Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8  Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia
Gonga94 · Stories

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8 Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
boss wangu sijui alifunguaje mlango labda pengine alikuwa na card ya malangoni maan asubuhi yeyee ndio alieyetoka nilikuwa natizama TV ya pale hotelini ila kiukweli nilikuwa natizama katuni maan nazipendaa sana mhh napenda ni my favourite things na siwezi kuacha kabisa yaani kuanagalia katuni ni zipo kwenye damu yangu

"Hujakula kwanini au ndio unajifanya hutaki kula si ndioo mtoto ambae ushakuwa mdada" nilimtizama alikuwa anaongea kana kwamba hajui kitu alichonisababishiaa yaani nilimtizama nikacheka tu kinafki "samahani siwezi kula na sijiskii" niliongeaa kwa kukaza sauti yaani kama vile nimechanganyikiwa yaani sijawahi kuongea hivi nilijikuta tu sauti yangu imebadilika yaani ghafla tu "wow umekuwa hadi na sauti ya serious sasa hujakula toka subuhi unataka kujiuaa auu mbona sikuelewi Angel malaika wa baba yako" nilimtizama "nimesema sili cone na sitki kula fanya unachotaka alinitizama hakunisogeleaa bali alinyanyuka na kuondokaa nilizidi kuchukiaa nilitamani anibembelezebembelezee tuu lakini haikuwa hivyoo kabisaa yaani nilimtizama jicho baya wakati anaondoka

Alirudi na chakula na kuja karibu yangu "okay nataka ule kwanza ushibe update nguvu ya kunisemea kwa baba yako sawa?" Nilimtizama nikasogeza mkono wake ambao ulikuwa umeshika chakula anataka anilishe nilikuwa sina appetite na hicho chakula taani nilikuwa nakiona kama sumu machoni mwangu "sitaki nimesemaa.." nilivyofunguaa tu mdomo akaniwekea mdomoni kwangu "yes binti yangu amekulaa nimefurahi bravo alinishika mashavu yangu nilikuwa sitaki kutabasamu ila tabasamu lilikuja ghafla usoni mwangu nikatabasamu huku machozi yakitoka tu usoni mwangu "binti yangu haliagi ni mjasiri ana uthubutu wa kila kitu najua hata hili anaweza kulishinda kumshinda boss wake mjinga ni kitu kidogo sana kwakweli si ett madam?" Nilimtizama huku machozi yananitoka kila nikikumbuka mimi nimenanililiwa bila hata kutongozwa jamani hata swaga hamna yaani ila ni kama niliutaka mwenyew jamani maan nilienda mimi peke yangu au niache ujinga ni yeye mwenyew alishindwa kujizuiaa bhana mimi nilienda na uoga wangu wa kuogopa yule mtu, alinifuta machozi akaendeleea kunilisha huku ananambia maneno mazuri mazuri nilifurahi kweli nilijikuta kuna muda nasahau alichonifanyiaa

Alimaliza akanibeba hadi bafuni akaniweka akanisuguaa vizurii kweli ila aliniogesha maji ya moto ujuee nilijiona tena mtoto japo nilikuwa nina aibu ila nilikuw siwezi kutembeea mwenyew kwakweli aliniogesha nakuniweka kitandani nilale, aliniuliza kama nipo confidential kulalaa nae nilimwmabia hapana basi alinipisha nilale mwenyew kwakweli nilibaki mwenyew ila kichwani nilikuwa nina maswali mengi sana, na ninahofu kwa huyu mwanaume kuwa ni sahihi au laa alininaliu kwa tamaa za kimwili au ananipenda au kuna mengine hapa, bado muda huo namuwaza baba yangu

Itaendelea....
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 8 Ilikuwa ni kama majira ya saa 12 hivi jioni nilikiwa sijakula wala sijanywa chochote kile na nilikuwa sijihisi hivyoo yaani aliingia

boss wangu sijui alifunguaje mlango labda pengine alikuwa na card ya malangoni maan asubuhi yeyee ndio alieyetoka nilikuwa natizama TV ya pale hotelini ila kiukweli nilikuwa natizama katuni maan nazipendaa sana mhh napenda ni my favourite things na siwezi kuacha kabisa yaani kuanagalia katuni ni zipo kwenye damu yangu

"Hujakula kwanini au ndio unajifanya hutaki kula si ndioo mtoto ambae ushakuwa mdada" nilimtizama alikuwa anaongea kana kwamba hajui kitu alichonisababishiaa yaani nilimtizama nikacheka tu kinafki "samahani siwezi kula na sijiskii" niliongeaa kwa kukaza sauti yaani kama vile nimechanganyikiwa yaani sijawahi kuongea hivi nilijikuta tu sauti yangu imebadilika yaani ghafla tu...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nitakusemea-kwa-baba-unaniumiza-chapter-8-ilikuwa-ni-kama-majira-ya-saa-12-hivi-jioni-nilikiwa-sijak

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nitakusemea-kwa-baba-unaniumiza-chapter
 *NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   *Chapter 14&15*  "Mbona unanitizama kama hivyoo nimekukoseaa sana madam?, kuna kitu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *Chapter 14&15* "Mbona unanitizama kama hivyoo nimekukoseaa sana madam?, kuna kitu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12  "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12 "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17  Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17 Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*    Chapter 18  Aliendeleea kunipa juice jamani aliweza huyu mkaka kwa juice
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18 Aliendeleea kunipa juice jamani aliweza huyu mkaka kwa juice
 *NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 18&20  Nilikata simu ile nakata tu sijakaa hata dakika tano
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18&20 Nilikata simu ile nakata tu sijakaa hata dakika tano
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 13  Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*    Chapter 9  Nililala kichwa kikiwa kinawaka moto
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 9 Nililala kichwa kikiwa kinawaka moto
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 10  "Nijibu tafadhari jibu lako ndio amani ya moyo wangu tafadharii malaika wangu"
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 10 "Nijibu tafadhari jibu lako ndio amani ya moyo wangu tafadharii malaika wangu"
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 7  Nilikuwa nina maumivu makali sana nilikuwa naumiaa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 7 Nilikuwa nina maumivu makali sana nilikuwa naumiaa
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*  Chapter 13  Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 13  Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha moyoni mwangu
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 13 Niliamka nikamsalimia baba yangu kwa furaha tele ma'an nilikua nina furaha moyoni mwangu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

601
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

562
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘

544
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

524
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

382
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

329
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

227
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

103
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

37

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.28K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest