Angola imetwaa ubingwa wa kombe la COSAFA 2025 kwa mara ya pili
Angola imetwaa kombe hilo kwa mara ya 5 kihistoria ikifikia rekodi ya Afrika Kusini ambao pia wamebeba ubingwa huo mara 5. Zambia ni kinara wa kutwaa kombe hilo mara nyingi zaidi (7) wakifuatiwa na Zimbabwe ambao ni Mabingwa mara 6.
FAINALI:
FT: Angola π¦π΄ 3-0 πΏπ¦ South Africa
β½ 43' Depu
β½ 62' Depu
β½ 81' Milson
MSHINDI WA TATU:
Madagascar π²π¬ 0-1 π°π² Comoros
β½ 77' Youssouf
#KitengeSports
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni