Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

DO YOU LOVE ME 07 (S2)
Gonga94 · Stories

DO YOU LOVE ME 07 (S2)

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
DO YOU LOVE ME 07 (S2)

CHEATING MESSAGE
Baada ya Rely kuwa amepoteza faham ilibdi wamchukue na kwenda kumpa huduma ya kwanza ambayo haikumchukua mda mrefu akawa ameamka lakin alikua na majeraha madogo sehem ya paji la uso.
Baada tu ya kuamka alianza kulia huku akilalamika kwanin Mungu kamchukua mama yake ingali yeye bado anamhitaji.

Hakukuwa na namna zaidi ya kuchukua mwili wa Mama Rely na kwenda kuupumzisha kwenye nyumba yake ya milele. Ulikuwa ni wakati mgumu kwa Rely kwani hakuwa wa kula wala kunywa. Aliona dunia nzima ni kama imemsaliti na kumuacha peke yake. Nilijitahidi sana kumtia moyo na kumfariji hatimaye alianza kuwa sawa japo nilichukua mda mrefu sana kumuweka sawa.

Rely aliweka chuki kubwa sana ndani ya moyo wake juu ya Mama yangu mzazi. Akiamini kwamba mama yangu ndio chanzo cha kifo cha mama yake. Suala hili likapelekea Rely kukataa kabisa kubaki pale nyumbani. Kwakuwa nilikua tayari nilishaongea na rafiki yangu kuhusu kunitafutia chumba cha kupanga, sikua na shida tena kwasababu chumba kilipatikana na kisha tukahamia huko na kuyaanza maisha mapya ambayo hayakua mazuri sanaa japo niliendelea kupambana kuhakikisha tunaishi.

Siku zikasogea huku nikiendelea kupambana zaidi kutafuta kazi ya kufanya, maana mjini bila kazi hakuna utakachofanikiwa sababu kila kitu kufanikiwa ni lazima pesa iwepo. Kwahiyo nililazimika kuingia mtaani kutafta kazi. Rely pia alianza kutafta kazi ambapo yeye alipata katika mgahawa mmoja ambao kwa namna yake ulikua na hadhi kidogo. Mimi niliendelea kutafta kazi bila mafanikio lakini sikukata tamaa na safari hii nikaona nifungue kibanda cha chips na kuanza kuuza chips pale mtaani.

Maisha yaliendelea kuchanja mbuga japo kwa tabu lakini ikawa ni bora kuliko kukaa tu kujibweteka bila kazi. Nashkuru Mungu kwa kipindi hiki kidogo tuliweza kupiga hatua kwa kiasi fulani kwani pesa aliyokua akipata Rely tulikua tunaunganisha na ile nnayopata Mimi kisha tunaweka mikakati ipi ambayo tutaifanya ili kujiinua zaidi ya pale tulipo.

Wakati Sisi tukiendelea na maisha yetu ya kawaidaa, upande wa pili ambapo alikuwepo Rola pamoja na mpenzi wake Hussein, mambo yalikua safi kabisa kwasababu wao hawakua na shida kama tulivyokua Mimi na Rely. Waliishi kama wafalme kwasababu kila kitu walikua nacho na kikubwa zaidi ata baadhi ya kampuni alizokua nazo Rola aliandika jina la Hussein kitu ambacho kilimfanya Hussein kufurahi zaidi.

Kitendo cha Hussein kupewa umiliki wa baadhi ya mali za Rola kilimfanya kuwa na kiburi sanaa kwasababu alianza kutumia pesa zile kwa maslahi yake binafsi. Mwanzo Rola aliona sio mbaya kwasababu ni mume wakd labda kuna vitu anafanya lakin ukweli haukua hivyo badala yake Hussein alikua akitumia pesa pamoja na wanawake wengine na cha kuumiza zaidi ni kwamba alikua na mwanamke wake ambae anampenda sana kuliko ata anavompendaa Rola na huyo mwanamke ndio ameitawala zaidi akili ya Hussein japo akiwa na Rola atapretend tuu. Kwahiyo hapa tunaweza kuona kwamba Hussein alikua kwa Rola sio kwa mapenzi bali ni kwa manufaa yake binafsi.

Japokuwa nilikuwa naishi na Rely kama mume na mke lakini utashangaa sana nikikwambia kwamba bado nilikua nampenda Rola na niliimani kwamba siku moja atarudi tu kuwa wangu. Hii hali sikutaka kumuonesha Rely ambaye najua kwa namna moja au nyingine ingeweza kumletea majeraha na kumsababishia shida. Lakini mawazo yangu kumbe yalikuwa ni tofauti na ya mwenzangu kwasababu wakati Mimi nawaza nisiomuoneshe kwamba bado nampenda Rola, yeye pia aliwaza kuniacha na kwenda kuishi maisha yake. Rely aliona hawezi kuishi na mtu ambae Mama yake mzazi hana utu, akasahau kwamba Mimi ndio niliyemuoa na sio Mama yangu.

Siku moja nilikua nimekaa nae seburen kwetu tukipanga namna ya kuongeza mtaji katika kibanda changu cha chips..
"Rely unajua nataka nitanue hii biashara yangu maana naona kama imekua sasa. Kwahiyo nataka nifungue kibanda mtaa wa pili apo lakini nitaweka mtu mwingine.."

"Ni sawa sio mbaya hata hivo najua pesa itabaki nyingine, ningeomba hiyo itakayobaki basi nifungue walau hata duka nianze kuuza.."

"Unamaanisha utaacha kazi kule mgahawani??" Niliuliza kwa shauku kwasababu sikutaka kusikia kwamba Rely anaacha kazi kule mgahawani ukiangalia ni sehemu ambayo anatusaidia sana.

"No, siwezi acha lakini nitaweka mtu piaa dukani.."

"Apo sawa.." Nilimjibu hivyo huku nikiwa naendelea kuhesabu pesa ambazo nilikua nazo mkononi.

Siku moja wakati nipo chumbani nikijiandaa kwa ajili ya kwenda kutafuta site ambayo itakua nzuri kwa kuweka kibanda changu cha chips. Simu ya Rely iliita sanaa lakini Rely hakuwemo chumbani nikaona wacha niipokee si ni sim ya mke wangu bana. Wakati nasogea kuipokea ikakata, basi nikaachana nayo lakin mda huo huo iliingia meseji kwenye simu yake iliyosomeka hivi... "Naomba kama hutojali leo uje hapa restaurant nina maongezi na wewe mpenzi wangu juu ya lile swala lako la kufungua duka.."
Niseme ukweli tu kwamba hii meseji ilinifanya nijiulize mara mbili mbili. Je Rely ananicheat au ni nini kinaendelea ambacho Mimi sikifaham...???

Japokua kweli nilikua nampenda ndugu yake lakin yeye hakupaswa kunifanyia hivi mim kwasababu mim ni mume wake, inamaana swala la kufungua duka kuna mwanaume mwingine anajua tena tofauti na mim..?? Nilichanganyikiwa.. ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DO YOU LOVE ME 07 (S2)

DO YOU LOVE ME 07 (S2)

CHEATING MESSAGE
Baada ya Rely kuwa amepoteza faham ilibdi wamchukue na kwenda kumpa huduma ya kwanza ambayo haikumchukua mda mrefu akawa ameamka lakin alikua na majeraha madogo sehem ya paji la uso.
Baada tu ya kuamka alianza kulia huku akilalamika kwanin Mungu kamchukua mama yake ingali yeye bado anamhitaji.

Hakukuwa na namna zaidi ya kuchukua mwili wa Mama Rely na kwenda kuupumzisha kwenye nyumba yake ya...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/do-you-love-me-07-s2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi do-you-love-me
DO YOU LOVE ME 03 (S2)
DO YOU LOVE ME 03 (S2)
DO YOU LOVE ME..... 01 (S2)
DO YOU LOVE ME..... 01 (S2)
DO YOU LOVE ME 18 (S2)
DO YOU LOVE ME 18 (S2)
DO YOU LOVE ME 05
DO YOU LOVE ME 05
DO YOU LOVE ME 10 (S2)
DO YOU LOVE ME 10 (S2)
DO YOU LOVE ME..... S2 (16)
DO YOU LOVE ME..... S2 (16)
DO YOU LOVE ME 17 (S2)
DO YOU LOVE ME 17 (S2)
DO YOU LOVE ME 04 (02)
DO YOU LOVE ME 04 (02)
DO YOU LOVE ME 06 (S2)
DO YOU LOVE ME 06 (S2)
DO YOU LOVE ME.... 02 (S2)
DO YOU LOVE ME.... 02 (S2)
DO YOU LOVE ME 09 (S2)
DO YOU LOVE ME 09 (S2)
DO YOU LOVE ME 11 (S2)
DO YOU LOVE ME 11 (S2)
DO YOU LOVE ME 15 (S2)
DO YOU LOVE ME 15 (S2)
DO YOU LOVE ME 13
DO YOU LOVE ME 13
DO YOU LOVE ME 08
DO YOU LOVE ME 08
DO YOU LOVE ME 14 (S2)
DO YOU LOVE ME 14 (S2)
DO YOU LOVE ME 12 (S2)
DO YOU LOVE ME 12 (S2)
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

898
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

480
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

413
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

301
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

206
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

87

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest