius alitoka na kuwai kurudi alirudi akiwa na kibaiskeli Cha kumsaidia kamili kutembea lakini pia alimnunulia na miguu ya bandika kwani kamili alikuwa na miguu ambayo haijatimia, tukakodisha dokta ambaye alikuwa akifatilia afya ya kamili na alikuwa akimfundisha jinsi ya kutembea na kila kitu.

Maisha yakaenda yalikuwa maisha mazuri Sana yenye amani, tulikutana na baba yetu na kuombana radhi na muda huo baba alikuwa ameshaachana na yule mwanamke wake aliyekuwa akiishi nae

Nilifanikiwa kumuombea wifi YANGU msamaha na aakasamehewa akarudi nyumbani bellah wangu akampata wangu kucheza nae yaani precious Mungu akajaalia mama precious akapata ujauzito na muda ulipofika akajifungua mtoto wa kiume yaani alikuwa kafanana na Kaka Julius kila kitu jamani tulikuwanna furaha Sana niliona umuhimu wa kuwa na familia niliinjoi kupita maelezo kila siku niliona kuwa ni siku mpya katika maisha yangu.

Mwisho....................

KUBADILIKA INAWEZEKANA CHUKUA HATUA, JUA MAKOSA YAKO TUBU, KISHA FANYA MAAMUZI YENYE UWAKIKA.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24

(Mwisho)

Nilimgeukia yule Bibi nilitamani kumrukia yaani nilitamani nimshike nimpige mpaka akili zimkae sawa lakini muda huo huo akaanza kuongea

"Kamili Hawa ndugu zako awakupendi walikutelekeza Mimi ndio nikikuchukua nikakulea "

"Lakini unakumbuka siku ambayo nilitoka kwenye ajali ya moto, nilitaka kumuita mama ukaniziba mdomo,. mpaka leo sikujua maana yako Ni nini sawa wanaweza wakawa awanipendi lakini sio Mr Julius hapa alinipenda sana alimsaidia mama angu kila hatua, nikishukuru kwa kunilea lakini pia niseme sikuwa nikipenda ulivyokuwa ukinitendea"

Maneno ya kamili yaliniumiza Sana nikakaa chini kwanza maana hasira na maumivu vilikuwa vikiumiza moyo wangu, kamili akamgeukia Julius

"Tafadhali naomba unichukue Nina imani wewe Ni...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nisamehe-mama-sehemu-ya-24

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ  SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

1.19K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

1.04K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

658
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

323
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

313
SHAMIRA 102 kwa 104

SHAMIRA 102 kwa 104

271
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

230
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45

NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45

174
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10

171
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8

162

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.79K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.51K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.94K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.77K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Manรฉ, ameonyesha kusikitishwa na...

SHAMIRA Sehemu ya 97&98 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 97&98
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafika ndani kwake akanmbia kaa kitandani. Mie nikakaa uku sielewi nae akakaa kitandani .kisha akaniangali kwa macho makavu mpka nilishangaa nimemfanya nini...

NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
@majario LIVE

:36 Sijapenda kabisa, binti alisema wanapika kwao, ina maana wewe huli kabisa huko nje kwasababu una uwezo au ni kwasababu gani. Kumbuka na wewe hapa umeajiriwa kwaajili yangu, kwanini haujali hisia...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
@majario LIVE

IMETOKAAAAA SEASON YA MWISHOOO SEASON 4 Nikasema ahaa kaka nipo busy sana na nabanwa na kazi, na kuna mda nalala kazini, kka akanmbia au sio unanidanganya na mm mdogo wangu, we...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita...

SHAMIRA 94 Hadi 96 Post Mpya
SHAMIRA 94 Hadi 96
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 94 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana mimi sijawah.akasema basi mimi niliwahi kuza mwenzio ila kwa bahati mbaya nilikosa il uchungu niliuona aswaa. Unauma sana shoga...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest