Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 11
Gonga94 · Stories

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi maisha yakaendelea, nilikuwa sitoki nje, na nikitaka kwenda sehemu yoyote ile nilikuwa namuaga kwa upendo kabisa, alikuwa anafurahia sana namna ambavyo nilivyokuwa naishi nae, hakuwa anatembea kabisa, muda wake mwingi akawa anaumalizia nyumbani akiwa anacheza game au tunapiga stori za hapa na pale, na kiukweli ni kama kila mmoja wetu alikuwa anapenda sana kukaa karibu na mwenzake…

Siku moja sasa akaja nyumban na mwanamke, na walikuwa wanaingia ndani wakiwa wameshikana mikono…
Roho iliniuma sana, nikataman nimfate Yule mwanamke kisha nimtimue asimshike omari wangu ila nikajikaza tu, kwa sababu omari hajui kama nimeshamgundua, basi nikawatengea chakula ila siku hio nilikuwa nina kisiran balaa, yaan unaweza kudhan labda nina mimba changa na kikawaida huwa nakaaga mezan nakula na omari au familia nzima kama itakuwepo, ila siku hio nikakaa mezani, Yule binti akapaliwa omari akachukua maji akampa, aiseee nilishindwa kujizuia, nikaondoka wakati huo huo na kwenda zangu chumban kwangu…

Roho ilikuwa inaniuma sana, kiasi kwamba nikajikuta nalia sasa, nimelia weee, kwa karibu lisaa lizima, mara nikawa nasikia mlango wa chumban kwangu unafunguliwa, akaingia omari kisha akaniangalia na kusema kwa sauti ya utulivu kuwa “ unalia nini zinura ..
“ Yule mwanamke ni nani, na kwanini mshikane mikono? Ikabidi niulize, kwa kweli nilishindwa kabisa kuficha hisia zangu, omari aliniangalia kwa dakika kadhaa kisha akatabasamu na kusema “ sitaki kuamin kama umeshaanza kunionea wivu…

Nikaangalia chini kisha nikakaa kimya, akawa kama anataka kuja na kunikumbatia ila akajizuia, kisha akasema “ mimi sijaoa na naruhusiwa kuwa na mwanamke yoyote Yule au unadhan nilivyolala na wewe ndio naweza kuwa mumeo, mimi sijawah kumpenda mwanamke hata mara moja, hivyo kaa kama mfanyakazi humu ndani na sio mke mtarajiwa wa mtu…

Maneno yake yalinitia hasira sana, na kiukweli uvumilivu ukaniisha, kisha nikamsogelea na kumuambia “ omari, najua wewe ni omari wangu, najua unanipenda sana, na ninauhakika kuwa hakuna mwanamke ambae ameshawah kuchukua nafasi yangu kwenye maisha yako yote, sasa kwanini unaniumiza omari wangu, kwanini unanisababishia macho yangu yatoe machozi lakin..

Akawa kama anataka kuniruka, nikadakia na kusema “ nimeona brufcase lako na password ni , kabla sijamaliza kuomngea ninachotaka kusema, akanisogelea kisha akanikiss kana kwamba ananituliza…

Mwili wangu ulipata msisimko wa ajabu sana, nay eye nikaona kabisa mtulinga umeshatuna unataka haki yake, ila ni kama akajizuia na kusema “ naomba usiongee hayo maneno tena na uniite nabil sio omari na usiniulize ni kwanini, kisha akaondoka…

Kiukweli nilijisikia vibaya sana, ila nikajua kuna mambo ambayo yapo chini ya kapetrt ila sina cha kufanya zaidi ya kutuliza mtori tu, tuje kupata nyama ambazo zipo chini…

Basi lile busu ni kama liliamsha mshipa wa hisia mwilini mwangu, kuna namna nikawa nataman sana angekuja na kuendeleza alichokianzisha, ila nikajisemea hawezi kurudi, nikaingia zangu bafuni, nikaoga zangu vizuri, kisha nikafungua mlango wa chumban kwangu, kwa lengo la kwenda zangu kuangalia luninga ..

Ila kabla sijatoka nikashangaa nasukumwa ndani na napokelewa na lile busu la kushtukiza la kumleta mtu kati..

ITAENDELEA …
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 11

Basi maisha yakaendelea, nilikuwa sitoki nje, na nikitaka kwenda sehemu yoyote ile nilikuwa namuaga kwa upendo kabisa, alikuwa anafurahia sana namna ambavyo nilivyokuwa naishi nae, hakuwa anatembea kabisa, muda wake mwingi akawa anaumalizia nyumbani akiwa anacheza game au tunapiga stori za hapa na pale, na kiukweli ni kama kila mmoja wetu alikuwa anapenda sana kukaa karibu na mwenzake…

Siku moja sasa akaja nyumban na mwanamke, na walikuwa wanaingia ndani wakiwa wameshikana mikono…
Roho iliniuma sana, nikataman nimfate Yule mwanamke kisha nimtimue asimshike omari wangu ila nikajikaza tu, kwa sababu omari hajui kama nimeshamgundua, basi nikawatengea chakula ila siku hio nilikuwa nina kisiran...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-true-love-story-sehemu-ya-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-true-love-story-sehemu-ya
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8
MY TRUE LOVE STORY  SEHEMU YA 15
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 15
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 12
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 12
MY TRUE LOVE STORY  SEHEMU YA 14
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 14
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 10
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 10
MY TRUE LOVE STORY  SEHEMU YA 16
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 16
MY TRUE LOVE STORY    SEHEMU YA 17
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 17
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 18
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 18
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 13
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 13
MY TRUE LOVE STORY   SEHEMU YA 9
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 9
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 5
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 5
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 3
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 3
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 1
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 1
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4
 MY TRUE LOVE STORY   SEHEMU YA 19 - 20
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 19 - 20
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

9.97K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.45K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

2.51K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.28K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.05K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.01K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.96K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.93K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest