Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
02 Oct 2025
27 views
VYOTE NDANI GONGA94
Fernando Sucre aliingia Gerezani kwa sababu ya Mwanamke akavumilia mateso lakini pale tu kifungo chake kilipokaribia kuisha akapata mchongo wa
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Muhuni anaitwa Fernando Sucre aliingia Gerezani kwa sababu ya Mwanamke akavumilia mateso lakini pale tu kifungo chake kilipokaribia kuisha akapata mchongo wa kutoroka ndani ya Gereza na kweli akasepa kwa sababu ya huyo Mwanamke.
Walipotoka nje wenzake wote wakiwa katika mchongo wa kuzitafuta dola million 5 lakini yeye hakuwa na mpango nazo lengo lake kubwa ni kumfuata yule Mwanamke aliyefanya atoroke jela kwenda Mexico kuzuia asiolewe na rafiki yake.
Sucre aliacha utajiri sababu ya kuusikiliza Moyo wake ulipopenda.
Sucre amefundisha mengi humu ndani ya Prison Break kuhusu upendo wa Mwanaume.
Zaidi ni kuwa Mwanaume anaweza kufanya chochote akipenda na ukipendwa na Moyo wa Mwanaume umependwa na Dunia nzima.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.๐
Kila mwanamke ana mzunguko wake lakini hii ndiyo mizunguko ambayo kila mwanamke lazima awe na mzunguko mmoja kati ya hi...
Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangaz...
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *1-5* Kuna wakati kwenye maisha hatuwezi kabisa kuamua hatma zetu, nadhan ni kwa sababu huwa hatujui maisha yetu yamebebwa na nini... Umaskin, shida na tabu za maisha huwa ni funzo kubwa sana kwetu, na kwa baadhi yet
ndio njia ya kutuongezea juhudi katika upambanaji wetu... Naitwa alice ndio jina ambalo nimepewa na wazaz wangu, nimeza...
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8 Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia
boss wangu sijui alifunguaje mlango labda pengine alikuwa na card ya malangoni maan asubuhi yeyee ndio alieyetoka nilik...
Fernando Sucre aliingia Gerezani kwa sababu ya Mwanamke akavumilia mateso lakini pale tu kifungo chake kilipokaribia kuisha akapata mchongo wa
Muhuni anaitwa Fernando Sucre aliingia Gerezani kwa sababu ya Mwanamke akavumilia mateso lakini pale tu kifungo chake kilipokaribia kuisha akapata mchongo wa kutoroka ndani ya Gereza na kweli akasepa kwa sababu ya huyo Mwanamke.
Walipotoka nje wenzake wote wakiwa katika mchongo wa kuzitafuta dola million 5 lakini yeye hakuwa na mpango nazo lengo lake kubwa ni kumfuata yule Mwanamke aliyefanya atoroke jela kwenda Mexico kuzuia asiolewe na rafiki yake.
Sucre aliacha utajiri sababu ya kuusikiliza Moyo wake ulipopenda.
Sucre amefundisha mengi humu ndani ya Prison Break kuhusu upendo wa Mwanaume.
Zaidi ni kuwa Mwanaume anaweza kufanya chochote akipenda na ukipendwa na Moyo wa...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/fernando-sucre-aliingia-gerezani-kwa-sababu-ya-mwanamke-akavumilia-mateso-lakini-pale-tu-kifungo-cha
Maoni