*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17 Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa
Nilitoka hapo nikapelekwa kwa mume wangu maan kesho tuna trip ya kwemda honey moon London safari aligharamiaa mama yangu mkwee hii siku sikutaka kukutana na mume wangu kabisa nilikuwaa najuaa nitaumiaa kama mara ya kwanza na hiyo safari haitooondoka baada ya hili tungeenda kazini ila mme wangu alinipa na mimi kampuni ya kusimamia kabisa ili niwe huru na biashara maana miracles company ina matawi mengi sana hapa jijini tu yapo matatu na kila mkoaa lipo na mawakala wa kutosha nilichogundua mume wangu ni mfanya biashara mkubwa sana hapa nchini na ana kaumarufu fulan hivi maan hadi vyombo vya habari vilikuwa vinamjuaa na kuna interview nyingi za live zilikuwa zinamfuata mume wangu mtoto, mtoto
Upande wa huyuu Suzy hadi kazini alikuwa haendii yaani ila hakuna aliejali ila bado ile sauti yake ya kusema kuwa nitajutia ilikuwa inanirudia kichwani kila mara na kila dakika ilikuwa inanifanya nakosa amani kabisa najiona mkosaji sana kwenye haya maisha na hii duniaa kwa ujumla yaani ila mume wangu alikuwa bega kwa bega na mimi kuhakikisha hakuna baaya linatokea na kunipa usalama wangu kabisa
Safari yetu ya kwenda London iliwadia tulipanda ndege mpaka kwenye hotel kubwa sana ya hadhi ya nyota tano hukuu tupanga tukae wiki nzima yaani ndio turudi kule Tanzaniaa sasa, huku kuna baridi kali na kwasababu ni mke na mume tulichukua room moja tu, nilimsalimia baba nae akataka kuongea na mume wangu tuliongeaa tukamaliza muda kidogo alipiga mama mkwe huyu niliongea nae sana alikuwa tayari ashakuwa rafiki yangu mawazo yangu ya kipuuzi sasa nikawa nawaza kabisa eety baba yangu kama inawezekana amuoe mama yake na boss ila mimi sijui ni utoto au kujiendekezaa sielewi hapo mimi duuh, hili bichwa likapimwe tuu
Baada ya hapo tukaanza kutizamana na mume wangu sasa kama vile mapanzi tulivyokuwa tunashangaa sana mhh huyu mkaka na yeye jamani hapana anavyonishangaa mimi naona aibuu "wee nae mbona unanitizama sana huoni aibu mini naogopa bhana kutizamwa na wew ujue" nilimwambiaa mume wangu "sasa mke wangu mimi nakutaka ujee nimekumiss afu unaanza kujishangaa unanibaniaa" alinianbia mume wangu "hee sasa wee unajua kabisa inauma afuu unanibemebeleza nini sitaki bhana inauma mimi naogopa ikifikia hapo mimi najuta hata kuolewa saaa ujuee" nilimwambia kw amadeko huku nipo pembeni yake "basi leo sikuumizi sawa mke wangu?" Mhh nilikua tu ananipanga nilikataa kaata akasema basi tuu ananikiss nilikubali just a kiss akaanza kunikiss sasaa jamani huyu mkaka na zake nyiee acheni
Itaendelea.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni