Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA  (01-05)   SEHEMU YA : 01  "Binti yangu anahitaji msaada wako....naomba uwaruhusu Madaktari
Gonga94 · Stories

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA (01-05) SEHEMU YA : 01 "Binti yangu anahitaji msaada wako....naomba uwaruhusu Madaktari

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
wako wamfanyie upasuaji..." Jasinta aliongea huku machozi yakimtiririka

Mike ni Kijana mdogo tu, mbali na kumiliki pesa nyingi kajaliwa dharau.
Alimuangalia Jasinta kwa kumkadiria,

"Hebu mleteeni chakula kwanza...." Amri ilitolewa

Chakula kiliwekwa mezani kisha Jasinta akaamriwa ale mpaka ashibe.

"Tafadhali sana... naomba umsaidie binti yangu" Jasinta alizungumza huku akipambana kutafuna paja la kuku, kwa namna alivyokuwa anakula kwa kujiramba ni ngumu kuamini kama yupo hapa kusaidiwa.

Sahani ya pili iliongezwa, Jasinta hakuvunga.... aliendelea kula huku akiomba msaada.

"Huna haja ya kuomba sana....nitakusaidia endapo utakuwa tayari kufanya biashara na Mimi" Mike aliongea huku akikuna kichwa chake

"Biashara ipi..." Jasinta aliuliza kwa mshangao

"Niuzie kitu chochote cha thamani ulichonacho kisha Mimi nitaruhusu Madaktari wangu wamtibu binti yako"

"Mbona sina kitu chochote cha kukuuzia, nikisema ni kuuzie uwanja wangu Mimi na familia yangu tutaenda wapi!"

"Nina uhakika una kitu zaidi ya uwanja.... endelea kula hapa huku ukifikiria ni biashara ipi Mimi na wewe tutafanya. Pindi utakapo pata majibu ongea na mfanyakazi wangu ataniita tuzungumze tena" Mike aliongea kisha akaondoka

Jasinta aliendelea kula huku akifikiria ni kitu gani atamuuzia huyu bilionea.

"Ciara!.....ndiyo nitamuuzia Ciara" Jasinta aliongea pekee huku akionekana kufurahia

Taarifa zinamfikia Mike kuwa Mgeni wake kapata jibu.

"Ni kitu gani utaniuzia...." Mike aliuliza baada ya kukaa mezani

"Nitakuuzia Ciara, ni mtoto wa Kaka yangu nimemlea tangu akiwa mdogo mpaka sasa kawa mtu mzima. Ni wakati wa yeye kunisaidia" Jasinta alizungumza

"Mimi ni mtu wa kwenda na muda.... niletee hiyo bidhaa kesho muda kama huu, jumba langu linahitaji watu wa kulichamgamsha" Mike alizungumza

Jasinta aliachia tabasamu kisha akaelekea nyumbani, alimkuta Ciara akifagia uwanja

"Acha hicho unachokifanya nifuate huku ndani..."

Ciara aliweka fagio lake kisha akamfuata Shangazi yake

"Ni muda wa wewe kumsaidia Jessa"

"Nipo tayari kufanya kitu chochote, naomba uniambie ni kitu gani hicho natakiwa kufanya"

"Sikumbuki biashara ya utumwa ilifungwa mwaka gani lakini huwezi kuamini bado kuna watu wananunua watu, nitakuuza kwenye jumba la bilionea Mike. Naomba usinichukie, lengo langu ni kumuokoa Jessa.... tafadhali sana naomba usikatae katika hili" Jasinta aliongea huku machozi yakimtoka

"Nimefanikiwa kuona saa mbili za dhahabu kwenye pochi yako, kwanini tusiuze hizo" Ciara aliishia kuongea tu ndani ya moyo wake, hakuwa na ujeuri wa kumpinga Shangazi yake.

"Sawa, kwa ajili ya Jessa nipo tayari"

Jasinta alijikuta akibeua shibe kutokana na jibu zuri la Ciara

Itaendelea 💥

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 02

Basi kulivyo pambazuka asubuhi, Ciara aliingia chumbani kwa Jessa aliyekuwa amelala bado

"Sioni ajabu kujitoa kwa ajili yako na wala moyo wangu haumii kuwa mtumwa kwenye nyumba ya Bilionea....naumia kwa sababu nitakaa mbali na wewe maisha yangu yote..." Ciara aliongea kwa uchungu mkubwa kisha akaondoka

Muda wote Mike alikuwa anatazama saa yake ya mkononi, ni mtu anayejali muda kuliko kitu chochote

"Sina uhakika kama Jasinta atakuja" Suzy (Mlinzi wa Mike) aliongea

"Nina uhakika atakuja hapa tufanye biashara kama tulivyo kubaliana....macho yake yamejaa tamaa" Mike aliongea

Zikiwa zimesalia dakika tatu afuate ratiba nyingine geti la jumba lake lilifunguliwa kisha akaingia Jasinta akiwa na Ciara

Taarifa zinamfikia Mike kuhusu ujio wao.

"Hakika unajua nini maana ya biashara..." Mike aliongea huku akimtazama Ciara

"Msalimie Bilionea...." Jasinta alimuamuru Ciara

Ciara alitoa salamu akiwa kamkazia macho Mike. Japo ni masikini wa kutupwa lakini macho yake hayakuwa na uoga hata kidogo

Kabla ya biashara kufanyika Ciara aliingizwa kwenye chumba maalumu kwa ajili ya ukaguzi.

"Vua nguo zako zote....." Suzy (Mlinzi wa Mike) alitoa amri

Ciara akiwa katika uso wa kujiamini alivua....Suzy alianza kumkagua kila kona. Baada ya kujiridhisha alimuita Mike pia

Pamoja na Bilionea kuingia Ciara hakushtuka wala kujishughulisha kuficha maumbile yake.

Kujiamini kwake huku kulizidi kumfanya Mike aone hii bidhaa inafaa.
Alimkagua kwa sekunde kadhaa baada ya kuridhika alimuweka chapa yenye jina lake

"Kuanzia sasa na kuendelea wewe ni mali yangu, nikisema njoo unakuja....nikisema nenda kule unaenda" Mike aliongea kisha akamrudia Jasinta

"Bidhaa uliyoniletea iko vizuri, binti yako atatibiwa bure kwenye hospitali yangu pia nitakupatia pesa kama shukurani kwa kuniletea bidhaa nzuri" Mike aliongea kisha akasepa kila kitu alimuachia Suzy amalize

"Naomba niongee na Ciara kwa mara ya mwisho..." Jasinta aliongea huku akijichekesha

Suzy hakuwa na noma alimruhusu

Ciara akiwa anajitazama kwenye kioo bado, aliachia tabasamu baada ya kumuona Jasinta

"Ni... nisamehe hatukuwa na njia nyingine ya kumsaidia Jessa" Jasinta aliongea kwa unafiki wa hali ya juu akitaka kupiga magoti

"Ukiniomba msamaha utanifanya niamini kulikuwa na njia nyingine, naomba tusizungumze tena kuhusu hili....kila kitu kinafanyika kwa ajili ya Jessa" Ciara aliongea

Sauti yake na ujasiri unaonekana kwenye macho yake ulimfanya Jasinta ajisikie nafuu.

Kazi kubwa ya Ciara katika jumba la Mike ilikuwa ni kupika, ilikuwa ni ngumu kwa watumwa wengine kumzoea kutokana na muonekano wake

"Kama si kuzaliwa masikini basi angekuwa CEO katika Kampuni fulani au kiongozi katika Serikali" Mtumwa mmoja aliongea akiwa anakata vitunguu

Mbali na Ciara kuwa Mpishi mahali hapa alikuwa na kipaji cha kuchora.
Kila alipotuliza akili yake alichora vitu vilivyokuwa vinamvutia.

Hakuwa mtu wa kuongea sana wala kubishana. Kitu kingine kilicho wafurahisha watu wote hakuwa mvivu

Mike alijikuta akitamani kumfahamu zaidi Ciara,

"Naomba unifulie viatu vyangu....."Mike anampatia kazi Ciara, japo jukumu lake ni kupika hakuona tabu kufua viatu kwa kuwa Boss kasema

Wakati anapiga hatua aondoke Mike alimtega mguu makusudi, kama asingeshikiria shati la Mike basi angedondoka chini.

Macho yao yalikutana, Ciara alinyoosha mkono wake taratibu mpaka kichwani kwa Mike....alimtolea uchafu kisha akasepa

Itaendelea 💥

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 03



"Inaonekana umevutiwa na Ciara, vipi nimlete chumbani kwako usiku wa leo" Suzy aliuliza

"Ni kama umeanza kusahau namna ya kuniheshimu, yaani unataka nilale na Mtumwa wangu? hakika hauna tofauti na nyani mzee" Mike aliongea kisha akaondoka

Suzy alijilaumu kwanini kaongea upuuzi.

Upande wa Ciara alifua viatu chapu chapu kisha akavikausha kwenye mashine.

Alitembea taratibu mpaka sehemu aliyokuwa amekaa Bilionea

"Umefanya kazi nzuri..." Mike aliongea baada ya kuvikagua viatu

Ciara aliachia tabasamu kimtindo kisha akataka kuondoka

"Nasikia unaweza kuchora hadi yaliyomo moyoni, naomba uchore vitu vinavyo sumbua moyo wangu" Mike aliongea

Basi karatasi moja kubwa ililetwa, Ciara alimtazama kwa umakini Mike, baada ya kuona kila kitu alianza kuchora.....
Dakika 30 hazikupita alimpatia karatasi linaloonesha vitu vinavyo msumbua

Mike alijikuta akicheka hasa baada ya kuona kachorwa anamkumbuka girlfriend wake wa zamani

"Kazi nzuri sana, hii picha nitaiweka chumbani kwangu.....twende ukanioneshe ni sehemu ipi inafaa kuweka hii picha" Mike aliongea

Ciara alimfuata kwa nyuma, kwa mara ya kwanza kabisa aliingia kwenye chumba cha Bilionea.

Si mtu wa kushangaa shangaa kama watumwa wengine, aliangalia sehemu inayofaa kuwekwa picha.

"Nadhani nahitaji ngazi ili nifikie...." Ciara aliongea

"Chumbani kwangu kuletwe ngazi?....panda kwenye mabega yangu njna uhakika utafikia."

Ciara hakuwa na neno, alipanda kwenye mabega ya Mike.....vile ni mwepesi mikononi alifanya chapu chapu kubandika picha

"Tayari shingo yangu ilianza kuuma....mapaja yako mazito utadhani una undugu na viboko" Mike alilalamika

Ciara alielewa ni kitu gani anatakiwa kufanya, taratibu alianza kumfanyia masaaji ya shingo na mabega kwa ujumla.

Mara nyingi hii kazi huwa anafanya Suzy lakini siku ya leo ilichukuliwa na Ciara

Mikono yake ilikuwa ni laini mfano wa Mtoto mchanga, kitu kilichomfanya Mike afurahie zaidi ni namna Ciara alivyokuwa anampunguzia maumivu ya shingo huku akimsimulia hadithi za mapenzi.

Hadithi zake hazikuwa na tofauti na zile za ngono.
Taratibu maumbile ya Mike yalianza kusimama.

"Kwanini unanisimulia hadithi hizi..." Bilionea Mike alijikuta akiuliza

"Hakuna Mwanaume asiyevutiwa na hadithi kama hizi, nia yangu ni wewe kufurahi na si kingine"

"Twende bafuni tukaoge, inaonekana upo vizuri katika kutoa burudani na si kusimulia tu" Mike aliongea

Ciara aliachia tabasamu, lengo lake lilikuwa ni kumfurahisha tu Mike na hadithi zake na si vinginevyo

Yeye ni Mtumwa katika jengo hili hivyo alimuacha Mike akauchezea mwili wake atakavyo.

Mike alijipigia zake mabao staili zote alizokuwa anajua.

"Naomba ulale chumbani kwangu huna haja ya kuogopa...." Mike aliongea

Ciara hakuonesha kushtuka, badala yake alimsogeza Bilionea kifuani kwake akamlaza

Mapigo ya moyo wake yalikuwa yametulia hakuonekana kuogopa. Hii ilimfanya Mike alijiulize zaidi ya mara mbili huyu ni Mtumwa wa aina gani anayekaa kwa kujiamini utadhani mother house

Itaendelea 💥

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA

Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili juu ya alama alitaka kuamka lakini Mike alimzuia

"Kuna baridi endelea kulala"

"Kama nisipowahi kuamka nitapatiwa adhabu...."

"Nani huyo atakupatia adhabu na huku upo unanipumzisha?"

Ciara alikaa kimya, alirudi kulala kifuani kwa Mike.
Kwa namna mapigo ya moyo wa Mwanaume huyu yalivyokuwa yanaenda mbio aligundua ni kitu gani anataka.

Taratibu alipitisha mkono wake kwenye boksa ya Mike akaanza kuchezea sehemu zake.
Mechi ya asubuhi ilipigwa,

"Unaweza kuendelea sasa na majukumu yako..." Mike aliongea huku macho yake yakiwa kwenye mchoro wa Ciara

Ciara aliondoka akiwa mwenye kujiamini, watumwa wote walianza kunong'ona hasa baada ya kugundua alikuwa chumbani kwa Mike

Ile anakata kona, alikutana na Mlinzi wa Mike
"Niazime dakika mbili tu kwa ajili ya mazungumzo" Suzy aliongea

Ciara alifungua macho na masikio yake kwa ajili ya kusikiliza

"Naomba kujua kwanini uko hapa"

"Kwanini niko hapa?"

"Ndiyo"

"Niliuzwa hapa ili mtoto wa Shangazi yangu atibiwe"

"Uongo....nina uhakika lengo lako ni kuuteka moyo wa Mike, nikupe pole kwa sababu mambo siyo rahisi kama unavyo fikiria wewe" Suzy aliongea kisha akaondoka

Ciara alitulia kwa sekunde kadhaa, maneno ya Suzy yalimfungua akili.

"Nimenunuliwa hapa kama mtumwa, sikuwa na fikira nyingine. Ahsante sana kwa kunifungua akili...." Ciara alijisemea kisha akaondoka

Akiwa anatembea aliparamiana na Mtumwa mwenye umri sawa na Shangazi

"Sa.... samahani" Alijitetea

"Huna haja ya kuomba msamaha kwa sababu miguu haina macho, imekuwa bahati Mimi kukutana na wewe hapa. Jina langu naitwa Jala.... nitafurahi kama utanichukulia kama Mama yako kuanzia sasa" Jala aliongea

Ciara aliachia tabasamu kwa maneno anayoambiwa

"Haupendezei kuwa Mtumwa mahali hapa, unastahili kulala pembeni ya Mike"

"Una maanisha nini kusema hivyo"

"Kuwa ubavu wa Mike,.... jitahidi uonekane machoni mwake kwa namna yoyote ile" Jala aliongea kisha akaondoka

Ciara alidumu kwenye mshangao, hakuwa na hii ndoto hata kidogo lakini maneno ya Suzy na ya Jala yameshawishi akili yake.

Taratibu aliinua macho yake akayaelekeza usawa wa dirisha la chumba cha Mike.

Fikira zake zilienda mbali na hata akajiona akiwa kabebwa mgongoni na Bilionea.

"Ni kitu gani unatazama...." Sauti ya Mike ilimshtua

Itaendelea 💥

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 05



Wasap:

"Namtazama huyo ndege aliyepumzika kwenye dirisha lako...."

Mike aliachia tabasamu akataka kuendelea na safari yake lakini alipiga pozi baada ya kukumbuka kitu

"Naenda kazini, nitamuagiza Suzy aje kukuchukua"

"Sawa..." Ciara aliongea kisha akaondoka, hakuonesha kushoboka na mualiko aliopatiwa

Mike alimsindikiza kwa macho, kuna namna anajikuta tu akitamani kumfahamu Ciara zaidi na zaidi

Muito wa simu yake ndio ulimshtua, aliacha kumshangaa Ciara

Upande mwingine Jessa (Mtoto wa Jasinta) alipona kabisa

"Nauliza kwa mara ya mwisho kama hautazungumza ukweli nitaondoka nyumbani kwako, naomba kujua Ciara yuko wapi"

"Nilimuuza kuwa Mtumwa kwa bilionea Mike ili wewe utibiwe"

"Kwanini usingeuza zile saa mbili za dhahabu?"

"Ni urithi nilioachiwa na Babu yako, siwezi kuuza hizo saa mbili na sitakuja kuziuza.....kila wakati mgumu utakapokuja nitatafuta njia ya kutokea. Ciara ni mtu mwenye roho ngumu sana usitarajie kuona machozi machoni kwake na hata hivyo kila kitu kimefanyika kwa ajili yako, punguza maswali mengi"

"Ciara hawezi kudondosha chozi mbele yako ....nina uhakika yupo katika wakati mgumu" Jessa aliongea kisha akaondoka kwa kukimbia

"Mbwa huyu hana shukurani hata kidogo, kwahiyo alitaka niuze utajiri wangu kisa yeye na huku Ciara yupo! matako yake asitarajie nitambembeleza kwa lolote" Jasinta alijisemea moyoni mwake

Jessa alielekea moja kwa moja kwenye jumba la Bilionea Mike. Aligonga geti mpaka akachoka lakini hakufunguliwa.

Alipoona hasaidiki alipanga mawe kisha akaanza kukwea ukuta.

Ukuta ulikuwa ni mrefu sana isingekuwa rahisi kuuweza,

"Aahhhhhghhh...." Alilalamika baada ya kudondoka chini

Bahati nzuri Suzy alifika akiwa na gari, isingekuwa rahisi kumpita Jessa bila kumsemesha

"Hujui kama unaweza kupigwa faini kwa kujaribu kukwea huu ukuta bila ruhusa" Suzy aliongea huku akisukuma na mguu mawe yaliyo pangwa na Jessa

"Nimegonga geti zaidi ya mara 20 lakini sijasikilizwa, sikuwa na njia nyingine tofauti na hii"

"Bila shaka wewe ndio sababu ya Ciara kununuliwa mahali hapa, inaonekana nyie wawili mnapendana kupita kiasi. Siwezi kukuruhusu kuingia ndani kwa sababu hauna biashara yoyote ya kufanya na Mike.....nimekuja kumchukua Ciara hivyo kaa hapa utamuona" Suzy aliongea kisha akaendelea na ratiba zake

Jessa alikaa kwa kutulia baada ya kusikia Ciara anatoka nje muda si mrefu.

Na kweli baada ya dakika 20 kupita Ciara alitoka nje akiwa na Suzy.
Moyo wake ulilipuka kwa furaha baada ya kumuona Jessa.

Suzy aliwapatia dakika 10 za kuzungumza

"Mama yangu ni mtu mwenye roho mbaya sana alikuwa na uwezo wa kuuza saa zake za dhahabu, sielewi kwanini kakufanyia hivi, naomba unisamehe Mimi" Jessa alijieleza

"Ni utoto wa hali ya juu kuongea hivi, ulikuwa katika hali mbaya sana.....ni jukumu langu kukusaidia"

"Usiniambie unafurahia kuwa Mtumwa wa Mike!...."

Ciara alimsogelea Jessa, ni wazi kabisa alihitaji kumuibia siri

"Ni suala la muda tu, nitahakikisha na uteka moyo wa Bilionea Mike, hivyo naomba usinihurumie kuwa hapa"

Jessa alikodoa macho tu, kwa kuwa muda ulikuwa umeisha Suzy alimchukua Ciara wakasepa

Mapigo ya moyo wa Ciara yalienda mbio baada ya kuliona jengo kubwa refu kwenda juu mfano wa urefu minara sita iliyounganishwa

"Hii ni ofisi ya Mike...." Suzy aliongea baada ya kumuona Ciara akishangaa kwa mara ya kwanza

Kwa pamoja waliingia ndani ya jengo.
Siku zote nyota njema huonekana asubuhi, Wafanyakazi wote walikuwa wakimshangaa Ciara kutokana na muonekano wake

Hii ilimpa maswali mengi zaidi Suzy na hata akatamani kujua ni kitu gani hicho cha kipekee kipo kwa Ciara na yeye hakioni

Mike akiwa katulia zake kwenye kiti aliachia tabasamu baada ya kumuona Ciara

Suzy hakusubiri kuambiwa aondoke, alijiongeza mwenyewe kwa kusepa

"Sogea ukae karibu yangu" Mike aliongea

Ciara hakuwa na shida alipiga hatua kisha akakaa kwenye kiti kilichokuwa karibu na Mike

"Moyo wangu unawaza vitu vingi nitafurahi kama utabashiri ni kipi" Mike aliongea ni wazi alitaka kufanya utani na si serious muda wote

Ciara aliachia tabasamu kisha akanyoosha mkono wake taratibu ukashika moyo wa Mike

"Unawaza K, ni aibu kwa sababu haya ni masaa ya kazi..." Ciara aliongea

Mike alikodoa macho kwa kitu akichoambiwa

Itaendelea 💥

FULL 1000
0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA (01-05) SEHEMU YA : 01 "Binti yangu anahitaji msaada wako....naomba uwaruhusu Madaktari

wako wamfanyie upasuaji..." Jasinta aliongea huku machozi yakimtiririka

Mike ni Kijana mdogo tu, mbali na kumiliki pesa nyingi kajaliwa dharau.
Alimuangalia Jasinta kwa kumkadiria,

"Hebu mleteeni chakula kwanza...." Amri ilitolewa

Chakula kiliwekwa mezani kisha Jasinta akaamriwa ale mpaka ashibe.

"Tafadhali sana... naomba umsaidie binti yangu" Jasinta alizungumza huku akipambana kutafuna paja la kuku, kwa namna alivyokuwa anakula kwa kujiramba ni ngumu kuamini kama yupo hapa kusaidiwa.

Sahani ya pili iliongezwa, Jasinta hakuvunga.... aliendelea kula huku akiomba msaada.

"Huna haja ya kuomba sana....nitakusaidia endapo utakuwa tayari kufanya biashara na Mimi" Mike aliongea huku akikuna kichwa chake

"Biashara ipi..." Jasinta aliuliza kwa mshangao

"Niuzie kitu chochote cha thamani ulichonacho...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea-01-05-sehemu-ya-01-binti-yangu-anahitaji-msaada-wako-naomba-uwaruhu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi niliuzwa-kuwa-mtumwa-wa-bilionea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA   03  "Inaonekana umevutiwa na Ciara, vipi nimlete chumbani kwako usiku wa leo" Suzy aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 03 "Inaonekana umevutiwa na Ciara, vipi nimlete chumbani kwako usiku wa leo" Suzy aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 19  "Mike ananipenda Mimi, nina uhakika hata haya maamuzi anayoyafanya hayana madhara kwa Jessa hivyo sitaongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 19 "Mike ananipenda Mimi, nina uhakika hata haya maamuzi anayoyafanya hayana madhara kwa Jessa hivyo sitaongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 17  Ciara hakuonesha hofu hata kidogo, mjeledi uliokuwa mkononi kwa Mike haukumtisha
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 17 Ciara hakuonesha hofu hata kidogo, mjeledi uliokuwa mkononi kwa Mike haukumtisha
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 07/08  Wakati kisu kinanolewa, Ciara alijitahidi kupika chakula alichohisi kitamfaa Katy (Mama yake Mike)
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 07/08 Wakati kisu kinanolewa, Ciara alijitahidi kupika chakula alichohisi kitamfaa Katy (Mama yake Mike)
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 12  "Ni kama hujafurahia Mimi kuwa hapa...." Jessa aliongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 12 "Ni kama hujafurahia Mimi kuwa hapa...." Jessa aliongea
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 16 MTUNZI; McLAURIAN  "Suzyyyyy...." Mike alipaza sauti  Suzy alikuja chapu baada ya kusikia ameitwa kwa sauti ya juu
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 16 MTUNZI; McLAURIAN "Suzyyyyy...." Mike alipaza sauti Suzy alikuja chapu baada ya kusikia ameitwa kwa sauti ya juu
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA ( 06)  "Unatumia mbinu gani kujua yaliyomo ndani ya moyo wa mtu....' Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA ( 06) "Unatumia mbinu gani kujua yaliyomo ndani ya moyo wa mtu....' Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA  09..10.  "Vipi Mimi siyo Mwanaume nayefaa kwenye mizani yako?" Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 09..10. "Vipi Mimi siyo Mwanaume nayefaa kwenye mizani yako?" Mike aliuliza
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 14,15  Mike alimuweka Ciara kitandani kwake kisha akaanza kumbusu kwa lazima.....hakuishia hapo alianza kupambana kumvua nguo ili wafanye mapenzi,
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 14,15 Mike alimuweka Ciara kitandani kwake kisha akaanza kumbusu kwa lazima.....hakuishia hapo alianza kupambana kumvua nguo ili wafanye mapenzi,
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 13  Ikiwa ni mida ya jioni Katy aliingia jikoni kuandaa chakula kwa ajili ya Jessa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 13 Ikiwa ni mida ya jioni Katy aliingia jikoni kuandaa chakula kwa ajili ya Jessa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18  Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18 Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA   04...5  Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili
NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 04...5 Basi Ciara alilala chumbani kwa Mike,,,,saa kumi na mbili
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

868
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

731
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

525
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

180
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

142
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

107
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

76
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest