Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

ONE NIGHT ONE MISTAKE _____________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Siku ya pili yake Saisa na Romex walikuwa madukani wakifanya manunuzi ya vitu vya mtoto wao ikiwemo nguo, midoli pamoja na kitanda
Gonga94 · Stories

ONE NIGHT ONE MISTAKE _____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Siku ya pili yake Saisa na Romex walikuwa madukani wakifanya manunuzi ya vitu vya mtoto wao ikiwemo nguo, midoli pamoja na kitanda

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
. Ilikuwa ni shopping nlyanguvu kama vile mtoto ndio kashazaliwa kumbe ilikuwa maandalizi tu. Wakati wote huo Lilian alikuwa aliwafuatilia huko roho yake ilimuuma kama kidonda, japo alikuwa kwa Romex kwasababu ya mambo yake mengine lakini kwa upande mwingine alikuwa anampenda.

Sijui kwanini sikugundua hili mapema sikupaswa niwaache wawe pamoja hawa wajinga.

Baada ya kufanya manunuzi wakienda kupanda kwenye gari na kwenda nyumbani kwa Salsa. Hawakuwa na muda wa kupumzika walianza kupanga na kuandaa chumba cha mtoto.

Wakiwa wanaendelea kufanya maandalizi ya chumba mara mlango uligongwa. Romex akaenda kufungua mlango akamkuta Domi.

*Vipi Domi?

* Kuna kitu cha tofauti nimekiona.

*Kitu gani?

*Lilian

* Kafanya nini?

Tangia alipokuwa madukani alikuwa akiwaduatilia na sasa nimemuona maeneo haya nahisi hili sio salama kwa Salsa.

"Huyu mwanamke anataka nini lakini?

* Sijui ila nimekuletea hizi taarifa ili uwe makini.

Sawa nashukuru sana, sasa wewe ondoka na

gari mimi nitalala hapa leo.

"Sawa, lakini kuwa makini boss.

Domi aliondoka na Romex alirudi ndani na kufunga mlango vizuri.

"Salsa leo nitalala hapa.

*Sawa, lakini mbona umekuwa ghafla sana? * Nahisi hakuna usalama Lilian anatufuatikia.

Ilipofika usiku Romex aliingia jikoni na kuandaa rambi za nyama, walikaa mezani wakala kisha wakaenda chumbani. Wakati huo mvua ya rasharasha ilikuwa ikinyesha huko nje kukawa na hali ya kiubaridi, walikumbatiana huku romex akishika tumbo la Salsa na kufurahia jinsi mtoto alivyokuwa anacheza tumboni.

*Mbona leo anacheza sana?

*Labda kwasababu upo hapa.

Itakuwa aisee ona anavyopiga mateke. Waliendelea kuongea huku wakiwa wanafurahia wenyewe. Mara simu ya Romex ikaanza kuita, alichukua na kuangalia aliyepiga alikuwa baba yake.

Huyu mzee sijui anataka nini saizi. Ningejua kama atapiga ningezima simu.

*Usiseme hivyo pokea simu.

Romex alipokea simu lakini hakusikia sauti ya baba yake akiongea ila alisikia sauti akiwa anacheka kama mtu aliekuwa anakimbizwa. "Hallow.... Baba.

Mmmm.... Romex njoo gmharaka huku nyumbani kuna tatizo.

*Kuna nini baba.aliuliza lakini hakujibiwa.

Romex alikuwa na wasiwasi.

* Vipi Rome kuna tatizo?

"Nahisi nyumbani kuna tatizo.

Romex alinyanyuka pale kitandani na kuvaa nguo.

Salsa siwezi kukuacha hapa naomba uvae

nguo tuondoke pamoja.

*Tunaenda wapi?

Ninapoenda mimi ndipo na wewe utaenda nahisi hapo sio salama hata kwa upande wako.

Walijiandaa haraka haraka kisha Romex akampigia simu Domi aende kuwachukua. Baada ya dakika kadhaa Domi alifika akawa chukua na kwenda nyumbani kwa wazazi wa Domi.

Walipofika getini wakikuta geti kubwa likiwa wazi na watu wakiwa wamesimama.

*Kuna usalama kweli hapa? Romex aliuliza huku akiwa na wasiwasi.

Walipoingia ndani ya geti Romex alishuka haraka na kumfuata baba yake ambae alikuwa kasimama akiongea na polisi.

* Mzee nini kimetokea?

Tulia Romex niongee na askari Romex hakutaka kusubiri alimfuata mama yake ambae alikuwa kakaa chini huku kajiinamia.

* Mama nini kimetokea?

Tumevamiwa na majambazi, mlinzi mmoja

kujeruhiwa na kitu chenye ncha kali sijui kama atapona kijana wa watu.
Offer offer offer
Soma yote kwa sh 600

Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

ONE NIGHT ONE MISTAKE _____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Siku ya pili yake Saisa na Romex walikuwa madukani wakifanya manunuzi ya vitu vya mtoto wao ikiwemo nguo, midoli pamoja na kitanda

. Ilikuwa ni shopping nlyanguvu kama vile mtoto ndio kashazaliwa kumbe ilikuwa maandalizi tu. Wakati wote huo Lilian alikuwa aliwafuatilia huko roho yake ilimuuma kama kidonda, japo alikuwa kwa Romex kwasababu ya mambo yake mengine lakini kwa upande mwingine alikuwa anampenda.

Sijui kwanini sikugundua hili mapema sikupaswa niwaache wawe pamoja hawa wajinga.

Baada ya kufanya manunuzi wakienda kupanda kwenye gari na kwenda nyumbani kwa Salsa. Hawakuwa na muda wa kupumzika walianza kupanga na kuandaa chumba cha mtoto.

Wakiwa wanaendelea kufanya maandalizi ya chumba mara mlango uligongwa. Romex akaenda kufungua mlango akamkuta Domi.

*Vipi Domi?

* Kuna kitu cha tofauti nimekiona.

*Kitu gani?

*Lilian

* Kafanya nini?

Tangia alipokuwa madukani...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/one-night-one-mistake-_____________________________________-sehemu-ya-kumi-na-sita-siku-ya-pili-yake

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi one-night-one-mistake-_____________________________________-sehemu-ya-kumi-na-sita-siku-ya-pili-yake
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

918
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

790
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

621
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

448
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

201
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

120
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

94
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

82
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

56
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest