πππDRAMA OF LOVEππ.
part 33
Asubuhi saa mbili Brianna alikuwa ameshafikaπ±ππ. Hata before nimuulize kwann amekam na tuliagree asikam ,,Kwa simu yangu text ikaingia π².
NJERI: Good morning baba Maya,,, nmetoka......
Waah akili ilisimama nikaanza kuchanganyikiwa sasaπ, nilibaki kama nmeangalia kwa simu hadi sikumpa Brianna salamuπ. How will we live now,, hawa watu wote wana wivu, kwanza Brianna π. Oh my gosh, She is the mother of jealous π.
BRIANNA: Bro, why are you so shocked? Is everything okay??
ME: Everything you sayπͺ. What's okay here?? What did I tell you yesterday??
Brianna: It was today, saa saba usiku inakuwaje jana tenaπͺ. So mm kufika hapa ndo inafanya ufure kama chapo?
ME: eti chapo? Chapo gani huwa inafura na wewe?? Drama after dramaπ. Hope umekam tu kuniona na urudi please πͺ.
HER: Yaah nmekam tu kukuona for 4weeks then nirudi, sikai huku sanaπ±.
Me: Et four what?? You are madπͺ.
Nilisema huku nikirecieve simu ambayo ilikuwa imepigwa na Njeri πͺ.
"Hello dear,, umefika wap??" I asked NJERI ili Brianna ajam akitaka ndo labda aendeπ‘.
NJERI: Nmeshukishwa hapa juu, come unichukueππ. Sky??
ME: Yes am coming π.
HER: Wait, kwan mko na nani??
ME: Ni Brianna amekam asubuhiπ‘.
HER: Amekam asubuhi?? Kufanyaaa?
"Wacha nikuje nikupick hayo tutaongea don't worry π" nilisema kama nmetoka.
BRIANNA: Ooh now I know,, Njeri ndo anafanya unashinda hapa kama umejam? let her come,
ME: kwan utampiga??
Brianna: Kama itanibid nifanye ivo,, wewe endaπͺπͺ. Am tired naenda kurelax kwa room yakoπ.
ME: weee nikupate kwa room yangu utaonaπ
Kumbe Mama maya alisema lakn alikuwa karibu kufika,,, Brianna alipomaliza maongezi naye Njeri akapisha hodiπ. "Welcome Njeri, you must be so tired, please sit down, let me prepare something to eat,β£οΈβ£οΈ"
HER:No need Sky am okay. Wap remoteπ€. Kuna kakipindi huwa nakapenda sana kila asubuhiπ€ lazima niwatchπ€.
ME: Si remote imekuwa hapa sahiπ€. Brianna ama umeionaπ€.
HER: (akiwa kwa room yangu) ningeiona ningeifichaπͺπͺ. Angalia tu myb iko nyuma ya TV ππ.
NJERI: ooh mambo Brianna,, kumbe uko hukoπ. Hadi salamu huwezi nipa jamaniππ.
HER: Niko poa sana,, journey imekuwa aje??
NJERI: Nashukuru nmefikaπ€π€. Sky umepata??
ME: nini hiyo?
HER: ngΓ i π kwn nyuma ya TV unatafuta Nini?
ME: ππ sorry nilikuwa nmesahau ππ.
BRIANNA: Girl, huyo sky huwa ananibamba sanaπ. Kwanza huko kusahau kwake,, huwa namkufia tu walahiπ€.
NJERI: Na si utoke kwa room yake,, nilidhan ulienda kuchange nguo π.. unado nini??
Brianna alitoka kwa room yangu akiwa na remoteπ‘π‘.
ME: Lakn shida yako inakuwanga nini Brianna?? Si hii remote ndo tunatafutaπ.
BRIANNA: Sorry nilikuwa nmesahau iko kwa mkono π.
ME: π‘π‘π‘.
NJERI: Sky ak smile tu,, ukijam hiyo sura yako inakaa vibayaaa, hata heri nyuma ya radioππ.
Brianna: ama mbele tractor ππ.
ME: Nawewe ππ
Siku zilisonga, nilidhani kungetokea vita vya 3rd world war .. Brianna naye hakutaka kuenda wala hakutaka nishinde na mama maya kwa muda mrefuπͺ.. Even sleeping, alihakikisha kila mtu na room yake,, alfu yeye analala sitting room.... Najuwa alichoose kulala hapo ili ahakikishe Njeri hajatoka kwa room yake aje kwangu ama mm niende kwakeπ walahi alikuwa anabehave tu kama mamanguπ.
Usiku moja nikiwa nishaenda kulala nikawawacha wao wakiwatchπ, kidogo hivi Brianna akanitextπ.
"Sky Please, leo nakuja tulale na wewe β£οΈβ£οΈ, we can't stay like this hadi tufungue shuleπͺπͺ, what do you say ??"
Nilisoma tu text but nikaassumeπ. The same night NJERI naye akaanza zake,, "Sky leo uchague mawali,, wewe sijui kwann hutakangi kulala na mtoto wakoπͺπͺ,, so tonight it's either ulale nayeye kwako ama ukam tulale na yeye kwanguπͺ, I can't be the taking care of her alone,, "
Hiyo niliona lazma nirply,, "si hivo dear,, you know why am doing this,, you know very tuko na queen of jealous kwa hii hao,,, hadi mm nmekumiss ak,, leo nataka ukam tulale uku kwangu sawaβ£οΈβ£οΈ."?
Kidogo reply ikarudi,,,
Brianna,, " it's okay beb, naelewa Njeri huwa na wivu sana,, so tutym wakati amelala then nikamβ£οΈβ£οΈπ€"
Kumbe nilireply text ya Brianna sio Njeri ππ.
Kitu saa sita hivi usiku, niliskia mtu akigonga polepoole kwa mlango wa room yangu...
Guess alikuwa naniπππ.
To be continued guys,, πππ. Drama of Love.