Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

DEMU MLA MADEMU (CHOMBEZO)
Gonga94 · Stories

DEMU MLA MADEMU (CHOMBEZO)

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
DEMU MLA MADEMU

   

  Kwl Story Killer


Sufuria la ubwabwa lilibiduliwa kwenye sinia kubwa. Baada ya kubiduliwa, ukafuatia mchuzi wa nyama na vipande kadhaa vilivyo katwa kwa madirio sana. Ile mchuzi kuishia…

 Mikono ikaonekana pande zote za sinia ikikishambulia kile chakula bila hata kukumbuka sala, ama kusubiriana. 

  Naam, kile chakula kilifanyiwa uvamizi na madada poa, walio ificha hiyo kazi yao halisi kwenye kivuli cha uhudumu baa. Baa iitwayo MBAKA ASUBUHI maalufu na ilijizolea jina kubwa ndani ya mtaa huo wa MOLONI.


Ukubwa wa njaa yao ulijionesha kwa namna walivyo kuwa wanakipiga kile chakula. Maana ni fasta, kama abilia wanao taka kuwahi basi ambalo tayari limesha anza kuondoka.


"Shogaa! Kama msinge jiongeza kupika walahi mngenipoteza, maana nilikuwa nina njaa, hadi nikahisi tumbo linataka kukutana na mgongo."


Kauli hii ilitoka kwa Zena, mmoja wa wale wadada..

Kwa namna ilivyo, ilionesha kuwa wawili walibaki getoni kwa siku hiyo. Wale watatu ndio walikuwa mtaani, kule kwenye baa wanayo fanyia kazi.


"Mimi je, hapa hali tete! Na kile kibwana nilicho kipata leo sasa..

Shoo zake sio zakitoto. Kimeni minya-minya vibaya, mbaka nimejambia mbele. Badala ya kujambia kwenye ile njia ya maji taka.

 Elfu sabini kiliyo nipa nimeona ni halali yangu kabisaa, wala sikuona hata haja ya kutoa shukrani. Yaani nimetoka nimenuna bila hata kuaga, nikatamani hata nikitukane!

 Nikikumbuka niliye jipeleka ni mimi mwenyewe. Basi nikaishia kusonya tu."


Hilo aliongea Husna, akaelezea hali yake, na nusu kipande cha stori ya yaliyo mkuta huko geto kwa muhuni aliye muopoa siku hiyo.


"Kwahiyo leo tumejua kulipika?"

Aliuliza Deborah, huyu ni mmoja wa wale wawili walio baki nyumbani, na ndio walio andaa lile bweche.

"Sanaa!"

Sentensi hiyo ilijibiwa na Zena, kitoto fulani kibichi ambacho ndio kilianzisha lile zogo. 

 Lakini Rustina, mwenzao kati ya wale watatu alikuwa na maoni tofauti. 


"Kupika mmepatia. Nawapa maua yenu kwa hilo, ila hapa kuna kitu kimemisi. Kama kingekuwepo basi mambo yangekuwa mia-mia bila dosari."


 Ndicho alicho ongea yule mdada..

"Kitu gani kimemisi wee nae?"

Hilo swali lilitoka kwa Betha, ambaye ni mwenzake na Deborah walio baki wote magetoni wakikipika kile chakula. Kama ujuavyo watoto wa kike mambo ya kuoneana wivu..

Na Betha tayari aliisha onesha dalili za kupaniki, kutokana na ile hali ya Rustina kutaka kumkosoa.

 Juu ya kope za macho yake kuka vamiwa na pingili za ndita, kama migongo ya bati za nyumba. 

"Shoga nawe huambiwi?

Hivi unadhani nataka nikuchambe…

Uzuri leo sijaamuka hiyo mudi. Nilichotaka niseme si cha shali wala hakihusiani sana na nyie, kilicho misi hapa ni kachumbari fulani hivi yenye kamchuzi ka-kwenda."

Aliongea Rustina, ni kweli bwana alipo gusa ndipo. Maana sasa wote watano walitulia baada ya kusikia alicho sema, hata wale walio na chakula mdomoni waliacha kutafuta…

 Watulia sababu waliambiwa kitu ambacho wote walikipenda. Sasa Betha aliamua kuzifanya zile tamaa zao kuwa kweli. Akaingiza mkono ule wa kushoto kwenye kifua chake, pale kwenye sidilia. Mkono ulipo toka, ulikuwa umebana noti ya shiringi elfu mbili.


"Husna katukimbizie fasta nyanya, karoti na vitunguu. Hapo jirani, kwenye duka la mama Uledi. Tena wakati naingia nimeviona, na nyanya zipo mbichi mbichi zenyewe."

Aliongea Betha. Ajabu Husna aliitazama noti ile kama vile hajaiona…

"Mmh! Jamani, nasikia uvivuu!"

Sentensi hii ya Husna ndio iliyo mwinua Deborah kutoka pale chini kwenye mkeka walipokuwa wanakula. Akaenda kuikwapua ile noti mikononi mwa Betha. 


"Tunabaki tunajishauri, wakati wote tunauhitaji wa kachumbari. Kununua tu ndio shidaa. Mnabaki mme yapigilia makalio yenu kwenye sakafu."

Aliongea Deborah, akainuka na kujifunga vizuri kitenge chake. Maana siku hiyo alishinda nyumbani tu. Na…

 Alikuwa amevaa kitenge. 


Lazima niseme ukweli kuwa bajeti ya nyama kwenye uumbwaji wa mwili wa huyu dada ilikuwa ni kubwa. Hasa hipsini mwake, ndio maana bodi ilijitingisha wakati wa kuinuka kwake. Alitoka kama anapepesuka fulani.

 Wenzake hawakumjibu, zaidi ya kumwangalia, kisha wakatazamana sura huku wamebidua midomo. Kisha wakaendelea kulisakata lile ngenge.

  ***

Hata hatua tano hazi-zidi, ni karibu! Na milango ilikuwa inatazamana. Maana ni kwenye kona ya nyumba. Wakati Deborah yule dada poa anatoka kwenye chumba chake, macho yaligongana na mwenyeji wa chumba kinacho fuata baada ya chao, kutoka kwenye ile kona.

 "Za asubuhi dada!"

Deborah alisalimu, huku akigeuka haraka na kuanza kujivesha vindala vyake alivyo viacha kwenye kibalaza cha mlango wao.

 Ajabu sasa, mbaka Deborah anamaliza kuvaa ndala na kugeuka, bado yule mdada alikuwa hajafungua kinywa na kuijibu ile salamu yake. 

  Deborah alipo geuka mara ya pili, macho yake yeye na ya yule mdada yaligongana. Baada ya kugongana yule mdada aliachia tabasamu la kujihami.

"Dada nimekusalimia!"

Deborah alijaribu kum-kumbusha, wakati huo aliisha anza kuinua hatua za miguu yake, tayari kwa kutoka nje. 

"Nashangaa…

Salamu ya asubuhi napewa sahizi!"

Aliongea yule mdada, bado anatabasamu. Mkono mmoja alikuwa ameshika kitana. Na ule mwingine kioo kidogo, anajichana nywele zake ndefu za asili. Ambazo zimeipamba sura yake ndefu na nyeusi ya kushuka. Iliyo nakshiwa na jicho lake la kuita, pua fulani hivi, na mdomo wenye lipsi pana kiasi. Ambazo mwishoni, kwenye kingo zake zina kimstari chemba-mba kama vile ni wa kuchorwa.


"Hata sikujua, si muda wote leo nilikuwa nimejifungia."

Aliongea Deborah huku anainua sura yake na kulitazama jua, hata mwenyewe alipo tazama, akakubali kuwa alikosea salamu. Huenda ilikuwa saa sita kasoro ama saa saba. 

"Nisamehe mwenzangu."

"Haya bwana…

Safari ya wapi hiyo sasa?"

Aliuliza tena yule mdada, ambaye ni jirani wa wale kina dada poa. Deborah alishtuka moyoni. Maana ni kama siku hii ya leo mdada yule alionesha hali kutaka kumzowea sana. Kinyume na ilivyokuwa mwanzo. Lakini aliamua kumjibu ili kuiepusha shali…

"Kwa mama Uledi hapo. Naenda kufuata nyanya za kachumbari."

Jibu la Deborah likamfanya  yule dada kuamua kuacha kujichana, akakiacha kitana kiki ning'inia kichwani kwenye nywele. Mikono akaibana nisha makwapani mwake. Macho yake ya wastani, yaliyo jifinya kama yanahofia mwanga wa lile jua, yalikuwa yamekaza kwa Deborah.


"Ungesemaga mpenzi…nyanya ninazo za kutosha."

Aliongea yule dada. Kauli iliyo mfanya Deborah kuhisi kwamba kuna dalili ya kupona kwa ile buku mbili aliyo tumwa.

"Mweee! Nitashukuru jilani!"

Aliongea Deborah kwa lugha ya kujipendekeza.

"Njoo huku ndani…"

Aliongea yule mdada. Akimtaka Deborah aingie ndani kwake.

"Usiwaze karibu tu. Uchague zikazo kufaa, na za kukutosha."

Ndivyo aliongea. Haraka Deborah alitembeza kwato na kukaribia pale mlangoni. Ambapo yule mdada muda wote alikuwa amemfungulia pazia. Anamtazama kwa makadirio…

Hakulirudisha pazia mbaka Deborah alipo pita. Tena, alipo kuwa anampita alipeleka mkono wake na kumshika makalioni. Kidogo hilo liliweka viulizo moyoni kwa Deborah, ila aliamua kupotezea. 


 Mule ndani…

Baada ya kuingia, Deborah ilimtoka mimacho ya ushamba. Kulikuwa na kila kitu kizuri cha lazima na cha muhimu kinacho faa kuwepo nyumbani. Tena ni sebule kubwa, yenye chumba kimoja cha kulala chenye choo na bafu kwa ndani. Pia palikuwa  na jiko, na sehemu ya kulia chakula.

'Hana mume, lakini ana kila kitu ndani. Jamani mwanamke mwenzetu huyu hela ana zitafutia wapi? 

 Ooh, ama..

Ndio ana madanga, yale yanayo jiweza? Lakini huwa ana danga saa ngapi? Muda wote yuko bize. Kama sio mtaani, basi ni nyumbani kajifungia ndani.'


Hayo yalipita moyoni kwa Deborah.


"Isikushangaze hali ya huku, kuanzia leo na kuendelea utapazowea. Maana siwezi kuwanyima kuingia kwa shida yoyote itayokuwa imewaleta."

Aliongea yule mdada huku anamshika mkono Deborah, Deborah alishtuka! Maana alikuwa amezama kwenye lile dimbwi la mawazo.

Baada ya kushikwa mkono, yule mdada alimwongoza mahali lilipo jiko. 

  Ama! 

Iilikuwa ni jiko lenye hadhi yake. Lenye kuyapendeza macho ya mtu yoyote anaye penda vitu vizuri. 

   Kwa pembeni kuna kuna fliji, pia kabati lenye kila kitu. Humo kulikuwa na nyanya za kutosha. Lakini pia kulikuwepo na kachumbari ambayo tayari imesha katwa, hiyo ilikuwa juu, pembeni ya lile jiko la umeme.


"Mwanamke una pambana wewe!"

Deborah alishindwa kujizuwia na kuamua kutoa hizo sifa kwa mwanamke mwenzake. 

"Wee! Umeonaje mbaka useme hivyo?"

Aliuliza yule mdada, akijifanya kuwa hajui kile kinacho mfanya Deborah atake kumpa sifa.

"Naona umejikamilisha. Ama shemeji yetu ndio anaghalamia?"

"Hapana, sijafika huko bado kipenzi. Najipambania mwenyewe."


Mwenyewe!

Hiyo ilimshtua Deborah. Kwa haraka akampiga jicho yule mdada. Akimshusha na kumpandisha. Ni mzuri!

Ijapo naye ni mzuri, ila alikili wazi yule mdada kamzidi.

'Hawezi kuwa singo huyu! Naijuwa hiyo.' 

Hayo aliwaza, maana hakutaka kuamini kwamba mdada mzuri kama yule, eti akakosa bwana. 

"Ipi siri ya mafanikio sasa? Maana si wengine tumeuza bia wee, mbaka tukageuka kuwa walevi. Lakini hakuna kilicho badilika. Zaidi ya kuishia kununua vipodozi na nguo."


Aliuliza Deborah.

"Aah, kawaida. Cha muhimu ni kuweka juhudi na nia."

Aliongea yule mwenyeji wa chumba kile. Akamshika mkono wake na kumvuta. Hali hiyo ilimfanya Deborah awe mbele ya yule mdada. Kabati lenye nyanya na ile kachumbali iliyo kwenye hotipoti lililo juu ya jiko, vilikuwa mbele yao wao wana vitazama. 

"Sasa nisikuweke mpenzi, chagua mwenyewe nyanya za kukutosha ama kachumbari hiyo ambayo nimeikata tayari wala sina shida nayo."

Aliongea yule mdada. Ukaribu ulio kuwepo kati yao, haukuweza kuzuwia wao kuto gusana. Kila mtu akalihisi umbile la mwenzie namna lilivyo. 

Bado ni Deborah!

Akiwa kwenye hali hiyo ya kutojua vipi ni vipi, mara akahisi vidole vya yule mwanamke mwenzake vikitembea kwenye nyonga, mara akashikwa! Taratibu vidole vile vilianza kum-balizi. Kutokana na utalamu wake kwenye michezo hiyo. Akili ya Deborah iliweza kutafsiri kitendo hicho, akajua vile vidole vilikuwa vikiikagua aina ya nguo yake ya ndani aliyo vaa.


 Mwendelezo kipande kinacho fuata>>> 


Kusema yote 1000 karibu WhatsApp no 0627790647
Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DEMU MLA MADEMU (CHOMBEZO)

DEMU MLA MADEMU

   

  Kwl Story Killer


Sufuria la ubwabwa lilibiduliwa kwenye sinia kubwa. Baada ya kubiduliwa, ukafuatia mchuzi wa nyama na vipande kadhaa vilivyo katwa kwa madirio sana. Ile mchuzi kuishia…

 Mikono ikaonekana pande zote za sinia ikikishambulia kile chakula bila hata kukumbuka sala, ama kusubiriana. 

  Naam, kile chakula kilifanyiwa uvamizi na madada poa, walio ificha hiyo kazi yao halisi kwenye kivuli cha uhudumu baa. Baa iitwayo MBAKA ASUBUHI maalufu na ilijizolea jina kubwa ndani ya mtaa huo wa MOLONI.


Ukubwa wa njaa yao ulijionesha kwa namna walivyo kuwa wanakipiga kile chakula. Maana ni fasta, kama abilia wanao taka kuwahi basi ambalo tayari limesha anza...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/demu-mla-mademu-chombezo

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi demu-mla-mademu-chombezo
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

679
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

413
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘

290
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37

289
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87

244
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

135
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

135
REAL LOVE  Chapter 12

REAL LOVE Chapter 12

53
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5  ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)

🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5 ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)

20

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.85K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.06K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5  ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI) Post Mpya
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5 ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA 😭😭 Acha nilie alafu ninyamaze duku duku langu nilimalize maana najiuliza maswali magumu sana ivi serekali inajua hawa wahindi wanatufanyisha kazi za ndani raia wa nchi hii...

REAL LOVE  Chapter 12 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 12
@majario LIVE

kitendo cha fahima kushikwa na seven. kiliwakera sana walikasirika ghafla tu lakini fatuma hakusahau dhamira yake akatoka haraka mpaka kwa fahima na kumsaidia kumshika mkono mwingine lakini mzee fahad akamkemea kabisa "wewe...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi mimi nilikaa home siku 3. Nikapigiwa simu ya kwenda kusaini mkataba katika iyo bank. Na kweli nilienda nikasaini mkataba wa miaka 2. Na mshahara ulikuwa ni mrefu sana ....

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Daaah yani sikuwa naelewa nifurahi pale . Ama ninune. Yani nilikuwa katika hali ambayo ata siielew. Basi zayd akanishika mpaka karibu na ile gari kabisa. Akafungua milango na nikaona...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘
@majario LIVE

Nilitoka kule ndani kwa Tristan bila hata kuwaaga🙈🙈 wenyewe walikuwa wako busy kubebishana😆 nilichukua usafiri nikaenda hadi maeneo ya kule nyumbani kwa Hemed ilikuwa ni mida kama saa tano sita...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

Basi bwana kuanzia apo rasmi mi nikavunja mkataba na princess kabisa. Nikawa busy na maisha yangu kabisaa. Lemi aliniulizaga we ndo unahusika na mimba ya princess nikasema hapana siusiki kivyovyote...

REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest