Kusamehe haraka hivo kwangu ni Big noo mpaka nihakikishe umeteseka na umejifunza ndo nitakusamehe..
Hizo za umekosea jana leo nakusamehe huo ujinga sifanyi😒😒😒hizo misamaha ya hara haraka utasamehewa na mamako siyo mimi..
Hayo niliyawaza kimoyomoyo na muda huo Rouhy alikuwa ananibembeleza nimsamehe lakini haikuwezekana...
Nilimwambia aendelee kula ujana siku akitosheka mengine yataendelea...
Yani nikusamehe kirahisi kesho ukachiti tena😒😒huu msamaha utauhangaikia miaka na miaka mshenzi wewe😒
Rouhy alivoona msamaha imeshindikana alinirudishia simu ila akaniomba nisimwambie yeyote kuhusu kilichotokea..
Nilimkwapua tu simu nikamuacha aongee na hewa huko chumbani😒 alikaa huko chumbani akawaza weee baada ya hapo akaenda Jikon akakuta chakula alichonipikia asubuhi kiko vilevile😂😂
Alichoka😝😝😝alikuja kuuliza kwanini sijala nikamwambia nilifikilia lbda umempikia lolo😝😝Rouhy aliumiaaaa...
Akaniambia siyo vizuri hivo unavonifanyia Maya I already said sorry please forgive sweetheart 🥹
Sijawahi hata kumfanya tangu nikuoe she is my ex girlfriend believe what I told you honey I love youuuuuu Maya 🧎🏻😰
Sema kubembelezwa na mtu unayempenda ni kutamu nyieeee😝😝kuna time unatamani unune tu bila sababu ili akubembeleze🙈
The way Rouhy alikuwa ananipigia magoti na kuniomba nimsamehe vile alikuwa akiniambia Maya I love you na ile sauti kama analia nilikuwa najisikia huruma sana juu yake🙈
Sikuonesha kama namhurumia😏😏bado niliendelea kukaza😝😝😝hakula hiyo siku mtoto wa mama mkwe🤣🤣🤣hata kazini hakurudi aliwadanganya anaumwa tumbo anaharisha🤣
Licha ya hayo yote bado nampenda tena sana🙈🙈 yani nampenda mpaka sielewi...
Hope ataacha ujinga maana akirudia kosa kama hili sitojali kitu chochote nitamuacha😞😞..
Rouhy alipoona bado nina hasira ilibidi tu akae kimya😓😓nilimuacha pale sebleni nikaenda chumbani
Nilizikuta zile zawadi alizoniletea nikasema ngoja nizifungue niangalie🙈🙈zawadi ilokuwemo kwenye box ilikuwa cake hahahaaaaa nilishangaa
Cake ilikuwa imeandikwa Dear wife I'm sorry...
niliiweka pembeni nikafungua la pili nikakuta kuna pesa na maua yameandikwa Maya i love you💃🏼💃🏼💃🏼
Pesa zote hizi ni za kwangu??. Nilijiuliza😂😂yani ni mipesa jamani nyekundu nyekundu nyingi vibunda vya kutosha😂
ndo maana wanawake wa matajiri wanachitiwa bado wapo tu kumbe mambo yenyewe ndo haya😂
Zawadi ilonishtua zaidi ni funguo zilizokuwemo kwenye kibox fulani hivi kidogo dogo ni funguo kama za gari vile🤔🤔
Nilitamani nikamuulize hizi funguo ni za nini badae nikakumbuka nimemnunia😂😂😂😂ilibidi nizirudishe kwenye kibox niendelee ku unbox zawadi nyieeeeee💃🏼💃🏼💃🏼
MaPerfume manguo machokuleti zawadi zilikuwa nyingi afu zile ninazozipenda🥰🥰🥰
Nilimaliza kuzikagua nikazitunza kabatini nikasema ngoja nijilaze zangu nipumzike🥰🥰
Nilijiegesha kitandani nikalala nilikuja shtuka saa 12 jioni nikaamka kucheki kwenye simu kuna missed call kibao😳😳😳
Afu namba ni ngeni mmhhh nikampigia huyo mtu nijue ni nani ana shida gani????
Simu ilipokelewa sauti ni ya mkaka nyooo niliogopa nikakata simu😂😂😂 shindwa pepo mi ni mke wa mtu😂😂😂
Nimemaliza kukata huyo mtu akapiga tena nikaogopa kupokea akuu😂 simu iliita sana tu lakini sikupokea...
Huyo mkaka alijiongeza akatuma msg hello madame sorry mimi ni mtu wa Derivery kuna mzigo wako nimepewa nikuletee toka upokee tuko nje ya nyumba yako hapa😳😳
Mzigo😳😳😳 mzigo gani??? Nani kawapa🙄
Itaendeleaaaaaaaaa
WhatsApp 0742133100.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war