Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 4. Ilipoishia…  “Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani
Gonga94 · Stories

CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 4. Ilipoishia… “Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, maana chakula cha leo ni kitamu sana!” Alisema mjomba.
“Na wewe hata siku moja sijakusikia kusema chakula ni kibaya”
“Sasa kama unapika chakula kizuri nisiseme?”
“Kizuri wapi, si useme tu kuwa haujui kupika!”
“Nani, mimi, hahahaha kumbe haunijui vizuri eeeeh!”
“Aaah maneno tu hayo!” Alisema shangazi huku akirembua macho yake kimahaba.
“Maneno, subiri siku moja nije kukupikia chakula hicho, utafurahi na roho yako!” Alijibu mjomba
“Nitafuahi na roho yangu kwa jinsi kitakavyokuwa hakijaiva eeeeh!”
“Khaaa, hakijaiva, subiri uone!”
“Harafu nikwambie kitu mume wangu?!” Alisema shangazi huku akimshika shika mjomba ndevu chache alizokuwa nazo maarufu kama uchebe.

…Songa nayo….
“Nakusikiliza mke wangu!”
“Unajua unavyochelewa kurudi usiku, mimi huwa naogopa sana mwenzio?”
“Kwa hiyo nikutafutie mke mwenzako?”
“Wewe, unataka uniletee yule mwanamke ambaye nilikufumania nae kipindi kile, sio, usinitibue!”
“Samahani mke wangu, sijamaanisha hivyo, nilikuwa nakutania tu jamani mke wangu!” Alisema mjomba huku akikisogeza kichwa cha mkewe katika kifua chake chenye nywele chache wenyewe huita bustani ya makopa kopa.
“Kwanza wake wawili utatuweza, mimi peke yangu tu unanishindwa, unaniachaga nateseka tu na nyege zangu, wewe nitafutie mtu yeyote yaani hata kama umechelewa kurudi au kama vile unavyosafiri wiki, wiki mbili mpaka mwezi, angalau awe nipo nae anipunguzie uoga hapa ndani!”
“Basi usijali mke wangu, nitakutafutia mfanya kazi za ndani akusaidie kazi!”
“Kwani nimekwambia nina kazi nyingi, kwanza nina wivu sana, siwezi kuishi na mdada wa kazi!”
“Kwa hiyo unataka nifanyaje mke wangu?”
“Kwani hakuna hata ndugu yako wa kiume tuje tukae nae kwa muda ili hata pale utakapochelewa kurudi basi niwe nakaa nae kama mlinzi!”
“Nini, ili nikichelewa kurudi uwe unakaa nae?, kukaa nae yeye badala yangu mimi, munafanya nini?” Alisema mjomba kwa ukali.
“Heeeeeh, makubwa ndo tumefikia huko, basi hata hamu sina!” Alisema shangazi huku akipiga viganja vya mikono yake.
“Hahahahah, hapana mke wangu, nakutania tu, mmmmmh usitaniwe!” Alisema mjomba na kumshika shangazi begani kwa mkono wa kushoto na kumlisha chakula.
“Umezidi bhana, kitu kidogo tu, wivu!”
“Kwa hiyo mimi nisiwe na wivu kwako?”
“Ndio!”
“Utajuaje kama nakupenda sasa?”
“Aliyekwambia wivu kama huo wa kijinga ndo mapenzi ni nani, yaani ujifanye una wivu kumbe unanisaliti kama unavyofanyaga, vitendo ndio upendo na sio kuigiza!”
“Sawa mke wangu, kuna mtoto wa dada yangu ambaye amemaliza masomo hivi karibuni, sasa hajabahatika kupata kazi, yeye yupo yupo tu. Tunaweza tukamchukua na kukaa nae kwa muda wa miezi kadhaa hivi harafu atarudi akishachoka baada ya hapo tutaangalia utaratibu mwengine!”
“Aah huyo mtoto mwenyewe sio mkorofi lakini, manake kuishi na watoto wa watu ni kazi kweli kweli!”
“Kwa ninavyomjua mimi, sio mkorofi labda aanze huku ukubwani!”
“Ukubwani, kwani ana umri gani?”
“Kama miaka ishirini na tatu hivi!”
“Mmmh!” Shangazi aliguna.
“Vipi tena, mbona unaguna?”
“Hamna, sio muhuni kweli?”
“Aaah nahisi, ila sina uhakika!”
“Sawa!”
“Sawa, mimi natangulia, utanikuta chumbani!”
“Sasa si ungenisubiria na mimi tu kabisa!”
“Leo nimechoka sana, ule mpango nitaufanya kesho?”
“Mpango gani tena?”
“Umeshakuwa msahaulifu tena mke wangu?”
“Wewe niambie tu jamani!” Alisema shangazi huku akiondoa vyombo mezani.
“Kwani tumeongea kitu gani?”
“Kitu gani?”
“Unajua unananiudhi sana wewe!” Alisema mjomba huku akiwa amesimama katika mlango wa kuingilia chumbani kwake.
“Kwa hiyo kukuambia uniambie ndio imekuwa nongwa sio?” Alisema shangazi huku akiwa tayari ameshamaliza kuondosha vyombo mezani na kusafisha vizuri. Alimfuata mjomba pale mlangoni.
“Nilikuambia unisubiri ili tukalale wote lakini ukajifanya mkaidi, kwa hiyo mimi nilitaka unisubiri tu. Mume lazima amjali mkewe bwana. Na leo nataka nikupe mambo mazuri sana, manake siku zote hizi nimevumilia najua leo utanitoa.” Alisema shangazi huku akimkumbatia mumewe.
“Nenda kazime taa sebuleni kwanza mke wangu!”
“Aah unataka kunikimbia eeeh, twende tukazime wote!”
“Kwa hiyo ndo umetumia mbinu hiyo ili upate kunikalisha hapa ili nikusubiri, sio?”
“Mmmh” shangazi aliitikia kwa sauti ya kudeka iliyojaa mahaba. Wote walicheka. Walienda kuzima taa na kurudi chumbani kwa ajili ya kujipumzisha huku wakitembea kwa kuyumba yumba kana kwamba walikuwa wamelewa huku wakijikwaa mara kadhaa. Waliingia chumbani.
“Mbona unakimbilia kulala, nimekwambia leo nataka, na nina usongo sana!”
“Silali mke wangu, najiandaa tu”
Shangazi alimuangalia mjomba kwa muda, alimrukia na kuanza kuitafuna midomo ya mjomba kwa fujo. Alimpapasa mwili mzima huku mjomba akitoa ushirikiano mdogo. Shangazi alikuja kustuka pale alipoingiza mkono ndani ya boksa, alistuka sana hakuamini macho yake kwa kile alichokiona.

Je alikiona kitu gani?

Endelea kufuatilia sehemu zinazofuatia ili kupata majibu ya swali hilo.

Nini kitatokea……
Itaendela…………..AKIKISHA UNA #LIKE ILI TUMALIZE LEO

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 4. Ilipoishia… “Ndo ninachokupendeaga mke wangu, yaani sijui unaniwekea nini katika chakula jamani

, maana chakula cha leo ni kitamu sana!” Alisema mjomba.
“Na wewe hata siku moja sijakusikia kusema chakula ni kibaya”
“Sasa kama unapika chakula kizuri nisiseme?”
“Kizuri wapi, si useme tu kuwa haujui kupika!”
“Nani, mimi, hahahaha kumbe haunijui vizuri eeeeh!”
“Aaah maneno tu hayo!” Alisema shangazi huku akirembua macho yake kimahaba.
“Maneno, subiri siku moja nije kukupikia chakula hicho, utafurahi na roho yako!” Alijibu mjomba
“Nitafuahi na roho yangu kwa jinsi kitakavyokuwa hakijaiva eeeeh!”
“Khaaa, hakijaiva, subiri uone!”
“Harafu nikwambie kitu mume wangu?!” Alisema shangazi huku akimshika shika mjomba ndevu chache alizokuwa nazo maarufu kama uchebe.

…Songa nayo….
“Nakusikiliza mke wangu!”
“Unajua unavyochelewa kurudi usiku, mimi huwa naogopa sana mwenzio?”
“Kwa hiyo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chombezo-shangazi-sehemu-ya-4-ilipoishia-ndo-ninachokupendeaga-mke-wangu-yaani-sijui-unaniwekea-nini

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chombezo-shangazi-sehemu-ya
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 5. Ilipoishia…  “Nenda kazime taa sebuleni kwanza mke wangu!” “Aah unataka
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 5. Ilipoishia… “Nenda kazime taa sebuleni kwanza mke wangu!” “Aah unataka
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 3.  ILIPOISHIA….  “Shangazi!” Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo. “Niambie dear!”
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 3. ILIPOISHIA…. “Shangazi!” Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo. “Niambie dear!”
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya KWANZA.  “Aziza tutaenda wote kuifanya hiyo kazi” nilisema huku nikijribu kuinuka
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya KWANZA. “Aziza tutaenda wote kuifanya hiyo kazi” nilisema huku nikijribu kuinuka
CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 2.  Ilipoishia…..  “Nzuri tu, umeamka salama wewe?” “Mimi sijambo hofu kwako tu?” “Mimi nipo vizuri!” “Naona………!”
CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 2. Ilipoishia….. “Nzuri tu, umeamka salama wewe?” “Mimi sijambo hofu kwako tu?” “Mimi nipo vizuri!” “Naona………!”
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

868
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

730
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

524
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

180
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

137
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

107
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

76
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest