USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 14
ENDELEA.....
Nilijikuta nikikosa namna, Mfalme alinibana kona zote. Na Mimi na hisia bhana nilitoa ushirikiano. Tena kwa wakati huu niliibugia yote....
Mfalme ni mayowe tu ya utamu nami ndio nilizidisha manjonjo.
Niliikalia nikawa naitawala navyotaka niliipeleka kushoto na kulia, magharibi na kaskazini hadi akaanza kuongea lugha ambayo Mimi sielewi hata kidogo.
Mtumeeeeeee si nilisahau kufunga mlango. Tunu kijakazi wa Malkia Shamsa aliingia.
Basi hata aogope sasa hakufanya hivyo badala yake aliangaza macho kwa ukaribu. Baada ya kuiona sura ya Mfalme alianguka chini kuomba rehema.
Hatukuwa na hamu ya kuendelea na ya kuendelea na tendo.
Tunu alifumba macho yake Mfalme akajisitiri.
"Siwezi kukuambia kipi ufanye, kuishi au kufa ni juu yako " Mfalme slimtishia Tunu kiakili.
"Mimi huyu nahapia kwenye kaburi la marehemu Baba yangu siwezi kuzungumza chochote kwa Malkia Shamsa wala Ada. Na ikitokea nimetoa siri ndotoni basi ninyongwe Mimi " Tunu alitoa ahadi huku akilia.
"Sijui ni kitu gani kilikuleta unaweza kuongea " Mfalme aliongea.
"Malkia Shamsa anamuita Sadia" Tunu aliongea kwa kujing'ata ng'ata.
Nilivaa kwa kujisitiri ni kafuatana na Tunu.
Nilijikuta ni kikosa amani hasa nikifikiria Tunu anaweza kuropoka kitu ikala kwangu.
"Mbona macho yako hayatulii, usiniambie kuna kitu umefanya " Malkia Shamsa aliniuliza huku akimkabidhi Ivan kwa Kijakazi mwingine.
Sikujua lengo lake ni nini alianza kunisogelea taratibu. Mmmmh eti alinikumbatia akawa ananinusa nusa.
"Unanukia marashi ya Mfalme, usiniambie kuna kitu kimetokea kati yenu 🙄" Malkia Shamsa alifoka huku akijitoa kwangu.
Niongee nini Mimi sasa niliendelea kukaa kimya.
"Huyu huwa ana tabia ya kukaa kimya anapoulizwa vitu vya maana....hebu naomba uniambie ni kitu gani kinaendelea umemkuta huyu katika hali gani" Malkia Shamsa aliuliza.
"Alikuwa amelala " Tunu aliongea.
"Unanitania " Malkia Shamsa aliongea kisha akashika kisu alikiweka shingoni kwa Tunu.
"Nauliza kwa mara ya mwisho endapo hautatoa majibu yanayo eleweka na kutoboa hilo shingo na kisu" Alimtishia.
Tunu ni muoga balaa, alifumba macho yake kisha akazungumza kila kitu.
Mimi ni nani hata niendelee kusimama, nilidondoka chini kuomba rehema.
"Ondokeni wote " Malkia Shamsa alitufukuza.
Tuliendelea kusimama ilihali tuna tetemeka, sikujua ni kitu gani kinamtetemesha Tunu ilihali hajatenda ubaya wowote.
"Hamtaki kuondoka 🙄 basi nitaondoka Mimi" Malkia Shamsa aliongea kisha akaondoka yeye.
Tunu alinigeukia kwa hasira
"Hivi unajua ulichokifanya? tafuta kamba ujinyonge mapema tofauti na hapo utakuwa kwenye hatari kubwa nikimaanisha wewe pamoja na watu wa ukoo wako"
"Kujinyonga hapana siwezi kufa kwa sababu sijafanya ubaya wowote, Mfalme mwenyewe ndio alikuja chumbani kwangu. Ningewezaje kukataa na huku alinipatia amri nifanye naye mapenzi " Nilijitia kulia.
Tunu aliondoka akaniacha bila shaka alienda kumtafuta Malkia Shamsa. Sikuona sababu ya kuendelea kukaa malangoni kwa Malkia niliondoka.
Ile natoka tu nilidakwa na Vijakazi wa Malkia Ada. Walinibeba juu juu kana kwamba naenda kuchinjwa.
Nilijikuta ni kiogopa, baada ya kuingia malangoni kwa Malkia Ada nilimwagwa chini.
Nilishtuka baada ya kuona dhana za kukatia nyeti za Mwanamke zikiwa mezani........
ITAENDELEA..........
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni