Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
11 Oct 2025
201 views
VYOTE NDANI GONGA94
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 09* Baada ya Kingston kusinzia wazazi walirudi jikoni kuendelea na kazi zao mimi nikaambiwa nimwangalie mgonjwa akishtuka usingizini asije jidhuru
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
..
Nilienda kukaa chumbani kwa Kingston..kama nilivyowaambia akiwa usingizini ndo anazidi kuwa mzuri maana zile akili za kizezeta huwa hazipo..
Nilichukua simu ya Kingston ili nicheki aliyekuwa anaongea naye but sikufanikiwa kufahamu maana simu niliyoikuta pale haikuwa na kitu chochote..
Huenda kweli anaumwa sitakiwi kumhisi tofauti...nilijiambia hivyo huku nikiendelea kumtizama The Boy pale kitandani..
Basi mwenzenu wakati niko kule chumbani sijui ilikuwaje mpaka namimi nikasinzia😓😓
Tena nilivyo mshenzi nikasinzia huku kichwa changu nimekilaza kwenye mapaja ya Kingston😒
Pozi nililolala ni la ajabu sana😢😢yani nilimkumbatia the Boy kama mwanaume wangu...
Sizani kama ni vyema kujilaumu sana nahisi shida ni ule uchovu wa kuamshwa mapema na si kitu kingine chochote..
Nawaza tu wazazi wake wangenikuta nimemkumbatia mtoto wao vile adhabu gani wangenipa hata kazi ningefukuzwa et💔💔
Namshukuru Mungu niliwahi kushtuka mapema kabla hata ya Kingston🙈😂 kwanza baada ya kuamka nilikimbilia chumbani kwangu nikawa nahema kama mwizi aliyeponyoka mikononi mwa wananchi wenye hasira kali😀😀..
Wakati natafakari kilichotokea mara nikamsikia mama ananiita niende nikaoshe vyombo walivyopikia nisafishe na jiko wageni wakute mazingira safi...
Basi nilitoka nikaelekea huko kufanya usafi na muda si mrefu wageni waliokuwa wanasubiliwa waliwasili😩😩😩..
Ni familia moja hivi ya kichaga na kwa haraka haraka walionekana ni matajiri sana wale watu..
Walikuja na magari kama wanaenda kwenye ziara lol...
Shida yangu ilikuwa kumuona huyo Mary nijue kama kanizipo uzuri😀😀wageni walikaribishwa ndani wakapewa vinywaji pale kisha utambulisho ukaanza🤣🤣
Nilikuwa najipitisha kama chizi pale sebleni lengo nijue Mary ni nani.?...
Hahahaaa huyo Mary alipotambulishwa nilibaki kinywa wazi😳😳
Hata haendani na The Boy Kingston 🥵🥵 Mary ni mrefu mweupe peeeeee kwenye rangi kweli mashallah ila sasa umbo mmmhhh😀😀😀
Ana huo mtiti😂😂😂ana hicho kitambi cha mbege hako kamguu sasa uuwww yani haeleweki😂😂
Alikuwa kavaa kigauni fulani na miwani kiatu kirefu na wig la bei lakini hata licha ya kuvaa vitu vyote hivyo vya thamani kubwa bado nilikuwa mzuri kumzidi.
Mimi ni kidogo dogo kitoto cha 2000 alafu body kinanda mashallah🥰🥰sherehe iliendelea wazazi wa Kingston walionekana kuvutiwa sana na Mary..
Wala sijui kitu gani kiliwavutia kwa yule mwanamke lbda elimu na pesa ila kwenye umbo na uzuri nimemzidi mbali mno😒😒..
Mary ndo alikuwa amemaliza masomo yake chuo kikuu na alikuwa anamsubiria tu kuanza kazi hivi karibuni baada ya ndoa yake na Kingston kupita..
Kumbe lishangazi lishaandaliwa kwa ajili ya ndoa walisubili tu limalize masomo yake nilitokea kumchukia sana😒
Muda ulizidi kwenda watu wakala na kunywa ikafika muda sasa wakataka kumuona mgonjwa maana tangu aanze kuumwa familia hiyo ya kina Mary hawakuwahi kumuona ndo walikuja kumuona wajue kama ndoa itapitishwa hivo hivo au mpaka wasubilie mgonjwa apone...
Kila niliposikia neno ndoa nilikuwa nakimbilia chooni kwenda kulia kisha narudi kuosha vyombo 😭
Kweli nilitokea kumpenda Kingston kimya kimya bila mtu kujua na wala sikujali kuhusu ugonjwa wake nilikuwa tayari kwa lolote juu yake❤️❤️❤️...
Nini kitafuata??!...
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Ramadhani 2026 huanza na masaa 12-15 ya kufunga; katika Kizio cha Kaskazini, siku hukua zaidi, huku katika Kizio cha Kusini,
hukua fupi Kufuatia mzunguko wa mwezi wa miaka 33, Ramadhani huhama siku 10-12 mapema kila mwaka - huzingatiwa mara mbil...
BOSS ANAMPENDA MKE WANGU 01 ❤ Umri………………...18+ ANZAAA NAYOO.......... Ilikuwa ni siku niliyohudhuria karamu ya krismasi kwenye kampuni ninayofanyia kazi
mimi pamoja na Mke wangu aitwae Mary. Kampuni ilikuwa imepanuka haraka sana katika kipindi cha mda mfupi tu, ilikuwa ni...
MMMMMMMH UNIFANYE TARATIBU MM NI YATIMA❤️🔥 SEHEMU YA 01...05 Naitwa Leen ni mtoto wa kwanza kwa mama yangu nikifuatiwa na mdogo wangu wa kiume ambaye ni last born
Ibrahim tulilelewa na mama tu baada ya baba yetu mzazi kufariki kipindi nipo na miaka saba hapo mama yangu ndio ana uja...
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 09* Baada ya Kingston kusinzia wazazi walirudi jikoni kuendelea na kazi zao mimi nikaambiwa nimwangalie mgonjwa akishtuka usingizini asije jidhuru
..
Nilienda kukaa chumbani kwa Kingston..kama nilivyowaambia akiwa usingizini ndo anazidi kuwa mzuri maana zile akili za kizezeta huwa hazipo..
Nilichukua simu ya Kingston ili nicheki aliyekuwa anaongea naye but sikufanikiwa kufahamu maana simu niliyoikuta pale haikuwa na kitu chochote..
Huenda kweli anaumwa sitakiwi kumhisi tofauti...nilijiambia hivyo huku nikiendelea kumtizama The Boy pale kitandani..
Basi mwenzenu wakati niko kule chumbani sijui ilikuwaje mpaka namimi nikasinzia😓😓
Tena nilivyo mshenzi nikasinzia huku kichwa changu nimekilaza kwenye mapaja ya Kingston😒
Pozi nililolala ni la ajabu sana😢😢yani nilimkumbatia the Boy kama mwanaume wangu...
Sizani kama ni vyema kujilaumu sana nahisi shida ni ule uchovu wa kuamshwa mapema na si kitu...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmh-dady-nikikupa-utanioa-sehemu-ya-09-baada-ya-kingston-kusinzia-wazazi-walirudi-jikoni-kuendelea-
Maoni