VYOTE NDANI GONGA94
NILIZAA NA BOSI KWA BAHATI MBAYA SEHEMU YA 02
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Baada ya kubaki na bosi majira hayo ya usikuu tulikuwa tukiendelea na kazi na kazi yangu ilikuwa ni kuprint document na kuziweka kwenye mafile huku bosi akinielekeza baadhi ya vitu ukichukulia mimi ndo mfanyakazi mpya.Tulifanya kazi mpaka kama saa sita hivi nikiwa nimechoka sana na hata bosi kachoka sana ....
Hapo ndipo tukachukua chakula ambacho tulikuwa tayari tumeshakinunua na kuanza kukila .Nilikuwa nakula kwa mapozi na aibu jamani maana bosi alikuwa akinitolea sana macho mpka nikawa naangalia chini .Nilimwambia tu kwa sauti ya kawaida
" Jamani bosi acha kuniangalia hivi, mwenzako naloose control "
Alicheka na kunipiga begani na mimi nikamrudishia ,basi tukaacha kazi na kuanza kupigana pigana .Lakini baadaye kila mtu baada ya akili kurudi ,wote tulitulia na kuendelea kula ,hapo ni kama limefunikwa kombe mwana haramu apite sio kwa ule ukimya uliokuwa muda huo
Bosi alikuwa ananitazama tu mpaka najishtukia , mwishowe niliamua nimuache tu awe ananitazama ,nilifanya kazi mpaka nikaanza kusinzia ,Alinisisitiza kazi ni ya muhimu sana lakini kama unavuojua usingizi ni ngumu kuuzuia au kubishana nao.Taratibu nilishuka mpaka kwenye bega la bosi na kulala usingizi hapo hapo.....
Basi nilikuja kushtuka tayari ni asubuhi kama saa kumi na moja .Na nipo kwenye kitanda cha gharama sana .Nilipigwa na butwaa na kujiuliza
" Nimefukaje hapa ????
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilizaa-na-bosi-kwa-bahati-mbaya-sehemu-ya