Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 26..
Gonga94 ยท Stories

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 26..

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Siku ambayo haitawahi sahaulika maishani mwangu๐Ÿ˜ญ. A day that will never fade in my life๐Ÿ˜ญ, it was Saturday morning, kila njia ilikuwa inaelekea kwa kina Sky ๐Ÿ˜ญ, wengine wanacheka, wengine wanalia๐Ÿ˜ญ, wageni wanazidi kutua mmoja baada ya mwengne๐Ÿ˜ญ. Pembeni ni vijana wenzangu wanatengeneza hema ya wageni๐Ÿ˜ญ.

Ilikuwa jumamosi asubuhi ndiyo ilikuwa siku mazishi ya mamangu๐Ÿ˜ญ, siku ya kumuaga mamangu mpendwa, aliyekuwa kama babangu pia๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Machoni mwangu hamna hata toni la chozi lililobakia๐Ÿ˜ญ, ina maana kama kulia kwingi kunaweza muamsha mfu/maiti, basi mamangu kwa sasa angekuwa hai๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Giving up is real, for sure I had nothing to live for๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ.

But she warned me that playing around with girls might blow away her life๐Ÿ˜ญ, I knew very well that my mom had a heart attack disease ๐Ÿ’”. Should I kill myself too??

"Hey bro, stop thinking so much, it will push you into depression ๐Ÿ˜ญ, we have been standing here for a couple of minutes now, you seem to be on another world๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, you have lost your Mom and that won't be changed Sky. come on man๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ"

Ilikuwa sauti ya KAMAU, kutazama kumbe walikuwa wameshafika kwetu๐Ÿ˜ญ, yeye Njeri na Brianna ๐Ÿ™๐Ÿ™. Tangu tuachane hospitilini siku ambayo ilipita๐Ÿ™,

ME: Welcome all,, kwan mlikuwa mnajuwa kwetuโฃ๏ธ.

KAMAU: That is why I said you should stop thinking so much bro,,,, si huyu BRIANNA mmekuwa mkiishi naye huku, ni yeye alituongoza๐Ÿ™๐Ÿ™.

NJERI: Sky I know I don't deserve to stand before your sight ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. I caused all these when I exposed you ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Am sorry for everything ๐Ÿ˜ญ.

ME: Who said that Njeri,,?? The mistake was ours, we should apologize to KAMAU not me๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

KAMAU: I hold no grudge against anyone guys,, what happened, happened, it's not time for that ๐Ÿ™๐Ÿ™. For sure it hurt me but not as your mom's demise ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

Brianna alikuwa ameanza kushughulika na wageni kitambo, since alikuwa anajuwa kila kitu penye kilikuwa kwa nyuma๐Ÿ™๐Ÿ™.

Dakika chache tu baada ya mkutano kuanza,, walimu wote na wasomi wengne walifika๐Ÿ™๐Ÿ™. Sikuamin kama hiyo siku ndo ilikuwa ya mwisho kumuona mamangu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

Babangu mdogo ambaye alikuwa akibishana na mamangu kila mara kuhusu shamba na nyumba yetu after Dad alikufa,,, yeye alikuwa amehamia mji wa mbali baada ya kushindwa case na mathe๐Ÿ™๐Ÿ™, kila ninapomuona kwa macho yangu, huwa nakumbuka siku moja kortini akidai eti mie sikuwa mtoto wa nduguye yan babangu mzazi๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Why am I stating all these๐Ÿ˜ญ. Anyway yeye ndiye alisimamia mkutano๐Ÿ™๐Ÿ™.

"Nawakaribisha wote kwa mazishi ya shemeji yangu mpendwa ambaye alituacha siku chache zilizopita๐Ÿ™๐Ÿ™, wapendwa tumehusunika sana kwa kifo chake, kwa sasa mungu angenipa ruhusa ya kumrudisha mtu mmoja awe hai, basi singekuwa na budi kumrudisha shemeji ambaye ni mamake Sky hai๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ" alisema kwa husuni๐Ÿ™๐Ÿ™.

"Sitaki sema mengi wana matanga๐Ÿ™๐Ÿ™, ningependa kukaribisha kanisa iweze kuendelea๐Ÿ™" . "Oh samahani jamani, kwanza ningependa kumkaribisha Sky ambaye ni mwanawe wa kipekee" babangu mdogo aliongeza๐Ÿ™๐Ÿ™.

Nilisimama kwa ujasiri na hasira,,

ME: Nimewashukuru wote waliofika kwenye safari ya mwisho ya mamangu mzazi,, kwa kweli kumpoteza mamangu imekuwa kama kupoteza kila kitu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Ila walisema lisilobudi hubidi๐Ÿ™. Nmekubali mamangu aliaga kutokana na ugonjwa wa moyo๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, nitamkosa sana mshauri wangu๐Ÿ™๐Ÿ™. Niliona mwalimu wangu Mkuu akiomba muda kidogo aongee baada tu ya kusema ugonjwa wa moyo๐Ÿ™๐Ÿ™. Kwa hiyo nilimpa microphone ๐ŸŽค

Mwalimu MKUU: Mtanisamehe kwa kuikatisha hotuba ya Sky, mm ndiye mwalimu wake mkuu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Hakika mamake alikuwa mzazi mpole na mwenye bidii ya mchwa๐Ÿ™๐Ÿ™. Hakuna siku trevor alitumwa nyumbani kwa kukosa karoโฃ๏ธโฃ๏ธ. Hayo kando, ningependa pia kuwafahamisha kwamba๐Ÿ™๐Ÿ™. Mamake Sky aliuawa kwa kuwekewa sumu kwa chakula๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ. (Watu wote walianza minong'ono chini kwa chini, sumu? Sumu? Et sumu? Kila mtu aliyefungua kinywa chake aliuliza kuhusu sumu??). Ndio alipewa sumu,,, uchunguzi wa daktari umeonyesha hivo, isitoshe ninayo hapa barua ambayo mamake Sky aliacha kabla hajakata roho๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™.

Mwalimu alitoa barua, hapo ndo nilikumbuka ni hiyo hiyo niliyopewa na askari nikiwa jela๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ญ nilipompa mwalimu anisomee tukiwa hospitali nikasahau. "SUMU??". Babangu mdogo kiti chache kilianza kumea miba, ama kama si hivo basi kilikuwa kamepashwa moto๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ, kila mara alikuwa anajizungusha kitini,, mara ainuke mara aanguke๐Ÿ˜ฑ. Mwalimu aliendelea.

"Lakin niko hapa kama mwalimu wa mtoto ambaye ameketi pale๐Ÿ™๐Ÿ™, nawaambia hadi jina la mtu aliyempa mamake SUMU, wenzangu heri kuishi na mwizi au mchawi kuliko kuishi na mtu mwenye wivu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ., Yuyu huyu mtu ndo anadai et alimpenda mamake Sky ๐Ÿ˜ญ, kweli??? Sitaki kupoteza muda mwngi ๐Ÿ™๐Ÿ™. Huyu mtu anaitwa.....

Alizimiwa microphone ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ.

WATU: (wote walianza kelele) umesema nani๐Ÿ˜ณ??

Hapo ndo babangu mdogo alichukuwa microphone haraka na kumkabidhi Pastor ili aendelee. I was so curious to know who the Idiรตt that my teacher was referring to๐Ÿ™๐Ÿ™

KAMAU: Bro cool down,, usiharibu mazishi ya mathe please ๐Ÿ™๐Ÿ™. Tulia kwanza, our teacher has the letter, tutaiona after our mom's burial๐Ÿ™๐Ÿ™.

NJERI aliniangalia kwa huruma hadi machozi yakamtoka๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

HER: Sky ak woyie๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. But mungu atakusaidia usijali๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

Finally my mon was laid in peace, WHO KILLED MY MOM๐Ÿ˜ญ? hilo ndo swali lililobakia kwenye vinywa vya wengi,, kuhusu maisha na masomo yangu, ni huyo huyo babangu mdogo ndo alisema watu wasijali, et angeshughulikia kila kitu๐Ÿ™๐Ÿ™.

Hata hatukungoja watu waishie,,, mwalimu aliposimama hivo akiwa tayari kuondoka, nami na Kamau tukafika alipokuwa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

ME: Sir what did you mean,,, give me that letter please,, someone can't just take my Mom's innocent life and expect to live a peaceful life๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Please give it to me๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™. Nakuomba tu๐Ÿ’”๐Ÿ’”

MKUU: Sky, I wish I could give it to you now,, but you haven't healed from the loss๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Kwanza tulia uaccept kifo cha mam๐Ÿ™๐Ÿ™. Be careful adui wako wa hii familia ako na wewe kwa ukaribu sana๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ. I'll give you later๐Ÿ™๐Ÿ™

ME: Have already healed and accepted Sir please give me first, tommorow might be too late๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

KAMAU: Bro mkuu ni kama mzazi wetu kwa sasa,, huenda anajuwa kwann anasema ivo๐Ÿ’”๐Ÿ’”.

Ilibidi nimskize Kamau, tulimuaga akaenda. Sasa ngoja kwa news ya jioni๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. "Habari za hivi bunde, PRINCIPAL OF AIM HIGH SEC SCHOOL HAS BEEN KIDNAPPED BY UNKNOWN PEOPLE๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ",

"hicho kisa kilitokea kwa barabara ya kuelekea kwake๐Ÿ’”, inasemekana mwalimu alikuwa anatoka kwenye mazishi ya mmoja wa wanafunzi wake, duru za kuaminika zinasema huenda kupotea kwake kunatokana na jinsi alivyodai kwenye mazishi kwamba anamjuwa aliyemuua mzazi wa mwanafunzi wake, polisi wameanza uchunguzi๐Ÿ’”"

ME: Bro I told you ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Now see! See๐Ÿ˜ญ

Brianna: Sky what you have to do now is to calm down,, it's okay ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

ME: Brianna unasema it's okay?? What's okay here๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, it is not๐Ÿ˜ญ. Now our principal is no where to be found ๐Ÿ˜ญ, Nani aliua mamangu๐Ÿ˜ญ hatujui bado๐Ÿ˜ญ.

NJERI: Sky.. mm naona Brianna ako tu sawa,, unafaa kuwa mpole kwanza,, haraka haraka walisema huwa haina baraka๐Ÿ™๐Ÿ™. Wacha kesho tungoje uchunguzi wa polisi utasemaje๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Let's have supper guys๐Ÿ™๐Ÿ™.

Usiku saa nane, nilipokea simu new number, tulikuwa na kamau kwa room yangu, alfu BRIANNA na Njeri kwa room yao๐Ÿ™๐Ÿ™.

KAMAU: Bro just receive,, uweke kwa loud๐Ÿ™๐Ÿ™.

VOICE: (whispering) Hello Sky,, nilisahau kukwambia, barua ilikuwa inasema et uchukuwe title deed na documents zote za nyumba yenu ufiche๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, zipo kwa kitanda ya mamako chini ya mattress, hapa nilipo sidhani kama nitapona๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, nimekatwa vibaya sana๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

ME: Sir๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ, umekatwa?? Na nani??

VOICE: Na mwenye aliua mamako๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Goodbye ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ someni kwa bidii๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ’”

ME: Mwenye aliua mamangu๐Ÿ˜ฑ. Please sir ni nan alimuua, at least tujue cha kufanya sasa hivi๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

VOICE: Alikuwa anaitwa..... Unaongea na nani kwa simu๐Ÿ™†๐Ÿ™†, (tuliskia sauti ya panga likikata kitu,)

Hapo ndo simu yetu ilikatwa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Nilikimbia hadi kwa room ya mamangu, kuangalia chini ya mattress ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ฑ, kila kitu kilikuwa kimechukuliwa ๐Ÿ˜ฑ.

That day hatukulala๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, tulikesha tukifikiria mwenye aliua mamangu na kwenye mwalimu alipelekwa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Asubuhi na mapema tuliamka tukampata Brianna akiprepare breakfast ๐Ÿ™๐Ÿ™.

HER: Sky mlikuwa mnaongea na nani usku๐Ÿค”๐Ÿค”. Mliongea hadi asubuhi kwan hamkulala๐Ÿค”๐Ÿค”.

Hata before tujibu,, morning news kwa TV

"THE AIM HIGH SEC SCHOOL PRINCIPAL WHO WAS KIDNAPPED YESTERDAY EVENING HAS BEEN FOUND DEAD๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ."

To be continued...๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”๐Ÿ’” Usikose kuLIKE โค๏ธ โค๏ธ

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 26..

Siku ambayo haitawahi sahaulika maishani mwangu๐Ÿ˜ญ. A day that will never fade in my life๐Ÿ˜ญ, it was Saturday morning, kila njia ilikuwa inaelekea kwa kina Sky ๐Ÿ˜ญ, wengine wanacheka, wengine wanalia๐Ÿ˜ญ, wageni wanazidi kutua mmoja baada ya mwengne๐Ÿ˜ญ. Pembeni ni vijana wenzangu wanatengeneza hema ya wageni๐Ÿ˜ญ.

Ilikuwa jumamosi asubuhi ndiyo ilikuwa siku mazishi ya mamangu๐Ÿ˜ญ, siku ya kumuaga mamangu mpendwa, aliyekuwa kama babangu pia๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Machoni mwangu hamna hata toni la chozi lililobakia๐Ÿ˜ญ, ina maana kama kulia kwingi kunaweza muamsha mfu/maiti, basi mamangu kwa sasa angekuwa hai๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Giving up is real, for sure I had nothing to live for๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ.

But she...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/drama-of-love-part-26

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi drama-of-love-part
DRAMA OF LOVE  part 4.
DRAMA OF LOVE part 4.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 18.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 18.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 22.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 22.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 37.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 37.
DRAMA OF LOVE????????????  Part 1
DRAMA OF LOVE???????????? Part 1
DRAMA OF LOVE????????????  part 2.
DRAMA OF LOVE???????????? part 2.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 12.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 12.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 11.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 11.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 8.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 8.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 20.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 20.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜.  part 19
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 19
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 34.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 34.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 10.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 10.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 9
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 9
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 43.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 43.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 38
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 38
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 16
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 16
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 30.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 30.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 41
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 41
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 36.  Although our God is almighty, he doesn't
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 36. Although our God is almighty, he doesn't
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 27  Kifo cha mkuu kilituwacha zote vinywa wasi๐Ÿ˜ฑ,
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 27 Kifo cha mkuu kilituwacha zote vinywa wasi๐Ÿ˜ฑ,
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 33
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 33
????????????DRAMA OF LOVE????????.  part 13.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 13.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 40.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 40.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 44
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 44
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 28  No matter how bad and long a night
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 28 No matter how bad and long a night
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 31
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 31
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 14
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 14
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 45
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 45
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 21.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 21.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

869
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

671
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

556
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

353
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

166
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

165
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

126
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

100
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5

29
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

10

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.76K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.53K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.46K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA โ€œ Brayton..โ€ Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa โ€œ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?โ€ Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers โ€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest