Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

KISURA WA DAMPO (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)  SEHEMU 3
Gonga94 · Stories

KISURA WA DAMPO (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) SEHEMU 3

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SIMULIZI : KISURA WA DAMPO
(nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)

SEHEMU 3

Sasa ile nimetoka tu nje ya ule mlango, na hapo ilikuwa ni tayar asubuh, nikakutana na Yule dada ambae alikuja na mama yake Yule kijana, ambae hata sikuw namjua jina lake kisha akaniambia “ najua una maisha magumu na umekuja hapa kuchukua pesa za mwanaume wangu, yaan wanawake wengine hata akili ya kujiongeza hawana, unavyoona kuwa huyu mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mchafu na unaenuka dhiki kama wewe, mackmill ni wangu na daima atakuwa wangu kwenye maisha yangu yote, akasema kwa kijitapa…

Kiukweli sikutaka hata kubishana nae, nikaanza kuondoka zangu kimya kimya, ila alipoona nampuuza sijui ndio hasira zake zikampanda, akaanza kunitukana na kusema “ hizo pesa ambazo amekupa mac usifikirie kama zitakutoa kwenye umaskin wako…

Hata kama nilikuwa nina dhiki na shida kiasi gani, ila sikuwa nataka kabisa kudhalilishwa, aisee niliitu[pa ile kard ambayo yuule kijana ambae baadae nilikuja kujua anaitwa mackmill alinipa kisha nikaanza kuondoka huku machozi yakiwa yananitoka….

Nilienda mpaka nilipomuacha mama yangu, nikakuta watu wamemzunguka pale, nikasogea mpaka alipo, nikashangaa anatoa wadudu, aisee nilishangaa, hata kama nilikuwa sijasoma ila isingewezekana kwa masaa kadhaa tu ambayo nimeondoka ndio mama yangu aoze na atoe wadudu kama alivyokuwa wakati ule…

Kuna watu wakaanza kuhusisha tukio la mama yangu na imani za kishirikina, wengine wakawa wanasema ni kichaa huenda alikuwa na maradhi yake, yaan kila mtu akawa anasema jambo lake, kiukweli sikuwa na la klufanya zaidi ya kulia tu, yaan nimetoka kuliwa huko nikijua mama yangu nitamkuta salama, na badala yake nimemkuta kafa tena kaoza vibaya mno…

Nililia sana, mwisho watu wa manispaa wakaja na kumchukua kisha wakaenda kumzika kimanispaa maana hatukuwa na ndugu, jamaa wala rafiki kwa kipindi chote kile ambacho nilikuwa naishi na mama yangu pale jalalani…

Basi sikuona haja ya kuendelea kukaa pale pale mtaani, nikaona nihame kambi, nikaja kusikia kuna watoto wa mtaani ambao wanajifichaga kwenye lorry, nikataka na mimi wanifundishe, haikuwa kazi rahisi, ila niliingia kwenye moja ya mzigo , yaan niliingia kwe ye salfet kisha wakaja kunijazia majani kwa juu, na huyo ambae alikuwa anasafirisha alikuwa anasafirisha mchele, hivyo nikawa nimekaa na kama gunia la mchele kisha nikatoka mkoani mpanda mpaka jijini arusha…

Nilipohakikisha nimefika nikatafuta namna ya kutoka kisha nikaondoka zangu, na kwakuwa sikuwa na pa kuishi nikaishia kuwa naishi jalalani maana ndio maisha ambayo nilikuwa nimeyazoea, nilikuwa mrembo sana, na machokoraa wa eneo hilo wale wa kiume wengi ambao walikuwa wanalala pale samunge wakawa wananipenda maana ni kweli nilikuwa na sura nzuri na umbo flani hivi maridhawa, wakawa wanataka kunibaka mara kadhaa ila nikawa napambana nao…

Siku moja tumelala zetu kwenye yale maboksi pale pale samungee saa ngapi sungu sungu wasije kutudaka na kutupeleka ndani wakidai kuwa sisi ni wezi, yaan nilijisikia vibaya, maana kwenye maisha yangu yote nilikuwa nakula maembe yale yaliotupwa na makatiti, yaan sijawah kula chakula kinachoeleweka hata mara moja, na hapo sikuwah kuona siku zangu kwa miezi kama mitatu, na kwakuwa sikuwa na elimu sikujua kama nina mimba au ni hali ya kawaida tu …
NAKUJA….Je nini KITAENDELEAAA!! "
ofaaa simulizi hi ipo mpk mwisho ni

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

KISURA WA DAMPO (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) SEHEMU 3

SIMULIZI : KISURA WA DAMPO
(nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)

SEHEMU 3

Sasa ile nimetoka tu nje ya ule mlango, na hapo ilikuwa ni tayar asubuh, nikakutana na Yule dada ambae alikuja na mama yake Yule kijana, ambae hata sikuw namjua jina lake kisha akaniambia “ najua una maisha magumu na umekuja hapa kuchukua pesa za mwanaume wangu, yaan wanawake wengine hata akili ya kujiongeza hawana, unavyoona kuwa huyu mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mchafu na unaenuka dhiki kama wewe, mackmill ni wangu na daima atakuwa wangu kwenye maisha yangu yote, akasema kwa kijitapa…

Kiukweli sikutaka hata kubishana nae, nikaanza kuondoka zangu kimya...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kisura-wa-dampo-nilizaliwa-na-kichaa-nikazaa-na-ceo-sehemu-3

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kisura-wa-dampo-nilizaliwa-na-kichaa-nikazaa-na-ceo-sehemu
KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)  Sehemu ya 4
KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya 4
KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya  8 na 9
KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya 8 na 9
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

1.03K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

1.02K
*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

953
*AFANDE MILLAN😎* *57&58

*AFANDE MILLAN😎* *57&58

783
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55

SHAMIRA Sehemu ya 54&55

194
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 7 kwa 8

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 7 kwa 8

146
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10

122
SHAMIRA Sehemu ya58&59

SHAMIRA Sehemu ya58&59

117
SHAMIRA Sehemu ya 56&57

SHAMIRA Sehemu ya 56&57

112
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.74K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.83K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.93K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.71K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.71K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.59K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA Sehemu ya58&59 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya58&59
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikanunua chakura kwanza ndani.kisha kesho yake niliamkia hopitali sasa. Nilishauliwa kwanza nimkatie bima kubwa mtoto ya laki 7. Nilikakata iyo bima .kisha sasa...

SHAMIRA Sehemu ya 56&57 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; 0742443214 Nikapanda kitandanni nikamlaza mwananagu kisha namie nikavuta shuka nikawa nipo busy namnyonyesha.tu. aisha akawa akanasema kwaiyo unaninyanyasa kwa sababu umenipa msingi ama.asee nilisema we kumamako...

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 9 na 10
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 9. Nilisaidiana na iren kutenga, walikuja kula chakula Kila mtu alikisifia, isipokuwa king,sikujali alimaliza Kila mtu akaingia kulala,nilijikuta nimemkumbuka mama angu, na Kwa muda huo nisingeweza kumpigia akiwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
@majario LIVE

Ibraa akanmbia kwanzaaa , wewe kaa na mkeo kama siku 3 kwa heshima kabisaa, na kubali tu kuwa ni mkeo na kuwa normal kwake, na uzuri mzigo si unakula basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN😎* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mrembo😋,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu 🔥) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest