Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

πŸ’•πŸ˜πŸ’–DRAMA OF LOVEπŸ’–πŸ˜. part 38

31st Jul, 2025 Views 63

πŸ’•πŸ˜πŸ’–DRAMA OF LOVEπŸ’–πŸ˜.
part 38

Don't ever promise what you can't deliver πŸ™. Except your man and Dad,, everyone lies, sisi ni binadamu bwanaπŸ˜‚.. And the one who knows the meaning of enough is enough will always have enough πŸ€— jifunze kuridhikaπŸ€—... Naye ndama siku zote hawezi patikana kwenye miguu ya ng'ombe ndumeπŸ™…, ebuka mahali penye hata ukikaa hapo kwa miaka na mikaka hautapa chochote❣️❣️..

Brianna πŸ˜ͺ,, for the second time she fooled me πŸ™†.. shida ya huyu mtu ni nini lakn?? Nipo kitandani naked😭. Baada ya kuniagiza nifanye hivo, yeye aliishia kwenda kwa sitting roomπŸ™†..

Niliskia akiwaambia et nmetaka kumrape akahepaπŸ˜ͺ.. "uongo wewe wacha zako Brianna" nilishout kutoka kwa room😎.

HER: Back to the game guys,,, so Sir ulisema nipelekee huyo chizzy hii mali yangu akagueπŸ€žπŸ€žπŸ‘πŸ†.. uzuri kupigwa rungu hainanga last seenπŸ€—.

Esau: Whaaat,, who said that?? Okay don't go,, have you forgotten that you are still a student πŸ˜ͺπŸ˜ͺ.. si kulala na yeye, you just pretend as if you are interested in himπŸ˜ͺ..

BRIANNA: Kwan unanihurumia mmπŸ˜‚.. tutapewa mwili mpya huko mbinguni broπŸ’ͺπŸ’ͺ.. we nipe direction πŸ€—.

NJERI: Brianna you always joke about everything πŸ˜ͺ.. Esau is serious please..

BRIANNA: Sir nichungie huyu mtu sana,,, ooh sky umekamπŸ˜‚,,

ME: πŸ˜ͺπŸ˜ͺ

HER: What a good boy,, you are always hornyπŸ˜‚..

ME: Leave me alone πŸ˜ͺ.. so bro, deal imefika wap? She should be out there by nowπŸ™πŸ™..

HIM: Are you sure Brianna is still joking πŸ€”.. sleeping with that old man is too risky,, her education might be ruined πŸ˜ͺπŸ˜ͺ.. ama tuwache tuπŸ€”.

ME: What about my future Sir 😭.. you said that they are planning to sell this house without my knowledge 😭.. where will I go??

BRIANNA: I was just joking,, nipeeni direction πŸ™.. I can't wait to taste everything I'll be cooking in the kitchenπŸ€—πŸ€—..

NJERI: Which kitchenπŸ€”.

BRIANNA: Si nikiwa house helper ni mm nitakuwa napikaπŸ€—.. naonja kila kitu😍..

Esau: WaaahπŸ™†πŸ™†.. Brianna Brianna πŸ˜‚. But please usisahau mission yako,, make sure before mfungue shule uwe umechukua kila kituπŸ™πŸ™..

(Kidogo simu yake ikaitana)
HIM: Oh sorry guys,, it's my bossπŸ™.. Hello Sir?? Okay am trying my best Sir, trust me πŸ™πŸ™. Bye bye sirπŸ™... (After hanging up the call)

BRIANNA: Sir can I ask you a question??

Esau: sureπŸ™.

HER: This is the first time to see you talking on phone πŸ™ˆπŸ™ˆ.. don't you have niniπŸ™ˆ..... Okay how old are you sir?

NJERI: 😱😱 Brianna yawa,,,,,he's police officer.

HER: Njeri can you do me a favor please 😍😍.

NJERI: sure I can,, what kind of favor do you want??

BRIANNA: Just help me to shut your mouth for only 5minsπŸ˜ͺπŸ˜ͺ..

MKUU: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, what kind of favor is thatπŸ˜‚..

NJERI: 😭😭😭😭.

"Anyway am 26, why did you ask?" Esau answered.

BRIANNA: nothing sir,, ni venye sijakuona ukiongea na mtu yeyote kwa simuπŸ™ˆ.. unajuwa wanasemanga et in every successful man there is a woman behind himπŸ€—πŸ€—..

ME: 😱😱😱. Brianna?

Esau: πŸ™†πŸ™†my dear shika hiiπŸ™. Enda alfu ukipata documents urudi nikwambie kila kitu sawaπŸ€—..

HER: Ndafurahi sana,,, Sky take care please,, ujinga sitakiπŸ˜ͺπŸ˜ͺ..

Alipewa recorder ndo wakiongea na sisi pia tuskieπŸ™.. baada ya kuenda Esau alisimama kisha akapumua kwa nguvuπŸ˜‚πŸ˜‚.."kwan huyu Brianna ni nani?" He asked πŸ˜‚

"Ni mtoto wa mama,, anaturn 18 years next month πŸ€—.. after there, ataanza kuwakunywa legally sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺ,, pia ako na sistake" Brianna alieleza

Esau: NgΓ i kwan wewe hujaendaπŸ™†πŸ™†..

BRIANNA: πŸ˜‚πŸ˜‚mamboni wasee😎😎

NJERI: Brianna wewe endaπŸ˜ͺπŸ˜ͺ..

Kwetu na kwa babangu mdogo haikuwa mbali,,, it was only 50bob ukipanda gariπŸ™πŸ™.. Brianna alivaa nguo chafu, akajipaka vumbi ili aonekane maskini anayetafuta kaziπŸ™πŸ™.. after like 1hr ivi, tulianza kuskia akikonga mlangoπŸ™†..

VOICE: Hey baba Quinter,, come and look at this young girl😭.. she must be so hungryπŸ™†..

Baba mdogo: Hiyo hainihusu,, mwangalie vizuri anaweza kuwa mwiziπŸ˜ͺπŸ˜ͺ.. siku hizi tunajuwa venye huwa wanakuja kutuibiaπŸ˜ͺ..

Mkewe: When will you think about postive things for once baba Quinter πŸ˜ͺπŸ˜ͺ.. my daughter,, how can I help you ❣️..

BRIANNA: Njaa,,, njaaa,,, nakufa, na....ku....f.......

Mama Quinter: hey amka 😱😱.. eh mungu wangu huyu amekuja kukufia kwangu😭😭... Baba Quinter tumpeleke hossy ak,, huyu ni kama tu mtoto wetuπŸ™πŸ™..

Baba mdogo: Nilikukataza kunililia ju ya vitu hazinisaidiiπŸ˜ͺπŸ˜ͺ.. nataka chakula mm nina njaa😱.

Mama Quinter: Amka twende kwa nyumba dear,,, kuna chai ukunywe❣️❣️.. usimsikize huyu shetaniπŸ˜ͺπŸ˜ͺ. Come come dearπŸ™

Baba: Unaniita mm shetani😱.. kwa hiyo ulioleka kwa shetaniπŸ˜‚πŸ˜‚.. oh my goodness,, ebu niletee chakula,, leo niko na wageni ambao tuna biashara ya kuongea naoπŸ™.. don't insult me before themπŸ™

BRIANNA: asante sana kwa chai Aunt πŸ™.. mm napenda sana kufanya kazi,, wacha nikusaidie kuosha viomboπŸ™πŸ™.

Mama: ❣️❣️ooh umechoka sana, utanisadia siku ingne dear,,,, nenda ukaoge kwanzaπŸ™πŸ™.

After Briana kuingia kwa bafuπŸ™πŸ™." Waaah guys huyu mbaba atanipenda kweliπŸ™†πŸ™†,,, itabidi nitumie njia ingne wasee"

Esau: Please jaribu tu venye utawezaβ£οΈπŸ™πŸ™.. Don't talk too much, watakupataπŸ™

BRIANNA: Okay sir,, hope Sky is not eating something or someone πŸ˜ͺπŸ˜ͺ..

MKUU: noo he's eating even now,😘😘. Don't worry πŸ™

BRIANNA: Namaanisha kumkula Njeri πŸ˜ͺ..

Esau akafaintπŸ˜‚πŸ˜‚..

ME: Don't worry dear,, please make sure unarud salama😘😘.. siwezi fanya kitu mbayaπŸ™πŸ™.

NJERI: Be careful Brianna,, huyo mwanaume venye anaongea hakai mtu mzuriπŸ™†πŸ™†.

Mkuu akaamkaπŸ˜‚..

That day usku tulianza kuskia Brianna akiongea na boy mwengine,, actually alikuwa anakatiwa na boy alikuwa anafanya huko job(shamba boy)πŸ˜ͺπŸ˜ͺ..

BRIANNA: So brayo ulisema uko tu sure unanipenda 😘😘..

BRAYO: sana dear,, ulisema unaitwa aje??

BRIANNA: naitwa NatashaπŸ˜‚πŸ˜‚.. but wasee huniita ippy❣️❣️.

BRAYO: ippy?? Wanamaanisha nini??

BRIANNA: Yan ipilisi😘😘.. napenda sana damu ya watu,, nakatanga sehemu nyeti, alafu piaaa πŸ€”πŸ€” nini ingneeπŸ€”.....

Tukaskia mtu ameanguka chiniπŸ˜‚..

Njeri: Huyu Brianna akujiwe tu na mungu sasaπŸ˜‚πŸ˜‚... Aaih,,,, This is too much nowπŸ˜‚.

Esau alikuwa amepiga magoti ju ya kuchekaπŸ˜‚

BRIANNA: Mbna mnacheka ivoπŸ˜‚.. si mtu amenipenda,, so namjaribu nione kama anataka kunikula tu ana ako serious πŸ’ͺ.

ME: Hiyo imekuwa kumjaribuπŸ˜‚πŸ˜‚..

BRIANNA: See you guys mzae anakam(she whispered)

Babangu mdogo: Hey what's your name😱.

Brianna: naitwa Martha UncleπŸ™.

Baba: Nice name,, haya mazingira unayaona aje,,,

BRIANNA: Ni mazuri ,, nimeyapenda sana uncle πŸ™.

HIM: Prepare something for me to eat Martha 😘. Wow turn around?? Oh my goodness 😍 what an Engel ❣️. How old are you??

Esau: say 22πŸ™.

Brianna: 32 uncle

Esau: 😱😱😱,, ngài 😭

NJERI: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚huyu mtu ile vita atawekelewaπŸ˜‚..

Esau: don't laugh dear,, this is serious πŸ™†πŸ™†

"32? Who are you, unataka kunichezea akili yangu wewe mtoto umetumwa na nani??" baba alisema😱

ME: kwisha😭😭😭.. Brianna?? Brianna???

Esau: Guys we have to go there😱. Oh my God πŸ™†..

BRIANNA: you have to go whereπŸ˜‚πŸ˜‚.. relax wasee, my name is Brianna πŸ’ͺπŸ’ͺ.. ameenda kwa hiyo room kuchukua pistolπŸ˜‚. Huyu mzee hajawahi kutana na shetani uso kwa uso😱😱.

Baba: Now tell me😭😭. Who sent you here,, sahi hakuna mtu, nakuua then nakuzika sahi sahi😭😭.

Esau: πŸ™†πŸ™† Brianna you are joking too much please,, be careful, pistol is so dangerous dear 😭 be careful πŸ™πŸ™

BRIANNA: You can't kill what is already dead .. hahahaaaaaa.. my mother lucifaaaaaa,, Lucifer. Uhuhuhuu,,, ulisema damu kiasi gani

Njeri akafaintπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..

Baba: Lucifer 😱. Uuuuuuuuuih nakufaaaaa,, please don't kill me,, you can kill my wife kama unataka damu😭😭😭..

Brianna: Aaahahahaaaaa,, sooonga hapaaaaa,, leta hiyo pistol. Ahaaaahahaaa,, Lucifer my Lord,, my godess mother,, damu nmepataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Esau: akafaint tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..

Baba: shika shika shika😭😭😭😱.. mbna unataka kuniua sasa😭😭. Sijafanya kitu mbaya😱😱.

BRIANNA: Damuuuuu,,, daaaaamuuuu,,,, lala chini na ufunike macho,, Lucifer mwenyewe amefikaaaaa,,, aahahahahahaaaa,,, usiniangalieee,, usiniangalieee nakwambiaaaa...

After 15mins ivi,,

BRIANNA: Guys nmechukuwa kila kitu mpaka sindano ya kushona nguoπŸ˜‚πŸ˜‚. Nikujieni hapa kwa barabaraπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ˜‚..

Tulitoka mbio πŸƒπŸƒ πŸƒβ€β™€οΈ,, Esau hadi hana nguvu ya kukimbiaπŸ˜‚..

Tulimpata akiwa na kila kituπŸ™πŸ™..

BRIANNA: MamboniπŸ˜‚. Uko aje Sir πŸ˜‚.

Esau: ......

To be continued.... Part 39 coming.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

πŸ’•πŸ˜πŸ’–DRAMA OF LOVEπŸ’–πŸ˜. part 38  >>> https://gonga94.com/semajambo/drama-of-love-part-38
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest