Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
29 Sep 2025
17 views
VYOTE NDANI GONGA94
π° FIFA Yawaza Mageuzi Makubwa Katika Sheria ya Penalti Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) lipo katika hatua
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
za kuchunguza uwezekano wa kufanya marekebisho makubwa kwenye kanuni za upigaji penalti, hususan kuhusu mabao yanayotokana na mipira inayotemwa na kipa.
Kwa mujibu wa mapendekezo hayo, mshambuliaji atapewa nafasi moja tu ya kupiga. Ikiwa kipa ataokoa au mchezaji atakosa, mchezo utaendelea mara moja kupitia mpira wa kuanzisha kutoka kwa kipa, ama kwa kutupa au kupiga.
Mabadiliko haya yanatajwa kuwa na lengo la kupunguza changamoto za waamuzi katika kutoa maamuzi, huku pia yakilenga kuongeza ujasiri na nafasi ya walinda mlango.
Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya FIFA, Pierluigi Collina, ndiye kinara wa wazo hilo. Anasisitiza kuwa utekelezaji wake unaweza kupunguza utata unaojitokeza mara nyingi wakati wa penalti. Hata hivyo, bado kuna mjadala kuhusu nini kitakachokuwa sahihi iwapo mpira utagonga mwamba bila kipa kugusa.
Iwapo mapendekezo haya yataidhinishwa, sheria mpya itaanza rasmi kutumika kuanzia msimu wa 2026/27, na hivyo kufanya Kombe la Dunia la mwaka 2026 kuwa mashindano ya mwisho kuchezwa kwa mfumo wa sasa wa penalti.
β½οΈ Unadhani pendekezo hili litaongeza usawa kati ya washambuliaji na makipa, au litapunguza ladha ya mikwaju ya penalti?
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuand...
FATE TO LOVE YOU π1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu lililofanya uso wake ingawa kama nuru.
Lina alikuwa anaishi na shangazi yake mjini tangia alipokuwa maliza elimu yake ya msingi. Kwakuwa alikuwa yatima shanga...
π° FIFA Yawaza Mageuzi Makubwa Katika Sheria ya Penalti Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) lipo katika hatua
za kuchunguza uwezekano wa kufanya marekebisho makubwa kwenye kanuni za upigaji penalti, hususan kuhusu mabao yanayotokana na mipira inayotemwa na kipa.
Kwa mujibu wa mapendekezo hayo, mshambuliaji atapewa nafasi moja tu ya kupiga. Ikiwa kipa ataokoa au mchezaji atakosa, mchezo utaendelea mara moja kupitia mpira wa kuanzisha kutoka kwa kipa, ama kwa kutupa au kupiga.
Mabadiliko haya yanatajwa kuwa na lengo la kupunguza changamoto za waamuzi katika kutoa maamuzi, huku pia yakilenga kuongeza ujasiri na nafasi ya walinda mlango.
Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya FIFA, Pierluigi Collina, ndiye kinara wa wazo hilo. Anasisitiza kuwa utekelezaji wake unaweza kupunguza utata unaojitokeza mara...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/fifa-yawaza-mageuzi-makubwa-katika-sheria-ya-penalti-shirikisho-la-soka-duniani-fifa-lipo-katika-hat
Maoni