Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
08 Sep 2025
55 views
VYOTE NDANI GONGA94
Uganda walipata penati kwenye mchezo wao dhidi ya Somalia, ikatokea Allan Okello na Steven Mukwala
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
wote wakawa wanagombea kupiga hivyo Nahodha wao Khalid Aucho akaingilia akachukua mpira kutoka kwa Mukwala na kumpatia Allan Okello apige penati, Okello amefunga penati hiyo.
Mukwala ametolewa dakika ya 69 ya mchezo.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NINI KITATOKEA ENDAPO FAR RABAT ATAFUNGWA NA YANGA ATASHINDA MCHEZO WA MWISHO? MAANA YAKE WATALINGANA ALAMA
. Kwa mujibu wa kanuni za CAF yafuatayo yatatazamwa kwa hatua. 1- Aliyekusanya alama nyingi kutoka kwa mwenzake walipoku...
Uganda walipata penati kwenye mchezo wao dhidi ya Somalia, ikatokea Allan Okello na Steven Mukwala
wote wakawa wanagombea kupiga hivyo Nahodha wao Khalid Aucho akaingilia akachukua mpira kutoka kwa Mukwala na kumpatia Allan Okello apige penati, Okello amefunga penati hiyo.
Mukwala ametolewa dakika ya 69 ya mchezo.
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/uganda-walipata-penati-kwenye-mchezo-wao-dhidi-ya-somalia-ikatokea-allan-okello-na-steven-mukwala