πππDRAMA OF LOVEππ.
part 31
Me: Kiss whatπ±π±π±. Brianna, tuko daro bana, can't you seeπ.
Alinirukia akanikiss then akaenda,, "Sky ukiyavulia walisema ni lazma uyaoge,, ulianza kunipenda mwenyewe, game lazma iendelee, hapa hakuna kuachana, ukihisi umechoka, nakupea glucose then tunaendeleaπ±π±" she narrated π.
KAMAU aliniangalia akashindwa kujizuia kwa hiyo akapasuka kwa kichekoππ. "Bro sorry ππ, sijacheka kw ubaya" (bado anajaribu kuzuia kichekoπ).
But why was she behaving like that?? Didn't she feel a bit concerned about my poor performance πͺ, hajawahi nishow nisome ama nisifikirie sana kuhusu mamπ. Ni kweli unaweza nunua kila kitu duniani lakn wazaziππ. Wazazi hata kwa kiasi gani cha pesa huwezi kamweβ£οΈ I miss my Mom so much ππβ£οΈ.
Siku zilisonga, baada ya week moja bado Brianna hakutaka kukaa mbali na mm, alitaka kuhahakikisha feelings zetu zimerud kama zamaniππ. Alifaa kufanya hivo mapema koz exam ikifika tena nifail, ataweza ambiwa akae mbali na mmππ. That day morning, hiyo ndo ilikuwa siku ya Njeri kurudi shule ili afanye mtihani wa mwisho wa muhulaπ. Brianna hakufurahia kabisa alipomwonaπ.
Njeri looked even more beautiful than before,, her endless smiles didn't say bye to her beautiful baby face,, popping after popping β£οΈβ£οΈ.
HELLEN: Mamake Maya mwenyewe,,, uliamua utazidi tu kuwakunywa bila strawπ.
NJERI: Hellen when will you stop joking around serious issues π. Nawakunywa aje kwan??
HELLEN: π anyway welcome back kamama,, say Hi to us,,
NJERI: Hello guys, nmewachecky kina Sky mtanashati, the father of all time , Kamau, best man ever on Earth, mama drama pia nakuona ππ. Naona umetulia hapo ivo, kwa wagen mniite tu mamake Maya β£οΈ asante β£οΈ.
BRIANNA: Et sky mtana what? Mtanashati? Hahaa maybe akue "mtu hana shati" bure hapo kwa mtanashati umetuchochaπ. But tutampenda tu vile alivyo, sasa tufanye niniββ.
Nancy: Et mtu hana nini??ππ. Walahi hii class ichomwe tu watu waende home ππ. Sky mamboπ
ME: πππππ.
BRIANNA: Wewe soma bro,, unanipa kazi mingi sana,, huku nafaa nisome, huko nafaa nikulee kama Maya wenu πͺπͺ. Niko tu na wewe papa kwa hapaββ. Kwanza please nisaidie book ya Bio practicalππ.
MEAN: Come uchukuwe, sasa unataka nikuleteeπͺ. (Baada ya kuchukua)
BRIANNA: Wow enyewe sura haifanani na rohoβππ.
Watu wote daro wakacheka,, lakn you know what? Maneno ya Kamau bado yalikuwa yanarun tu kwa kichwa changu, my mom was brought back through NJERI β£οΈ. Now I had the reason as to why I should study smarter ππ.
NJERI alipofika alimpa Brianna pressure sana, drama queen hakutaka tuongee na mama Maya ipite dakika mbili. Ogopa Kamau, kumbe alikuwa anafikiria jinsi ya kumgomesha Brianna bila kumhurtππ.
Alikuja akatupata tukiwa na naye huko nyumaππ. "Oyah Mkuu, nipeleke loo man,, I have something to share with you ππ"
BRIANNA: Sky kwan unataka kuniacha hapa?? Did madam Stacy tell you that πͺπͺ. Wewe ni mbaya sanaππͺ. Nimekupa 2mins uwe umerudi, nafaa kukupa ushauriπ€π.
ME: Et mm ni mbaya??
HER: Eeeh sana, anyway don't worry, being bad is not a crime, don't kill yourself,, we can use you as a bad example ππ.
KAMAU: wee achana na huyu mwendawazimu bro,,, let's goππ. Mm mbavu zinaniuma sitaki kucheka tenaπ.
ME: What is it man,,, share with me ππ
HIM: Manze nmeona hii style unapelekwa na huyu mtoto sioni ukimake broπͺπͺ. You need to come back to your usual position as soon as possible,, ningependa sana ukiitwa POS one alfu nikufwate nyuma yakoβ£οΈβ£οΈ. Just imgn that feeling π€π€π€.
ME: It feels good broππ.
KAMAU: Okay that's why I called you.. huyu Brianna nataka umwambie unampenda sana,, as I talk now, yeye anadhania ukikaa sana na Njeri utaanza kumsahauπππ.
ME: π€π€ bro sasa hiyo itafanya ni improve aje ππ. Mapenzi tena??
KAMAU: Relax man,, the plan is all mine,, wewe sikiza kwanza.. nataka leo jioni umshow Brianna hivo,, then umwambie, akikushinda kwa hii exam inakam, utafanya chochote chenye atataka umfanyieππ.
ME:Aaaih huyo mtu anaweza sema tukulane man,,,ππ. Mm namjuwa from A to Zπͺπͺ.
KAMAU: Sasa nani hajui hiloππ. Nimesema hivo ju najuwa hawezi kushinda skyππ. Nakuaminia man,, kama uko sure atakubali hii challenge, sasa ni wakati wako wa kusoma kaka,, chapa paper hadi Brianna ashtukeππ. Ukimshinda tena umwambie to hivo hivo,, akitaka umfanyie chenye anataka itabidi akushinde kwa next examπͺπͺ.
ME: Wow where did you get this idea from??
"From meπͺπͺ, (kugeuka nyuma kumbe ni madam Stacy π±π±. " Yes ni mm nmekaa chini na Kamau tukadiscussπ, aliniambia Brianna hakupeleki venye tulitarajiaπͺ"
KAMAU: Hapa sasa ni wewe ujitoe kwa ngori bro,, akikushinda mm sijui chenye utaambiwa ufanyeππ.
MADAM Stacy: Haka katoto ketu kanaweza kushow mkulaneππ. Sorry kusema ivoπ. But mm nikajuwa sana, kanakupenda kiukweli si chochaππ.
Baaasi, ba... Baaaaasi, nilienda nikamweleza Brianna akakubaliππ.
HER: sky, huenda unadhani nacheza na feelings zakoππ. But deep in my heart huwa naumia sana ukini ignore mbele ya watu aki,,, I love you so much, But if that's the case then I'm down, β£οΈβ£οΈ. Am inπͺπͺ. See you after eggsam broππ.
ME: Okay dear,
BRIANNA: promise me Sky π. Utanifanyia chochote nikikushindaπ.
ME: Anything mammy, β€οΈ hadi madam Stacy anajuwa hivo nishamwambiaππ.
HER : have a nice time dearβ£οΈβ£οΈ.
Mbna alisema na confidence ivoπ±π±. Madam na Kamau walikuwa kwa dirisha wanatuwatch,, after kumaliza wakaniita
MADAM Stacy: Kamesema niniπ€.
ME: Amekubali haraka sanaππ.
MADAM: Sky, make sure asikushinde Please,, huyo mtoto pia kwa kitabu sio mchache, na sasa imgn this round she's doing it just prove her Love for you β£οΈβ£οΈ.
KAMAU: Hapa hata mm nimeingiwa na baridi banaππ. But sky nakuaminia brazaπππ.
Exam ilifika, asubuhi na mapema Brianna aliniita tena, that round tulikuwa na Kamau,
HER: Kamau, nataka uniprove kama hii deal ni ya ukweli ππ. Jokes zitakuja after paper
KAMAU: Iko real Brianna,, even our madam is aware of that ππ.
Mtoto aliishia tena, tangu nimwambie hiyo deal hakuwahi nisumbua tena ππ. Kwa hiyo pia nilipata tym poa sana ya kusoma,, hadi kamau aliachana na zake akaja kwangu ili tupige collableπππͺ.
Tulimaliza exam ikawa sasa ni results kutolewaππ.
Class teacher wakiwa na MADAM Stacy waliingia daro kama wanachekaπ±π±. KAMAU aliniangalia kisha akasmileππ
Class teacher: POS three(3) Murunga Edison KAMAU π±π±π±.
POSITION TWO: WAFULA KELVIN (SKYBOY)π±π±π±
CLASS TEACHER: POS one (1) .,..........
MADAM Stacy akatoka nje akichekaπ±π±π±.
To be continued.... Si mueke LIKES zifike mapema nidrop part 32 before lunch? Ama?? Who do you think was number one πππ.