Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+
Gonga94 · Stories

MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ??
Umri………………..18+

ANZA NAYO......
Kwa jina Naitwa Dora, Ikiwa ni siku yangu ya kwanza kutumikia kifungo gerezani cha miaka kadhaa kutokana na kosa nililowahi kulifanya la kumpiga mwanamke mwenzangu mpaka kupelekea kwenda kulazwa na baada ya mda kufariki, kiufupi nilifanya kitu cha kijinga sana hiyo siku, yaani mimi Dora niwakumpiga mtu kisa tu nimepata habari anachepuka na mwanaume wangu!?, aaaah! hapana aise nahisi hiyo siku shetani aliniingia mpaka mimi kufanya tulio lile. Nilifanya tukio la kijinga sana hiyo siku.
Ngoja niendelee kusimulia tu maana sitaki kulikumbuka tukio hilo tena na kama ningekuwa na uwezo basi ningefuta kumbukumbu zote za tukio hilo kwenye kichwa changu.

Basi niliingizwa ndani ya gereza na kwenda kukaa walipokuwa wamekaa wafungwa wenzangu, wengi walionekana kuchokeana na wengine walionesha dalili za kukata tamaa kabisa, Nilikaa karibu na mwanamke ambaye mwonekano wake ulinichanganya, sura ilikuwa ya kiume kabisa licha ya kuwa alikuwa na matiti makubwa na makalio makubwa, ukijumlisha na pala alilokuwa nalo kichwani ndiyo kabisaaaa alikuwa na mwonekano wa kiume.
"Oya wewe demu sogea hapa!" Aliongea huku akinitazama kwa matamanio.
Wafungwa wenzetu wote walikuwa wakiniangalia mimi niliyeongeleshwa.
Baada ya kuniona najishauri aliamua kunivuta kwa nguvu.
"Nakwambia usogee alafu unaleta mashauzi ya kisenge wewe fala nini!"
Dah yaani kuna watu wamepinda kwenye hii dunia nyie acheni tu, jela jela sio nzuri jela ndugu zangu.

Baada ya kunisogeza karibu na alipokuwa amekaa yeye aliniambia.
"Njoo unikalie!"
"Huyu demu leo kazi anayo vidole vinamhusu!" binti mwingine aliyekuwa amekaa pembeni yangu alizungumza.
woga ndiyo ulizidi kabisa na ukizingatia ilikuwa ni siku yangu ya kwanza ndani ya gereza hilo, kiukweli nilishindwa kujiamini kabisa na sura yake ndiyo ilizidi kuniogopesha.

Nilifanya kama alivyoniambia kwa kunyenyuka mahali nilipokuwa nimekaa na kwenda kumkalia.
"Haya ndiyo mambo sasa, Oya mnasikia nyie, huyu ni demu wangu na chombo changu kipya!, nije nisikie nyoko yoyote yule anamsogelea huyu demu, takata miguu yake au sio mpenzi wangu!?" Aliniuliza huku akiniangalia.
"Hahahahahahahaha!" baadhi ya wafungwa wenzetu walianza kunicheka.

Moyoni nilichukia balaa na kabla sijaongea chochote mara mikono yake akaanza kuipisha kwenye mapaja yangu.
Dah! ilikuwa kero kwakweli siku hiyo, sijakaa vizuri ikafika kwenye matiti yangu.
"Ila wewe!" niliongea kwa sauti yangu laini na ndipo wafungwa wenzetu walipozidi kucheka kabisa.
"Hahahaha..mtoto anasauti laini huyo!"
"Monica amejipatia chombo aise!"
"Shemeji huyooo!"
"Ni pisi lakini jamani!"
Ni maneno waliyokuwa wakiyaongea na ndiyo yalizidi kunichanganya zaidi ila tu nilimtambua Monica aliyekuwa akitamba kwa wenzake kuwa mimi ni demu wake mpya.
"Kelele" Sauti ya Afande ndiyo ziliwafanya wakae kimya na mimi nilijikuta nikilopoka mbele ya Afande.
"Afande, Monica ananionea!" nilizungumza kwa sauti na wafungwa wenzetu walicheka kwa sauti ya chini.
"Kakufanyeje kwani!"
"Kaniambia nimkalie!" niliongea na Afande aliniuliza.
"Hicho tu!?"
Ningeanzaje sasa kumwambia kuwa ananishika mapaja na matiti, ilibidi nikauke kwa kukaa kimya.
"Utazoea tu ndiyo jela hii!"
Afande aliongea na kuondoka.

Nyie mdomo wangu uliniponza hiyo siku, sijui ni kwanini nililopoka mbele ya Afande kwani baada ya Afande kuondoka ndipo Monica alipoanza kuongea kama mtu aliyelukwa na akili.
"Wewe malaya leo utajuta, nakutia vidole mpaka ukome nakwambia, mjinga kabisa, ms..nge kabisa..
dah hayo ni maneno baadhi tu aliyotamka Monica.

Mweee! ety likawa kosa jamani! mwenzangu siakaingiza mkono wake makusudi kabisa bira kujali kama wafungwa wenzetu wanatuona kwenye kitumbua changu na kuanza kunisugua kwa nguvu.
Niliona utakuwa ujinga nilisimama na kusogea pembeni na ndipo wafungwa wenzetu walipocheka kwa mara nyingine na kuongea.
"Wife amegoma kutoa leo Monica unaloo!"
"Toto hajazoea dole huyo kazoea mpini!" mwingine naye alizungumza.

Mda huo huo mlango ulifunguliwa na wote walikaa kimya kama vile kwenye gereza hilo hamna watu.
Waliingia maafande wawili wakike na wakiume.
"Naona mmekumbuka kupigwa sindio!?" Afande wa kiume aliongea na wote tulikuwa kimya.
"Nani anayesababisha kelele humu!?" Afande aliuliza na mimi nilimsonta Monica.
"Wewe huwa unajifanya mbabe sana leo utaenda kunieleza huku!" Afande wa kiume alizungumza na kumnyenyua Monica kwa mabavu.

Monica alitolewa ndani ya selo na yule Afande wa kike alinitazama pasipo kuongea kitu na kuondoka.

Baada ya Maafande kutoka wafungwa wenzangu mmoja baada ya mwingine walianza kunilalamikia.
"Kwani ungekubali kupigwa dole ungepungukiwa nini na wewe demu!?" mfungwa aliyekuwa amekaa pembeni yangu aliongea akiniita demu wakati naye alikuwa demu vile vile kama mimi.
"Unaitwa nani kwanza!?"
"Dora!" nilimjibu kwa kifupi.
"Dora kwani ungepigwa dole na Monica ingebanduka!?" aliniuliza lakini niliamua kukaa kimya maana swali lake niliona ni swali la kijinga kwa upande wangu.
"Subiri tu mda ufike!" aliongea kwa mara nyingine na ndipo alipozidi kunichanganya zaidi.

Pembeni yangu alikuwa amekaa binti mwingine aliyekuwa kimya tangu niingie, sikumuona akicheka wala kuongea kama ilivyokuwa kwa wafungwa wengine.
Nilijisogeza karibu zaidi kwake maana ndiyo niliona anafaa kuwa rafiki yangu.
"Naitwa Dora sijui wewe unaitwa nani!?" Nilimuuliza lakini hakutaka kunijibu zaidi ya kuendelea kunilia buyu.
"Mdomo komaaa!" niliongea kwa sauti ya chini na kuamua kukaa kimya.

Dakika kadhaa mbele aliletwa Monica na kuingizwa selo.
Loooh!, macho ya Monica yalikuwa mekundu na kulikuwa na kila dalili kuwa katoka kucheza kipondo alikotoka.
"Uendelee kuwasumbua wenzako mseng.. wewe utajuta nakwambia" Afande wa kiume aliongea na kuondoka.

Monica baada ya kuona Afande kaondoka alinisogelea naku.......ITAENDELEA.

Alinichonifanya Monica sitasahau, tukutane sehemu ya pili

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ??
Umri………………..18+

ANZA NAYO......
Kwa jina Naitwa Dora, Ikiwa ni siku yangu ya kwanza kutumikia kifungo gerezani cha miaka kadhaa kutokana na kosa nililowahi kulifanya la kumpiga mwanamke mwenzangu mpaka kupelekea kwenda kulazwa na baada ya mda kufariki, kiufupi nilifanya kitu cha kijinga sana hiyo siku, yaani mimi Dora niwakumpiga mtu kisa tu nimepata habari anachepuka na mwanaume wangu!?, aaaah! hapana aise nahisi hiyo siku shetani aliniingia mpaka mimi kufanya tulio lile. Nilifanya tukio la kijinga sana hiyo siku.
Ngoja niendelee kusimulia tu maana sitaki kulikumbuka tukio hilo tena na kama ningekuwa na uwezo basi ningefuta kumbukumbu zote za...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ndani-ya-gereza-01-umri-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ndani-ya-gereza
MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (04) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (04) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (06)?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (06)?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (07) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (07) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (08) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (08) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (13) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (13) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (17) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (17) ??
MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (10) ??  Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (10) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+
MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ?? Umri………………..18+
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

920
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

790
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

626
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

458
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

201
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

123
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

97
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

95
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

57
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest