Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov -0001
72 views
VYOTE NDANI GONGA94
Chombezo KAZI YA GEST ILINIFANYA NIWE MALAYA, sehemu ya 2
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
(Kama sio mpenzi wa chombezo tafadhali usisome ,)
"Wanafanya nini ,"
Bosi aliniuliza kwenye simu ,
" Aaah mi sijui kuelezea lakini ni matusi , "
Nilimwambia bosi huku natetemeka ,
" Matusi kivipi "?
Bos aliuliza Kama anashangaa ,
" Bosi ungekuja kuwatoa mwenyewe mi naogopa hata kuwagongea ,"
Nilimwambia bosi ,
" Hao watu wako wamechukua chumba "?
Bos aliuliza ,
" Ndio bosi na pesa wamenipa lakini huko ndani wanakulana uchi ,,"
Nilimwambia bosi nikajua lazima ataniambia nikawatoe ,
Nikashangaa bos anacheka na ananiambia subilia nakuja ,
Nikasema kwisha kazi , lazima bos aje awatoe kwenye nyumba yake ,
Zile kelele zikazidi na safari hii nilisikia yule mwanamke akiguna Kama anakula miwa ,
Nikasema ngoja nikawaangalie tena wanachokifanya ili bos akija nimwambie ,
Nikazunguuka tena kule nyuma na nikaanza kuchungulia ,he nilichokiona nilirudi mapokezi mbio , niliona yule mwanamke anamng'ta uume wa yule mwanaume , halafu Cha ajabu yule mwanaume akawa anapiga kelele "aaaah shhiiiii. ,aaaah shiiiiii,,,, nikajua yule mwanaume lazima afe ,
Nilipofika mapokezi siku subilia hata bosi aje nilichukua mfuko wangu wa shangazi kaja nikatoka nje kabisa ya ile nyumba ya wageni , nikasimama nje , Nia yangu ilikuwa nikimbie kesi maana yule jamaa akifa niliogopa kukamatwa ,
Sasa wakati Niko pale nje nakumbuka ilikuwa usiku umeshaingia , akaja mkaka mmoja , akanisalimia Kisha akazama kule ndani ,
Akaona hakuna mtu akatoka nje akaniuliza ," huyu mtu wa mapokezi yupo wapi ,?
Nikamjibu itakuwa kaenda dukani kwani vipi ,?
Nilimuuliza kimtego maana nilijua polisi ameshapata taarifa za mauwaji ,
"Nataka anipe chumba ,"
Aliongea yule kaka ,
Sasa nikajiuliza nimpe au nisimpe , maana yeye Yuko mwenyewe, Je akisikia zile kelele za mauwaji itakuwaje ,nikajiambia shauli yake , atajua mwenyewe,
Nikamwambia ni Mimi twende nikaku
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
SHAMIRA Sehemu ya58&59
Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikanunua chakura kwanza ndani.kisha kesho yake niliamkia hopitali sa...
πππππππππππππ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtot...
*AFANDE MILLANπ* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafut...
48 MWISHOOO πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake ...
46 MPAKA 47 πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ Mwandishi; lissa wa huru media Yani niliba...
Maoni